Dkt. Magufuli kwaheri, ulistahili kuwa Rais wa Dunia

imani hakuna

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
1,227
2,000
Hayati Magufuli alikuwa mzalendo na anayejua nini maana ya uongozi Magufuli alitamani watanzania woote tuwe wazalendo na ndiyo maana hakutaka kuongeza mishahara ili fedha zitumike kujenga nchi.

Ukiachilia mbali yeye kuwa Rais ila alijiweka kama mwananchi wa kawaida hakupenda kujimwambafai kwakifupi alikua karibu na wananchi, Hayati Magufuli alikua ni great thinker mtu mwenye utambuzi na mwenye maono.

Alitamani kila Mtanzania anufaike na rasilimali ya taifa letu ndiyo maana alipambana na mabepari na wakoloni weusi, magufuli alikua mchamungu sana na hakua mbaguzi hakua mdini.

Hakika kuna mengi aliyafanya na angeendelea kuwepo hakika angetufikisha nchi ya Ahadi.
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,395
2,000
Rais wa dunia asiyeipenda dunia? Si angefutilia mbali wale so called mabeberu?

Magufuli alikuwa mtendaji mzuri he would have made a very good prime minister, ila kwa Rais (binafsi hata Rais wa Kirabu cha mpira nisingempa kura) Hakuwa muunganishi.
 

imani hakuna

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
1,227
2,000
Rais wa dunia asiyeipenda dunia? Si angefutilia mbali wale so called mabeberu?

Magufuli alikuwa mtendaji mzuri he would have made a very good prime minister, ila kwa Rais (binafsi hata Rais wa Kirabu cha mpira nisingempa kura) Hakuwa muunganishi.
Kwani nini maana ya kuwa rais mkuu au urais unachagua ukoo na familia.
 

KeyserSoze

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
4,395
2,000
Kwani nini maana ya kuwa rais mkuu au urais unachagua ukoo na familia
Kwa ufupi qualities za mtendaji na kiongozi ni tofauti..., baadhi ya qualities za a good leader ni zifuatazo, (angalia mwenyewe Magufuli alikuwa nazo ngapi);

 • Integrity
 • Ability to delegate
 • Communication
 • Self-awareness
 • Gratitude
 • Learning agility
 • Influence
 • Empathy
 • Courage
 • Respect
 

holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
3,250
2,000
Kwa vile unajiita sina imani ngoja nikuache tu

ila pole sana kwa msiba wa kipenzi chenu bila shaka wewe ni Chinga au mama ntilie/baba ntilie
 

imani hakuna

JF-Expert Member
Dec 11, 2019
1,227
2,000
Kwa ufupi qualities za mtendaji na kiongozi ni tofauti..., baadhi ya qualities za a good leader ni zifuatazo, (angalia mwenyewe Magufuli alikuwa nazo ngapi);

 • Integrity
 • Ability to delegate
 • Communication
 • Self-awareness
 • Gratitude
 • Learning agility
 • Influence
 • Empathy
 • Courage
 • Respect
Mkuu me naona hayo yoote aliyaishi
 

Upepo wa Pesa

JF-Expert Member
Aug 8, 2015
16,333
2,000
Ngoja ninywe maji kwanza nirudi.

Screenshot_20210408-213742.jpg
 

Ze last Born

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
1,672
2,000
Hayo mawazo yako wewe na usikariri kila mtu mpigaji kama wewe, mkuu uongozi unataka mtu mzalendo
Huyo dikteta uchwara alikua lini mzalendo Kama sio jambazi Kama majambazi wengine......au kutotaka kwake kuzungumza kiingereza kwa kuwa alikua hakijui vyema na kung'ang'ana na kiswahili chake cha kisukuma ndio uzalendo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom