rais

  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Rais Samia Suluhu anateswa na kivuli cha Magufuli

    Kwa wasiojua kiswahili .
  2. M

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi huru: Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya Aprili 22, 2021

    Kwa rehma zake Mwenyezi Mungu ni matumaini yangu sote tutaumaliza Mwezi huu Mtukufu wa Ramadhan salama salimin na hakika yeye ndiye mwenye kurehemu riziki zetu kubwa na ndogo na hapana mwingine apaswaye kuabudiwa. Tumuombe sote atuepushe na kila lisokuwa na kheri kwetu. Ameen. Nina hakika siku...
  3. MPUNGA MMOJA

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na viongozi wa Vyama vya Siasa

    Rais Mama Samia Suluhu ametangaza atakutana na kuzungumza na vyama vya Upinzani chini. katika kujenga muktadha wa demokrasia nchini.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Bungeni: Kuboresha Kilimo na Uvuvi, Kukutana na Wanasiasa, Awaonya wanaopotosha Mitandaoni, ATCL kulindwa, Wanawake kuzingatiwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia Bunge la 12 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. UPDATES: Rais Samia ameshaingia ndani ya jengo la bunge na sasa Spika wa Bunge Job Ndugai anafuata taratibu za kiitifaki kabla ya Rais kutoa hotuba yake. HOTUBA YA RAIS...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Tutumie Mitandao vizuri, Rais anasoma maoni yetu

    David Kafulila ametoa wito kwa watanzania kutumia vizuri mitandao kwa kuwa Rais Samia anapitia mitandao. Amesema ikitokea Rais ametukanwa mtandaoni anaweza kuacha kusoma mambo mtandaoni kama alivyofanya Rais wa Kenya ambaye aliamua kuachana na mitandao ya kijamii. Amesisitiza umuhimu wa...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya Bunge, Rais atakapohutubia Aprili 22, 2021

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA BUNGE LA TANZANIA NA. MUDA SHUGHULI MHUSIKA 1. 3:00 – 5:00 Asubuhi Kikao cha Bunge Spika/Katibu wa Bunge 2. 5:00 – 8:00 Mchana Shughuli za Kiutawala Ukumbini Katibu wa Bunge/Chief of Protocol 3. 8:00 – 9:00 Alasiri Waheshimiwa Wabunge na...
  7. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa nchi kutumia Twitter kutoa matamko wakati raia hatuna access

    Inakuwaje Rais wa Nchi na Msemaji Mkuu wa Serikali, na Viongozi mbalimbali kutumia kurasa zao za TWITTER kufikisha ujumbe kwa wananchi wakati wanajua fika kuwa wameifunga na hatuna ACCESS na Twitter hadi tutumie VPN na pia walitangaza kuwa ni jinai kutumia VPN?
  8. J

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar walianza kumiliki Runinga kabla ya Tanganyika, tutegemee maendeleo makubwa kwa Rais Samia

    Katika issue ya maendeleo wazanzibar waliwahi tena ni " wajanja" kuliko Watanganyika. Wakati sisi tunasimuliwa mambo na wanasiasa wa zama zile Wazanzibar walikuwa wanayashuhudia kwa macho Runingani. Kadhalika katika swala la kujiamini wazanzibar wanajiamini zaidi kuliko watanganyika ndio...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuelekea Rais Samia kulihutubia Bunge: Barua ya Wazi kwa Spika wa Bunge Job Ndugai

    Mheshimiwa Spika, Nakusalimia kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Natambua leo ni siku ambayo rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan analihutubia Bunge la nchi yetu. Na mimi kama mwananchi nimelazimika kukuandikia barua hii ili kwayo uweze kutafakari, pengine itakusaidia wewe katika...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Bungeni: Usisahau kuongelea mambo haya...

    Mheshimiwa Rais, Unapojiandaa-andaa kulihutubia bunge, tena kwa mara ya kwanza; usisahau kuongelea mambo haya: 1. Ajira kwa vijana. 2. Bei za bidhaa, hasa bidhaa zinazoliwa 3. Gharama za tozo za simu 4. Katiba mpya 5. Maridhiano ya kitaifa 6. Ripoti ya CAG 7. Ubovu wa bunge la JMT. Kila la...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Waasi nchini Chad watishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais Deby aliyeuawa katika mapigano na waasi

    Waasi nchini Chad wametishia kumng'oa madarakani mtoto wa Rais aliyeuawa baada ya kuteuliwa kuwa kiongozi wa mpito nchini humo. Kundi la waasi ambalo jeshi limelilaumu kwa mauaji ya Rais Idriss Deby Itno, limesema kuwa wapiganaji wake wanaelekea katika mji mkuu wa N'Djamena wakati huu. Waasi...
  13. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Audio: Mahojiano yangu ya Radio Inland, Dunia yetu, Matarajio ya hotuba ya Rais kesho

    Mahojiano yangu ya Radio Inland, Idhaa ya Kiswahili kuhusu Hotuba ya Rais Kesho na matarajio. Na Yericko Nyerere
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Rais Mwinyi Afanya Teuzi

    Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amemteua Kanali Azana Hassan Msingiri kuwa Mkuu wa Kikosi Maalum cha Kuzuia Magendo(KMKM). Kanali Makame Abdallah Daima ameteuliwa kuwa Kamishna Kikosi cha Jeshi la Kujenga Uchumi(JKU) Kanali Rashid Mzee Abdallah ameteuliwa kuwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania BAWACHA: Rais Samia asiwatambue Wabunge 19 wa Viti Maalum waliofukuzwa uanachama CHADEMA

    Katika mkutano huo, Catherine Ruge amesema: Tumeona kwenye vyombo vingi vya habari kuwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassani anaenda kulihutubia Bunge tarehe 22 -04-2021 kwa mara ya kwanza tangu alipoapishwa kwa rais wa JMT kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Dkt. John Magufuli. Kuelekea tukio...
  16. Papaa Mobimba

    JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi za Wenyekiti wa Bodi, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu afanya teuzi mbalimbali za Taasisi
  17. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia S. Hassan akutana na Chama cha Wafanyabiashara wa China

    21 April 2021 RAIS SAMIA AKUTANA NA VIONGOZI WA JUMUIYA YA WAFANYABIASHARA WA CHINA Mhe. Samia Suluhu Hassan leo akutana na wawakilishi wa chama cha wafanyabiashara wa China wanaoendesha biashara zao Tanzania. Mwakilishi huyo wa chamber hiyo ya wafanyabiashara amebainisha kwa sasa kuna zaidi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Kikwete: Unapokuwa Mwenyekiti wa CCM na Rais basi unakuwa na nguvu sana

    Akizungumzia namna yeye binafsi alivyohakikisha Dr Magufuli anakuwa Rais wa JMT mwaka 2015 JK anasema " unajua unapokuwa mwenyekiti wa CCM na Rais unakuwa na nguvu kubwa " Maana yake alichanganya uenyekiti na urais wake kuhakikisha Magufuli anapeperusha bendera ya CCM. Kikwete aliweka hili...
  19. Nchi Kavu

    JamiiForums Tanzania Kuna ubaya Rais wa sasa kujiunga na CHADEMA?

    Tunakoelekea mambo yatakuwa moto kama Rais ataamua kusimamia yale anayoyaamini kuwa ni sahihi kwa taifa. habari za mitandao huko zinasema kuwa ziko harakati za kumkwamisha katika utekelezaji wake wa majukumu ya kila siku. Na ugumu zaidi ataupata kwenye chama chake CCM ambapo wanadai kuwa...
  20. Zakamwamoba

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatupo salama, Maadui wamepenya hadi Ikulu

    Kutokana kifo cha JPM, leo nilipata muda wa kutafakari mambo kadhaa. Tafakuri yangu imenipa jibu kwamba Tanzania tumevamiwa na maadui kila kona. Kitendo cha taarifa nyeti za Ikulu kuvuja mitaaani kabla ya taarifa rasmi maana yake kwamba kuna mamluki wengi wamejaa Ikulu. Picha ya jeneza la JPM...
Back
Top Bottom