rais

  1. M

    Ole Sabaya: Rais Samia Suluhu ameleta tumaini jipya katika wakati bado taifa likiwa kwenye maombolezo ya Hayati Magufuli

    Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amesema kuwa Rais wa sasa wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameleta tumaini jipya katika nchi yetu wakati bado Taifa likiwa kwenye maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt John Magufuli "Katikati ya majonzi umeleta tumaini...
  2. Miss Zomboko

    Mahakama yamuamuru Rais wa Brazil kumlipa fidia Mwandishi baada ya kumdhalilisha

    Mahakama nchini Brazil imemuamuru Rais wa nchi hiyo, Jair Bolsonaro kumlipa fidia mwandishi wa habari wa kike kwa kumtolea maneno ya kumdhalilisha. Uamuzi huo wa Mahakama umekuja kufuatia kauli aliyoitoa Rais Bolsonaro dhidi ya Patricia Campos Mello ambaye ni mwandishi wa habari wa gazeti la...
  3. K

    Tuache kumuita Rais Samia Suluhu Hassan 'Mama'

    Tumempata Rais mpya, anaitwa Samia Suluhu Hassan. Sidhani kama ni sahihi kumtambulisha kama Mama Samia Suluhu Hassan maana hata Magufuli alikuwa ni Baba kwa maana ya mzazi lakini kamwe hatukuwahi kuwaita Baba Jakaya, Baba Mkapa nk. Kisaikolojia kutanguliza neno "mama" ni kutweza cheo Cha Amiri...
  4. T

    Tukiwa tunaelekea Mei Mosi, TUCTA waomba Rais Samia asikilize kilio chao

    Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema lina matumaini na Rais mpya wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atashughulikia madai yao ya muda mrefu yalipwe kwa wakati ili kuinua maisha ya wafanyakazi. Shirikisho huru la vyama vya wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limesema...
  5. mama D

    Rais Samia Suluhu Hassan: Niwahakikishie kwenye hili la makusanyo na matumizi ya pesa za Serikali nitasimama imara

    Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka. Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa...
  6. Naantombe Mushi

    Tukusanye ule utabiri wote wa Samia kuwa Rais wa Tanzania

    Aisee ama hakika nlikuwa naperuzi peruzi page ya Instagram ya Madam President, aisee nimeshitushwa na mambo mawili. 1. Mara zote tangu awe makamu wa Rais 2015, amekuwa akiji promote kwa hadhi ya juu sana. Na hapa ndipo nimegundua ule msemo wa Bosi wangu Mkaburu 'Always promote your self'...
  7. The Father of All

    DOKEZO Rais Samia, tafadhali tupia jicho KASHFA YA LUGUMI na pia Makonda achunguzwe

    Mpendwa rais SSH, Leo naomba niseme kwa ufupi haraka kuwa kuna jipu ambalo lilimshinda mtangulizi wako kwa sababu ambazo hazijulikani. Jipu hili si jingine basi Lugumi. Huyu bwana aliiba pesa nyingi ya wananchi. Wakati wa kumsulubu ni sasa. Pia nidokeze kuwa hata Paul Makonda achunguzwe...
  8. Nyani Ngabu

    Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

    Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa. Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima. Na hivi ndivyo...
  9. S

    Rais, kwa afya ya demokrasia mteue ndugu Zitto na Mnyika kwenye Ubunge

    Mh. Rais Samia Suluhu Hassani kwanza kabisa nakupongeza kwa Urais, pili nakupa pole kwa kufikwa na msiba mzito wa Rais JPM. Baada ya hapo naomba uhusike na kichwa cha thread. Kwenye zile nafasi zako, naomba uwateue hao ama hata Mbatia ili wakasaidie bungeni. Ni hayo tu. NB: Mimi sio mfuasi wa...
  10. Queen Esther

    Mwacheni Rais afanye kazi yake kwa mujibu wa Katiba JMT

    Nimefatilia mijadala inayoendelea kwenye vyombo vya habari hususan wapinzani nikagundua kuna upotoshwaji mkubwa. Kwanza naomba kuwakumbusha Rais wa JMT Mhe. Samia Suluhu Hassan anafahamu mambo mengi kwani alikuwa msaidizi namba moja wa Hayati Dr. Magufuli. Wakati huo huo chama kinachotawala ni...
  11. B

    Gharama za msafara wa Rais wa Awamu ya Tano zinaweza kulingana na gharama za safari za nje za Rais wa Awamu ya Tatu

    Nimejikuta natafakari kuhusu ukubwa wa ulinzi wa Rais wa Awamu ya Tano na gharama za ulinzi huo nikihusianisha na sera yake ya kudhibiti safari za nje nabaini kwamba, watangulizi wake walikuwa na msafara wa watu wachache ila walikuwa pia na safari za nje na ukilonganisha hizi gharama za ndani na...
  12. B

    Mnaoshangilia tambueni CAG hajamtuhumu Rais aliyepita amefumbua macho kwake na kwa Rais mpya

    Ukaguzi wa mwaka 2019/2020 haujafanyika baada ya Mhe. Rais kufariki, ulifanyika akiwa hai na nakala ya vipande vya taarifa hii tayari vilishafika ofisini sema ni tqrehe tu yakuikabidhi ilikuwa haijafika. Wanaotaka kutuaminisha kwamba taarifa hii imeanza kuondoa legacy ya JPM wanataka...
  13. Erythrocyte

    Godless Lema amuomba Rais Mpya Samia Suluhu kuchunguza ofisi ya DPP na BoT

    Ameomba BOT ifanyiwe uchunguzi Maalum kutokana na dhuluma kwa wenye maduka ya kubadilisha fedha za kigeni , huku akiomba Ofisi ya DPP imulikwe kutokana na kashfa ya Muda mrefu ya kubambikia watu kesi.
  14. Kifurukutu

    Hayati Magufuli aliua upinzani, Rais Samia Suluhu ameuzika rasmi

    Tangu 2015 JPM alipoingia madarakani, kubwa zaidi alifanikiwa ni kuua upinzani na CCM ilipata kutamba kweli kweli pasi na kupingwa na chama chochote Muda mfupi tu tangu Rais Samia Suluhu kushika nafasi kuiongoza nchi hii upinzani umezikwa rasmi. Kwa sasa Tanzania haina upinzani tena, si ACT...
  15. Mtukudzi

    Rais Samia Suluhu Hassan rudisha watumishi hodari wakusaidie

    Naungana na watanzania kumpa pole kiongozi wetu Mh. Rais Suluhu kwa msiba wa Hayati Dr. Magufuli. Apumzike kwa amani. Tanzania ni nchi yetu sote na hatuna 'nchi mjomba'. Kwa hiyo tuipende nchi yetu. Serikali iliyopo madarakani inaweza isipendwe lakini siyo nchi. Baada ya utawala wa awamu ya...
  16. T

    Rais Samia Suluhu Hassan ampa onyo Waziri wa OR-TAMISEMI, Selemani Jafo

    Mh. Rais amesema Wizara ya Tamisemi ina matumizi ya ovyo ya pesa za Serikali, yenyewe haikusanyi ni mwendo wa matumizi kwa kwenda mbele hivyo kamwagiza Waziri Jafo afuatilie vizuri matumizi ya wizara yake na kama akishindwa Basi asaidiwe(atumbuliwe) Ushauri. Mh Seleman Jafo jipange...
  17. B

    Rais ametumia neno "NAOMBA" watendaji msimfanye aanze kutumia neo naelekeza, tekelezen wajibu wenu.

    Nimependa kauli aliyotumia Mhe. Rais, pamoja na kwamba yupo juu ya watumishi wote amejishusha nakuwaomba watekeleze maelekezo yake. Wapo watakaopuuza nakumfanya aanze kuwakoromea nakuwatimua timua...msimlaumu. Mfanye ajihisi mnapaswa kunyenyekewa kwa namna mnavyochapa kazi, mkizembea akakunjua...
  18. mwanamwana

    Rais Samia Suluhu amsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Mhandisi Deusdedit Kakoko

    Rais Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Ripoti ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, ametoa agizo la kusimamishwa Mkurugenzi Mkuu wa Bandari(TPA) kutokana ubadhirifu mkubwa unaoikumba mamlaka hiyo. Rais Samia Suluhu Hassan amesema haya “Ripoti...
  19. T

    Mheshimiwa Rais Samia amejipambanua kimataifa kwa kuipa lugha ya Kiingereza umuhimu wake

    Tunaipenda lugha yetu adhimu ya Kiswahili lakini hatuwezi kuipuuza lugha ya Kiingereza iliyotumika tangu ukoloni hadi 2015 ilipoanza kupoteza umaarufu. Lugha zote ni muhimu and 'they perfom the same function'
  20. FaizaFoxy

    Maana ya Jina la Rais wa Tanzania, Samia Suluhu

    Jina la Rais wetu Bi Samia Suluhu limeundwa kutokana na maneno ya Kiarabu. 1) Samia: Maana yake ni msikivu. Neno hili hupatikana hata katika salat za kila siku kwa Waislaam, pale Muislam anaposali, akinyanyuka kwenye rukuu husema "Samia Llahu liman Hamida". maana yake, Ni "Allah humsikia mwenye...
Back
Top Bottom