Tunaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya zawadi ya uhai wako John Pombe Joseph kwa taifa letu.
Tunashukuru kwa kutuachia serikali makini na imara chini ya aliyekua msaidizi wako na rais wetu kipenzi Mama yetu Samia Suluhu Hassan.
Kama alivyokuahidi ukiwa hai kwamba upumzike maana yeye...
Mzuka wanajamvi!
Hii imekkaje? CCM kwa propaganda nimewaanyooshea mkono. Yani walianza tangu enzi zile Rais Magufuli alipokuwa anatembelea mahospitali na madawati hii ilitangazwa sana huko Africa Magharibi ikawafanya watu wampende na kumkubali.
Hata ukiwaambia kajenga international Airport...
Nimesoma hii kitu ya Mwalimu Richard Yesaya Shukia, Shule Kuu ya Elimu, Chuo Kikuu Dar es Salaam imenitafakarisha sana
1. Niungane na watanzania wenzangu kwanza; kukupa pole kwa kuondokewa na mpendwa wetu, Hayati Rais John Pombe Magufuli; pili NIKUPONGEZE kwa kuwa Rais wa Tanzania wa awamu...
Mh Rais najua unapitapita kwenye mitandao, najua viongozi wengi unaochagua unaletewa majina baada ya kufanya vetting lakin mwisho wa siku wewe ndio unafanya final selection
Sasa Mh Rais Samia kuna Hawa watu Mwele Malecela, Maria Sarungi na Fatuma karume walishitupwa nje ya system na utawala wa...
Kila mtu makini naamini hushangaa na kutatizwa sana pale ambapo mamlaka ya uteuzi ya viongozi iwe Rais ama Waziri ama yeyote ili mradi ni mamlaka ya uteuzi inapofanya uteuzi muda huu, kisha in less than 24hrs inatengua uteuzi huo huo...
Hili lilijitokeza mara kadhaa ktk utawala wa Rais Hayati...
Sijui kwanini inaonekana kuna msukumo mkubwa kwa Rais Samia Hassan kufanya hili au kufanya like. Inawezekana katika kuonesha uhuru wake kutoka kivuli cha Magufuli anajaribu kuridhisha makundi mengi. Lengo lake la kuendeleza kutekeleza ajenda ya Magufuli-Samia2020-2025 yeye ndio anajukumu la...
Kwa mtazamo wangu ili kumuwezesha kufanya maamuzi akiwa na fikra huru wampunguzie access au kumuweka mbali na mitandao ya kijamii.
Lisipofanyika hilo utendaji wake utaathirika pakubwa kwani maamuzi yake yanaweza athiriwa na opinions za watu ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza zisiwe...
Tangu utawala wa Mh. Hayati Dr. John Magufuli uingie mwaka 2015 huo ndio ukawa mwisho wa ajira kwa walimu wa Arts.
Kwa heshima kubwa na taadhima ninakuomba Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan uwaajiri. Idadi yao ni kubwa kwa sababu walitengwa kwenye mfumo wa...
In The Wealth of Nations (1776), Adam Smith argued that taxation should follow the four principles of:-
fairness-that taxation should be compatible with taxpayers' conditions, including their ability to pay in line with personal and family needs;
certainty-meaning that taxpayers should be...
Msingi wa uzi huu ni kuwakumbusha CCM kuwa pamoja na Rais kutokea chama chao cha CCM, but once akishakuwa Rais anakuwa mali ya wananchi mali ya Watanzania wote, chama kinabaki kuwa kama mshauri tu lkn sio kushinikiza.
Kuna mambo mengi yameanza kujitokeza dhahiri yakifanyika kumshinikiza Rais...
Mods naomba msiunganishe huu uzi maana una maudhui ya kipekee!
Amani iwe nawe Mama!
Kwanza napenda kukupongeza kwa jinsi gani umeonekana kuwa unasikiliza maoni ya wananchi na kuyafanyia kazi haraka. Haya nimeyaona kwenye teuzi zako mbalimbali kuanzia Bandari, Katibu Mkuu Kiongozi na sasa...
Akihojiwa na Salama Jabir mbunge wa Morogoro kusini mashariki Hamis Taletale aka Babu Tale alisema yeye ni darasa la saba lakini alijiendeleza kidogo
Babu Tale alisema alipokutana na hayati Magufuli aliulizwa mbona unafanya mambo makubwa una elimu gani? Babu Tale akamjibu ana Masters.
Source...
Wateule wapya wanaapishwa Jumanne April 6, itakuwa vyemo tarehe isogezwe mbele ili kujiridhisha CV yakila mteule.
Tukumbuke kuwa baadhi ya majina analetewa na washauri wake, wengine wanaleta kwa maslahi binafsi na washauri wengi ni walewale wa awamu zilizopita.
Rais wetu usiwe na haraka...
Zaidi soma:
1) Vigogo watano akiwemo Mataragio wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) wafikishwa Mahakamani kwa matumizi mabaya ya madaraka
2) Rais Magufuli aiagiza Wizara ya Nishati kumrejesha kazini mara moja aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa TPDC, Dkt. James Mataragio
Furaha ya watumishi na wahitimu vyuo mbalimbali itarejea siku chache zijazo yaani Mei Mosi. Watumishi walio wengi wanaishi kwa ⅓ ya mshahara baada ya kuingia kwenye mikopo ili kuinua maisha yao.
Tunatarajia kusikia mambo haya kutoka kwa Rais:
Mishahara kupanda
Kupanda madaraja
Kupanda vyeo...
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan
Mwenyezi Mungu muumba wa mbinu na dunia amekuinua machoni pa wanadamu na kukupa Ukuu ili uliongoze taifa lake. Taifa la Mungu lilipoteza ibada takatifu ya na utukufu wake watanzania walimuona mwanadamu yule ni Mungu wao. Wakamtumainia, wakamtukuza wakampa utukufu wa...
Makamu wa Rais Dr Mpango amesema TRA wanapaswa kuwalinda wafanyabiashara na kuhakikisha biashara zao zinagrow badala ya kuwababaisha na kuwavuruga.
Dr Mpango ameahidi kufuatilia kwa karibu ustawi wa wafanyabiashara.
Kadhalika makamu wa Rais Dr Mpango amewapa wanaparokia wenzake salamu za Pasaka...
Watumishi wa umma wanamaumivu makubwa mioyoni mwao sio siri, hata kama kipaumbele ilikuwa kumaliza kwanza mambo ya msingi kama ujenzi wa miundo mbinu, kuimarisha sekta ya afya na elimu lakini waalihitaji kuonewa huruma.
Waziri mkuu alikatisha watu tamaa kabisa pale aliposema eti kuongeza...
Kwa mujibu wa utamaduni wa CCM unaoenda sambamba na katiba ya JMT, Rais atahudumu madarakani kwa mihula miwili ya miaka mitana halafu Mitano tena.
Hili halina majadiliano kwa sababu mjadala wake ulishafungwa mwaka 2000 na aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM mzee John Samwel Cyigwemisi Malecela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.