rais

  1. chakii

    UTEUZI: Rais Samia Suluhu amteua Balozi Hussein A. Kattanga kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Dkt. Bashiru Ali ateuliwa kuwa Mbunge

    Rais Samia Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashiru Ally ambaye ameteuliwa kuwa Mbunge. Rais Samia Suluhu amesema kuwa nafasi ya Balozi Katanga itajazwa baadaye.
  2. Shadow7

    Kaka wa Rais wa Honduras ahukumiwa kifungo cha maisha nchini Marekani

    Rais wa Honduras Juan Orlando Hernandez atoa ujumbe baada ya kaka yake Juan Antonio "Tony" Hernandez kupatikana na hatia ya ulanguzi wa madawa ya kulevya nchini Marekania, huko Tegucigalpa, Honduras Oktoba 18, 2019. Tony Hernandez, kaka wa rais wa sasa wa Honduras na mbunge wa zamani nchini...
  3. T

    Bajeti Kuu ya Serikali 2021/22 ni kipimo cha uongozi wa Rais Samia

    Macho na masikio ya wananchi yapo Dodoma kwenye Bunge la Bajeti kufuatilia ikiwa bajeti hii itakuwa mkombozi kwa wananchi ama la. Ikumbukwe bajeti nyingi za awamu ya tano zilijielekeza kwenye utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo mathalani ununuzi wa ndege, ujenzi wa SGR, Stieglers...
  4. J

    Kuna kila dalili Samia Suluhu atakuwa Rais wa muhula mmoja pekee, dalili hizo ni hizi...

    Nnilikuwa najiuliza hili swali nikawa sina uhakika, ila kwa sasa kutokana na mambo yanavyoenda inaonekana wazi kuwa huyu mama atakuwa Rais kwa muhula mmoja tu. Kwanza kabisa siasa sio Sayansi, haina exact jibu, upo upande ambao unaweza kutengeneza hoja Samia akawa rais wa vipindi viwili na pia...
  5. M

    Baraza la sasa la Mawaziri halikidhi matarajio ya wananchi chini ya uongozi mpya wa Rais Samia

    Tupo kwenye zama mpya na kila zama na style yake. Kwa hivi sasa wananchi wana matumaini makubwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atakuwa ni rais atakeyekidhi matarajio yao ya maendeleo lakini pia atakuwa rais atakayeondoa mapungufu makubwa yaliyoonekana katika serikali iliyopita ya rais...
  6. SULEIMAN ABEID

    Mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina amamkumbuka na kumlilia Hayati Dkt. Magufuli

    MBUNGE wa Jimbo la Kisesa, Wilayani Meatu mkoa wa Simiyu, Luhaga Mpina amemlilia aliyekuwa Rais wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli akimtaja kama kiongozi wa mfano na kielelezo barani Afrika katika kuleta maendeleo na kushughulikia kero na matatizo ya wananchi yaliyoshindikana kwa miaka mingi...
  7. M

    Je, Dkt. Mpango ana Afya njema kushika wadhifa wa Makamu wa Rais?

    Linapokuja suala la Afya ya viongozi hilo ni suala mujarabu kabisa kwa umma kuhoji. Leo akiongea bungeni, Dkt. Mpango ameonyesha kwamba hata yeye alikuwa hana taarifa zozote za kuteuliwa kwake kuwa Makamu wa Rais, hii maana yake ni kwamba hili suala limefanyika kwa usiri mkubwa bila hata yeye...
  8. J

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Watendaji chapeni kazi, Mjomba hayupo

    Makamu wa Rais mteule Dr Mpango amewataka watendaji kuchapa kazi kwani mjomba hayuko. Makamu wa Rais amesema hayo wakati akiwaaga wabunge wenzake tayari kabisa kutumikia nafasi yake mpya. BAVICHA chapeni kazi majungu siyo mtaji. Maendeleo hayana vyama!
  9. K

    Hili la Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni "mchafukoge" tafakari

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake. Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual. Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
  10. Mzalendo2015

    Rais Samia Suluhu hakikisha unawapa Watanzania Katiba mpya. Itakupa heshima kubwa sana

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan(SSH), awali ya yote na kwa moyo wa dhati kabisa nikupongeze kwa kuapishwa kuwa Rais wa 6 wa JMT. Watz wanajua huu ni mpanho wa Mungu. Wewe ndiye ulikuwa Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba,(BMK) mkiwa na marehemu Samwel Sitta. Mchakato ulifanyika, tukapata...
  11. Papaa Mobimba

    Rais Samia Suluhu Hassan ampendekeza Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Bunge lamthibitisha kwa 100%

    Jina hilo limepelekwa Bungeni na Mpambe wa Rais (ADC) Kanali Nyamburi Mashauri, na kukabidhiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai. Spika Ndugai akisoma ujumbe wa Rais Samia Suluhu Hassan amesema.. Mheshimiwa Spika, nawasilisha Bungeni Jina la Mheshimiwa Philip Isdori...
  12. Linguistic

    Tutarajie Uchaguzi mdogo Jimbo la Buhigwe baada ya Dkt. Philip Mpango kuteuliwa kuwa Makamu wa Rais wa JMT

    Mbunge akiteuliwa kuwa Makamu wa Rais anakoma kuwa mbunge. Hivyobasi, Dk. Philip Isidori Mpango atakapo apishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakoma kuwa mbunge wa Jimbo la Uchaguzi la Buhingwe lililopo Mkoani Kigoma, haya ni matakwa ya masharti ya Ibara ya 47 (6) ya...
  13. JOESKY

    Rais Mh. Mama Samia Ukivunja baraza la mawaziri wachunguze kila mmoja

    Asalaam Aleykum ndugu zangu...! Natumaini ni siku nyingine tena tumeamka tukiwa na afya tele Asante nyingi kwake Mola muumba wa mbingu na ardhi. Siku ya leo nina ushauri mfupi kwa Rais Mama Samia atakapolivunja baraza la mawaziri basi anatakiwa amfuatilie waziri mmoja baada ya mwingine katika...
  14. Analogia Malenga

    TSN yawasimamisha kazi waliofanya uzembe wa kuandika Rais Samia amefariki

    Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imewasimamisha kazi Anitha K. Shayo ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Matangazo na Rajab Juma Mohammed ambaye ni Msimamizi wa Dawati la Huduma kwa Wateja Wawili hao wameasimamishwa kazi ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za kushindwa kuzuia makosa kwenye...
  15. M

    Gazeti la Raia Mwema laripoti njama za kuiba pesa BoT wakati wa msiba wa Hayati Dkt. Magufuli

    Kwa kweli mafisi hayalali, Kuna watu walikuwa wamekula njama za kuiba pesa za wananchi zilizoko BOT kipindi cha msiba wa rais Magufuli—Gazeti la Raia Mwema linaripoti Gazeti hilo imeweka kiwango, na hadi account number Tunampongeza mh rais Samia Suluhu kwa kuagiza uchunguzi wa suala hili na...
  16. Analogia Malenga

    Makanisa Tabora yaungana kuliombea Taifa na mchakato wa kumpata Makamu wa Rais

    Maaskofu, Wachungaji, Mapadre na waumini wa makanisa mbalimbali Mkoani Tabora wamefanya ibada ya pamoja kuliombea taifa ili amani, umoja, mshikamano na upendo viendelee kudumishwa miongoni mwa Watanzania wote. Akizungumza katika ibada hiyo iliyofanyikia katika kanisa la KKKT-Tabora mjini Katibu...
  17. Roving Journalist

    Ikulu, Dodoma: Makabidhiano ya Ripoti ya CAG - Machi 28, 2021

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Edward Kichere leo tarehe 28 Machi, 2021 amemkabidhi Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ripoti za ukaguzi kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe 30 Juni 2020 katika halfa fupi iliyofanyika Ikulu...
  18. Q

    CHADEMA yashauri Katiba ifuatwe kuunda Serikali, Waziri Mkuu na Mawaziri waliopo hawakuapa mbele ya Rais wa sasa

  19. M

    Hivi Rais Mama Samia atawaruhusu wapinzani kuanza kupiga danadana na kupanda na kushuka katikati ya uwanja?

    Katika hali isiyotarajiwa na wenge Mama ameanza vizuri sana kuanzia aliposhika kijiti kuingia uwanjani, kwanza akaipaisha jinsia ya kike kuwa inaliweza kulisakata gozi. Na ndani ya masaa machache akaachia shuti baya sana upande wa TPA na likamng'oa mtu na hapo hapo akajigeuza na kuangalia winga...
Back
Top Bottom