David Kafulila: Tutumie Mitandao vizuri, Rais anasoma maoni yetu

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,256
2,000
David Kafulila ametoa wito kwa watanzania kutumia vizuri mitandao kwa kuwa Rais Samia anapitia mitandao.

Amesema ikitokea Rais ametukanwa mtandaoni anaweza kuacha kusoma mambo mtandaoni kama alivyofanya Rais wa Kenya ambaye aliamua kuachana na mitandao ya kijamii.

Amesisitiza umuhimu wa kutumia mitanda kwa staha ili mawazo muhimu yaweze kufanyiwa kazi.

Kafulila.png
 
holy holm

JF-Expert Member
May 6, 2017
3,277
2,000
aache ukuda wake, mtandaoni kuna ibuliwa mengi yaliyoshindwa kuibuliwa na waandishi uchwara.Ko tuache kuibua mambo kwa sababu Samia atazira.

Aendelee kudemka huko.
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
9,995
2,000
Huu ni ujinga sasa. Utawezeje kukosa wahuni katika ya mamilioni ya watu wanaoutumia mitandao. Shule tu yenye watu 1000 lazima upate wahuni wa kutosha itakuwa ni mitandao ambayo hata wengi wao huwezi kuwaona wala kuwapata.
 
luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
3,265
2,000
Mhe.Rais na Amiri jeshi mkuu, upatapo fursa ya kusoma mchango huu wa mwananchi wa JMT na mwalimu mstaafu wa primary school bac nakuomba mama wewe utuangalie sie wastaafu tulipwe mafao yetu na pension zetu. Mie tangia mwezi wa 12 napigwa danadana na watendaj wa Psssf vijana wale waongo mnoo ukiwakuta ktk madawati yao pale mbele wanakujibu tu wanavyo jisikia kukujibu mara wakwambie fike limewnda dodoma kumbe uongo file lioo ktk shelf.

Chondechonde mbe.Rais tuangalie wastaafu l.

Asante na nikutakie majukumu mema
 
Diss Meddy

JF-Expert Member
Oct 1, 2019
379
1,000

Mkuu umeandika kwa hisia zote hope atafanyia kazi maoni yako pindi yakimfikia.
 
Ntovye

Member
Apr 18, 2021
52
125
Mitandao ya kijamii ndio sehemu watu wa Tanaka zote, wanapo vent mawazo yao, yanayohisi hayafiki. Asiposoma, bado haisaidii kwakuwa watu wanaendelea kuondoa tension inayokuwepo vichwani mwao.
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,345
2,000
David Kafulila ametoa wito kwa watanzania kutumia vizuri mitandao kwa kuwa Rais Samia anapitia mitandao.

Amesema ikitokea Rais ametukanwa mtandaoni anaweza kuacha kusoma mambo mtandaoni kama alivyofanya Rais wa Kenya ambaye aliamua kuachana na mitandao ya kijamii.

Amesisitiza umuhimu wa kutumia mitanda kwa staha ili mawazo muhimu yaweze kufanyiwa kazi.

huyu msaliti kumbe yupo
 
Nguto

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
3,113
2,000
Mhe.Rais na Amiri jeshi mkuu, upatapo fursa ya kusoma mchango huu wa mwananchi wa JMT na mwalimu mstaafu wa primary school bac nakuomba mama wewe utuangalie sie wastaafu tulipwe mafao yetu na pension zetu. Mie tangia mwezi wa 12 napigwa danadana na watendaj wa Psssf vijana wale waongo mnoo ukiwakuta ktk madawati yao pale mbele wanakujibu tu wanavyo jisikia kukujibu mara wakwambie fike limewnda dodoma kumbe uongo file lioo ktk shelf.

Chondechonde mbe.Rais tuangalie wastaafu l.

Asante na nikutakie majukumu mema
Pole sana mkuu.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
402
1,000
mojawapo ya vijana wenye kiburi na dharau mno kwenye utumishi wa umma ni huyo jamaa. kwa wale ambao walishawahi kutembelea akiwa RAS Mbozi huko watajua yukoje. alinifanya niamini kuwa hata CHADEMA wakipata nafasi wanaweza kuwa na kiburi kama yeye, hafai kabisa.
 
Oswald Daudi Mwakibete

JF-Expert Member
Apr 16, 2018
1,052
2,000
mojawapo ya vijana wenye kiburi na dharau mno kwenye utumishi wa umma ni huyo jamaa. kwa wale ambao walishawahi kutembelea akiwa RAS Mbozi huko watajua yukoje. alinifanya niamini kuwa hata CHADEMA wakipata nafasi wanaweza kuwa na kiburi kama yeye, hafai kabisa.
Alikufanyeje mkuu?!
 
kichwa kikubwa

JF-Expert Member
Sep 24, 2013
2,137
2,000
Na yeye Mama Samia atumie madalaka yake vizuri ili nasi tutumie vizuri mitandao ya kijamii.
"ukinizingua tunazinguana"
 
IROKOS

JF-Expert Member
Aug 13, 2011
10,118
2,000
Mhe.Rais na Amiri jeshi mkuu, upatapo fursa ya kusoma mchango huu wa mwananchi wa JMT na mwalimu mstaafu wa primary school bac nakuomba mama wewe utuangalie sie wastaafu tulipwe mafao yetu na pension zetu. Mie tangia mwezi wa 12 napigwa danadana na watendaj wa Psssf vijana wale waongo mnoo ukiwakuta ktk madawati yao pale mbele wanakujibu tu wanavyo jisikia kukujibu mara wakwambie fike limewnda dodoma kumbe uongo file lioo ktk shelf.

Chondechonde mbe.Rais tuangalie wastaafu l.

Asante na nikutakie majukumu mema
1.Unapofuatilia mafao yako hakikisha unawaona wakubwa zao au meneja mhusika, usikubali kuishia kwa hao madogo, wataishia kukuzingua tuu na njoo kesho nyiingi. 2.Peleka hili bandiko lako kule Twitter au mpe jamaa yako mwenye akaunti Twitter maana kule wakubwa wengi, akiwemo Mhe rais waka account zao.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom