rais

  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kutembelea Kenya kwa ziara ya siku mbili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa TanzaniaSamia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya siku mbili nchini Kenya Anatarajia kufanya ziara hiyo kuanzia Mei 4, 2021 ambapo atapokelewa na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Ziara hii ya Rais Samia Suluhu Hassan itaambatana na ufunguzi wa kongamano la...
  2. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Nilikutana na chawa akimponda hayati Rais Magufuli, nikamjibu kama ifuatavyo

    NILIKUTANA NA CHAWA GEGEDU AKIMPONDA HAYATI RAIS MAGUFULI,NIKAMJIBU KAMA IFUATAVYO. Chawa Gegedu: Magufuli kaharibu uchumi na kuhurudisha itachukua miaka saba. Msemakweli: Sasa Magufuli kaharibu vipi uchumi na IMF ambao ni wazungu wakaiingiza Serikali yake kwenye uchumi wa kati!? Chawa...
  3. Private investigator

    JamiiForums Tanzania Niwasaidie kumuelewa Rais wangu Mama Samia. Wewe mwenye akili unganisha dots

    Sio nukuu za moja kwa moja ila nilichoelewa mimi: 1. Kasema tunatarajia kupandisha mshahara kwenye bajeti ijayo. Uelewa wangu: Bajeti ya 2021/2022 means inayojadiriwa sasa. 2. Mwakani nitakuja na package nzuri. Uelewa wangu: Kwa bajeti ya 2022/2023 3. Nimeshindwa kuongeza mshahara. Uelewa wangu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dk. Mpango tuombe Radhi!

    Mh.Makamu wa Rais wewe ndiye ulikuwa Mchumi namba moja wa Awamu ya Tano! Wewe ndio ulikuwa unatudadavulia kisomi mafanikio ya kiuchumi ya mwendazake! Wewe ndio ulituelimisha kuhusu uchumi wetu kukua kwa 7%. Wewe ndio ulituambia kuhusu ATCL kupata faida Hadi kutoa gawio kwa Serikali.😨 Leo...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Somalia: Wabunge wapiga kura kumfutia Rais nyongeza ya muda madarakani

    Wabunge Nchini humo wamepiga kura kufuta nyongeza ya miaka miwili madarakani kwa Rais Mohamed Abdullahi Mohamed iliyoidhinishwa mwezi uliopita baada ya jambo hilo kuibua mvutano mkubwa. Mgogoro wa kisiasa umeibua wasiwasi kuwa waasi wa Al Shabaab wanaweza kutumia nafasi hiyo kuhatarisha hali ya...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kusema yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja sio tiketi ya JPM kufananishwa na malaika, alikuwa mwanadamu tu.

    Ninamuelewa sana Rais Samia anaposema kuwa yeye na Hayati JPM walikuwa kitu kimoja. Kwamba ni maamuzi ya Hayati yaliyompa yeye nafasi ya kuwa mgombea mwenza. Kwamba yeye na Hayati walihangaika majukwaani na wakapigwa na jua pamoja mwaka 2015 ili waingie ikulu, hivyo haupo uwezekano wa wao...
  7. jmushi1

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wamemkubali Rais Samia, wamekula “Bata”

    Wanajamvi, Leo nimesikiliza madam President Samia Suluhu Hassan mwanzo mwisho. Mimi siyo mfanyakazi, lakini niliikubali hotuba yake na kuona busara nyingi sana ndani yake. Hata hivyo, sikuwa najuwa wafanyakazi wenyewe wameipokeaje hotuba hiyo. Jibu nililipata mtaani. Kwa kifupi sana...
  8. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Nilipoona Mama Samia anafanya mazungumzo na Makamu wa Rais na Gavana wa Benki Kuu Prof Luoga nikajua hakuna nyongeza

    DK Philip Mpango ndio kila kitu juu ya matumizi na mapato ya pesa za umma kuanzia awamu ya tano ilivyoingia na sasa awamu ya sita. Japokuwa tupo awamu ya sita lakini ni kama tupo awamu ya tano ya JPM. Maana huyu Dk Mpango ndie aliengineer kila kitu juu ya kuweka pesa zote hazina na kubana...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Mbunge wa Jimbo, Viti Maalumu na wa Uteuzi wa Rais kimaslahi ni vipi?

    Hivi wabunge wa viti maalum nao maslahi yao ni sawa na wale wa Jimbo? So Bashiru na Polepole nao wanakamata shilingi milioni 11?
  10. WAZO2010

    JamiiForums Tanzania HESLB: Baada ya Rais kafuta retention fee-6%-heslb tunaomba statements mpya

    Leo May, 1, 2021. Rais Samia S. Hassan ametangaza kufuta riba ya retention fee ya 6% (Riba ya wizi). Awali tulilipa 10% kama riba ya thamani yote; japo wao waliita penati. Ukweli una bakia kuwa ni riba tu. Na 6% kama retention fee (riba ya kutunza thamani ya fedha). Na makato kwa ujumla yalikuwa...
  11. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu pamoja na kutokujibu adhima ya watumishi, lakini hotuba yake ilijaa hekima

    PAMOJA NA KUTOKUTIMIZA ADHIMA YA WAFANYAKAZI, HOTUBA YA MHE RAIS IMEJAA HEKIMA KUBWA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo kilikuwa kilele cha siku ya Wafanyakazi Duniani. Nchini Tanzania sherehe hiyo imefanyika Mkoani Mwanza na Rais wa JMT kuwa Mgeni Rasimi. Mhe Samia ametumia muda huo...
  12. Kingsharon92

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ondoa hawa watu

    Mabibi na mabwana wazee kwa vijana Swali ya yote napenda kusema tu Jpm uliharibu sura ya miji na majiji yetu kwa kigezo Cha wanyonge Leo hii miji imekuwa Kama masoko au mashamba machinga mama ntilie wametapakaaa barabarani bila mpangilio taswira ya jiji miji haipo Tena Mama Samia ondoa hawa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Rais ana Mafua? - Nimemsikia anakohoakohoa wakati anahutubia Wafanyakazi

    Leo Rais wakati anahutubia wafanyakazi, ameonekana ana mafua, Sauti yake imesikika kama imeathiriwa na Mafua huku akikohoa hapa na pale! Ninamshauri Rais aongeze juhudi za Kujilinda ili asipate Covid-19 na kulilinda Taifa dhidi ya ugonjwa huo. Kama alivyosema yeye mwenyewe kuwa Huu ugonjwa...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia atangaza kupunguza kodi 1% ya makato ya Mishahara ya wafanyakazi kutoka 9% mpaka 8%..

    Asante mama
  15. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi: Ugonjwa wa Corona ulisababisha shida hata kwenye kulipa mishahara

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amesema Serikali ilikuwa na mpango mzuri wa kuongeza maslahi ya Wafanyakazi mwenye mishahara kwa awamu tatu Ameeleza, "Awamu ya kwanza ni kima cha chini kuwafikisha kwenye 300,000. Awamu ya pili ni watumishi wa kada ya kati na ya tatu ni Viongozi wa juu"...
  16. mama D

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na Watanzania, hiki ni kipindi cha kumuombea sana Rais wetu Sami zaidi kipindi kingine chochote

    Tukiwa tunapitia kipindi hiki cha mabadiliko ya ghafla ya uongozi wa juu wa nchi yetu ambayo hayakuhusisha uchaguzi. Watanzania tunatakiwa kusimama imara sana, tunatakiwa kuiangalia nchi na kuweka matakwa yetu binafsi kando, tunatakiwa kulinda tunu za taifa letu na kuweka itikadi zetu pembeni...
  17. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

    Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho ya Siku Kuu ya wafanyakazi duniani, nchini Tanzania Kauli Mbiu ya Mei Mosi 2021: “Masilahi Bora, Mishahara Juu, Kazi iendelee”

    Heri ya siku kuu ya wafanyakazi! Hii ni siku iliyobeba matumaini makubwa kwa wafanyakazi wote Tanzania. Baada ya kupandisha mishahara kwa mara ya mwisho July 2015 (by Kikwete) ni takribani miaka 6 sasa wafanyakazi wameambulia patupu. Matarajio kutoka kwa Rais: 1. Kuhimiza kufanya kazi kwa...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Waraka kwa Rais Samia Suluhu Hassan: Kilio cha wafanyakazi kwenye hifadhi ya jamii

    Waraka kwa Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kwanza kabisa kwa vile ni mara yangu ya kwanza kuandiaka toka Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan Ushike hatamu za Uongozi wa nchi yetu, nachukua nafasi hii kukupongeza sit u kwa kuwa Rais wa nchi yetu lakini kwa namna ambavyo...
  20. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Ni kitu kimoja ila marekebisho madogo madogo ya injini ni muhimu

    Ni kitu kimoja ila marekebisho madogo madogo ya injini ni muhimu
Back
Top Bottom