Rais Samia Mulika DAWASA, CEO wao hana uwezo, Wakandarasi na Wazabuni muda mrefu hatujalipwa

Pagan Amum

JF-Expert Member
Aug 28, 2015
1,932
4,395
Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite

Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne zaidi ya miaka miwili.

Kila ukiulizia unaambiwa unalipwa soon. Soon. Soon. ukifatilia hazina unaona kabisa fedha walizoomba approval kwa ajili ya malipo hayo wamepewa. Sasa unashangaa wanapelekwa wapi fedha?...

Rais wetu mpemdwa najua kwa sasa uko katika kuperuz CV za watu mbalimbali hili ni moja ya shirika ambalo usilisahau. CEO wake hana uwezo kabisa.
 
CEO hana uwezo wa kuwalipa wakandarasi na wazabuni au uwezo upi labda. Pili fedha zinaweza kuwa approved kwenye makaratasi lakini kusiwepo fedha za kulipa inabidi msubiri zipatikane
 
Moja ya shirika linalohitaji reshufle kubwa sana ni DAWASA. watendaji wamezoea kufanya kazi kwa mazoea. CEO wao ndio usiseme. Hana uwezo, anaishi kwa mazoea ya awamu ya tano.... kisa he was favorite

Zaidi ya wakandarasi 20. Wazabuni 14 wanaidai shirika hilo toka December mwaka Jana. na wengne zaidi ya miaka miwili.

Kila ukiulizia unaambiwa unalipwa soon. Soon. Soon. ukifatilia hazina unaona kabisa fedha walizoomba approval kwa ajili ya malipo hayo wamepewa. Sasa unashangaa wanapelekwa wapi fedha?...

Rais wetu mpemdwa najua kwa sasa uko katika kuperuz CV za watu mbalimbali hili ni moja ya shirika ambalo usilisahau. CEO wake hana uwezo kabisa.
Was a favourite unamaanisha nini
 
Ni mzuri ukaendelea kudai pesa zako ila jamaa Luhemeja kazi anaijua hebu jaribu kuangalia utendaji wa DAWASA kabla yake na baada ya yeye kuingia utaona ufanisi wake
 
Back
Top Bottom