rais

  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

    1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii 2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho. 3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu 4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana 5...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Polisi, Zimamoto, Magereza, Uhamiaji na Waziri mmeshindwaji kupandisha Askari vyeo Kama Rais alivyoagiza?

    Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza. Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
  3. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uoga: Kongamano la Katiba lazua balaa Mwanza. RPC aanza kumung'unya maneno, amsingizia Rais

    Hii ndio taarifa ya usiku huu kutoka Mwanza kwa hisani ya Maranja Masese
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, umerithi wasaidizi hivyo umerithi miiba pia

    Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025. Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano Katiba Mpya...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mhe. Rais kuhusu tozo kwenye miamala za simu

    Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa. Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Picha za kwanza za mjane wa Rais wa Haiti akiwa hospitalini Florida

    Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani. Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya...
  7. Puma yetu

    JamiiForums Tanzania DC Jery Muro unamchonganisha Rais na Wananchi. Kiburi na chuki zako zitakumaliza

    Kupitia kauli zako za kuwania wananchi wa Wilaya ya Ikungi kua una Majeshi, Polisi na Mabomu kwamba inaweza kumlipua mtu wakati wowote, ni kauli za hovyo na za kijinga kwa kiuongozi ambaye umepewa mamlaka ya kulea na kutunza amani ya eneo husika kwa niaba ya mkuu wa nchi. Jery Muro kauli zako...
  8. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Waziri Mwigulu Nchemba, nani kakutuma umchonganishe Rais na wananchi wake? Hautafanikiwa...

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, pamoja na mambo mengine, ni mkuu wa nchi na mkuu wa Serikali. Kuongoza nchi na Serikali ni kuongoza watanzania wote: furaha na karaha zao huelekezwa kwa Rais. Mazuri yao na mabaya kwao wananchi husemwa kuwa yametokana na uongozi wa Rais aliye madarakani...
  9. Shark

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais Inawezekana Kabisa Unahujumiwa bila kujijua

    Habari Mheshimiwa Rais, Nikiri wazi Mimi sikua mshabiki wako, sababu pia sikua mshabiki wala mfuasi wa Chama ulichopo. Na hata ulipoanza kua Rais sikua na matumaini yoyote kwako, sababu kubwa hasa ni kua wewe ulikuwepo kwenye madaraka enzi zile za jamaa yule. Hivyo nilijua uongozi wako...
  10. skilled masala

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzuru nchini Burundi 16 Julai, 2021

    Masala Sayi Chuo Kikuu cha Iringa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021. Ziara hiyo imekuja kama mwaliko wa Rais wa Taifa hilo Mh. Evariste Ndayishimiye.Taarifa iliyotolewa na Mkurungezi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kumchagua Dkt. Mpango kuwa Makamu wa Rais ni kosa kwa kuwa kashfa nyingi zipo Wizara ya Fedha

    Mh. Madam President ana haki kabisa kumchagua msaidizi wake. Ila alifanya kosa kwa kumchagua Dr P. Mpango. Sababu kuu ni kuwa ametoka wizara nyeti ya Fedha. Wizara hii aliiongoza kwa miaka 5 na zaidi na ndio inayoongoza kwa kashfa za ubambikaji wa kodi, kushuka kwa thamani ya shilingi, wizi...
  12. Ileje

    JamiiForums Tanzania Rais Omary al Bashir wa Sudan alipinduliwa kwa ongezeko la bei ya mkate, Watanzania tunachekelea Serikali kuongeza kodi lukuki

    Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga! Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir kwa kuongeza bei ya mkate kwa kufanya maandamano nchi nzima. Walifanikiwa na sasa Bashir anatumikia...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Faida ambazo Wananchi wanapata kwa kila mara kuangalia Picha za Rais akitoka Dom kuja Dar na Dar kwenda Dom kwa Ndege

    Binafsi nitafaidika zaidi nikiona Picha za Rais yypo maeneo mbalimbali ya nchi yenye Changamoto mbalimbali akionana na Wananchi wake na kutatua Matatizo yao ya Kimsingi. Mpaka hivi sasa GENTAMYCINE naitafuta Tija ya kila mara tu Mitandaoni tunaonyesha Picha za Rais akipunga mkono akipanda Ndege...
  14. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Ghana kurudisha posho yote aliyopokea tangu Rais aingie madarakani ili kulinda taswira yake

    Mke wa Rais wa Ghana, Nana Akufo-Addo, Rebecca Akufo-Addo, amesema atarudisha kiasi chote cha fedha alichowahi kupokea kama posho tangu mumewe aingie madarakani mwaka 2017. Hatua yake hiyo imekuja baada ya wananchi kulalamikia uamuzi wa Bunge kumuongezea posho na kufikia Dola 3,500 kwa mwezi...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi waingia mitaani kudhibiti vurugu zinazohusiana na Rais Zuma kufungwa

    Watu sita wameripotiwa kufariki baada ya kuwa na vurugu zilizosababishwa na kufungwa kwa aliyekuwa Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma Wanajeshi wame;azimika kuingia mitaani ili kudhibiti vurugu zinazoendela ambapo hadi sasa watu 219 wamekamatwa katika vurugu hiz Katika Jimbo ambalo Zuma...
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania DKT. Mollel: Rais Samia ametoa bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF)

    "Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi Bilioni 148 kwa ajili ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenda kuwasaidia wananchi wasiokuwa na uwezo kuwa na uhakika wa bima. Tusiposimamia vizuri mifumo yeti na kuondoa ubadhirifu, mfuko huu utakufa" Dkt. Godwin Mollel
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown”

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini ameongeza wiki mbili nyingine za “lockdown” kama njia mojawapo ya kupunguza maambukizi ya Covid- 19 nchini humo. Hatua hiyo imekuja kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu waliopata maambukizi ya ugonjwa wa Corona nchini Afrika ya Kusini. Ramaphosa alisema...
  18. funaku

    JamiiForums Tanzania Wakosoaji wa Hayati Rais Magufuli wanatetea nafasi zao na sio umma

    Ukifanya ufuatiliaji na uchambuzi wa kisayansi kwa watu wanaokosoa uongozi wa hayati John Pombe Magufuli utagundua common characteristic au feature moja muhimu. Wengi wa wakosoaji walinyooshwa katika maslahi yao fulani ya kibinafsi na sio ya umma. Ukosoaji huu hauna mashiko kwa sababu basis...
  19. Q

    JamiiForums Tanzania Prof. Mussa Assad: Katiba Mpya ni Muhumu, itamjenga Rais na haitampunguzia chochote

  20. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Ni kazi gani ambayo ilisimama na sasa Rais anasema iendelee? Mmewahi jiuliza

    Hizi Kauli mbii hazitokei tu. Zina kuwa na maana. Wakati mwingine ni surface meaning na deep meaning. Kuna kilipindi kazi zilisimama.sivyo? Sasa Rais anasema ziendeleeee. Swali ni kazi zipi na zilisimama kwa kipindi gani? Tushauriane hapa ili kumsaidia Mh. Rais.
Back
Top Bottom