Huyu Waziri namtabiria muda wowote kuanzia sasa 'Kutumbuliwa' na Rais Samia, labda Nduguye 'amsalie' sana Ubungo Maji

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii

2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho.

3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu

4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana

5. Wizara yake kila Kukicha tu inakuja na Matamko ya Kujichanganya yanayoonyesha kuwa Watendaji wa hiyo Wizara hawashirikiani

6. Anaongoza Wizara ambayo Mwanadamu yoyote yule hawezi Kuikwepa kama kweli anayapenda Maisha.

7. Akiongea ni lazima akunje Uso na Ndita, ana Majibu ya Jeuri na Nyodo, anaringia mno Taaluma yake, Mjuaji na ana Dharau na kuna Barua inayosambaa sasa Mitandaoni ya Kuihusu Wizara yake ambayo naamini kuwa ndiyo inaenda Kummaliza.

Sioni kama atadumu hapo Miezi 6 ijayo.
 
Huyo ni Waziri wa Afya, Dada Gwajima. Maringo saba,ndita kila neno. Dharau pande zote.

Huyu ndo waziri mbishi kuliko wote waliowahi kuteuliwa kushika wizara ya Afya nchini Tanzania,naomba Mbunge Gwajima azidishe maombi ili mama asimuhukumu.

Matamko yake,ni sehemu ya bezo ambazo kazipata baada ya kupandishwa kutoka Mkurugenzi wa Tiba Hadi Mbunge wa kuteuliwa na rais Kisha waziri wa Afya.

Sabato njema.
 
Tuombeane kheri muda woote na kuneneana yaliyo mema. Mungu asimame Upande wa anayenangwa awe imara katika Uongozi wake.
 
Huyo ni Waziri wa Afya, Dada Gwajima. Maringo saba,ndita kila neno. Dharau pande zote.

Huyu ndo waziri mbishi kuliko wote waliowahi kuteuliwa kushika wizara ya Afya nchini Tanzania,naomba Mbunge Gwajima azidishe maombi ili mama asimuhukumu.

Matamko yake,ni sehemu ya bezo ambazo kazipata baada ya kupandishwa kutoka Mkurugenzi wa Tiba Hadi Mbunge wa kuteuliwa na rais Kisha waziri wa Afya.

Sabato njema.
Kuna mawaziri ni viraka
 
Wanyiramba hamna maana,Huku Mwigulu kule Dorothy na wote wanabugi tu.Tatizo lenu mnapenda sana sifa,Ujuaji na kujisikia mno!
Hivi kumbe hili ni suala LA kabila? Kuna dogo mnyilamba alikuwa tukienda kwenye usaili anaona yeye kaonewa ilibd apate ile kazi
Anajikubal na kuona yeye yuko na mauwezo
 
1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii

2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho.

3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu

4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana

5. Wizara yake kila Kukicha tu inakuja na Matamko ya Kujichanganya yanayoonyesha kuwa Watendaji wa hiyo Wizara hawashirikiani

6. Anaongoza Wizara ambayo Mwanadamu yoyote yule hawezi Kuikwepa kama kweli anayapenda Maisha.

7. Akiongea ni lazima akunje Uso na Ndita, ana Majibu ya Jeuri na Nyodo, anaringia mno Taaluma yake, Mjuaji na ana Dharau na kuna Barua inayosambaa sasa Mitandaoni ya Kuihusu Wizara yake ambayo naamini kuwa ndiyo inaenda Kummaliza.

Sioni kama atadumu hapo Miezi 6 ijayo.
Mkuu ungemtaja tu huyo Waziri badala ya kuzunguka zunguuka.
 
Back
Top Bottom