Katika hotuba mbalimbali za Rais Samia Suluhu Hassan ameonyesha nia yake ya dhati kukuza uchumi wa taifa letu pamoja na kustawisha ustawi wa mtu na maendeleo yake. Haya ameyasisitiza katika hotuba zake wakati wa siku ya wafanyakazi na alipokutana na wazee wa Dar es Salaam. Katika hafla hizi...
Kifo cha Rais Magufuli kimefunua siri ambayo nadhani wengi hawakuwahi kuijua. Kifo cha Rais Magufuli kimeonyesha jinsi ambavyo Rais Samia alikuwa hajui siri za nchi ambazo kwa wadhifa wake kama Makamu wa Rais alitakiwa awe anajua!
Nakumbuka hata Rais Magufuli alipoingia madarakani alikuwa hajui...
Ningelipata nafasi ya kuonana na rais SSH ningelimuuma sikio na kumpa tahadhari kwamba awe kama ndege mbayuwayu (akili za kuambiwa achanganye na zake.
Rais SSH bado ana kundi kibwa Sana la watu ktk serikali yake waliokuwa wameaminiwa na mwendazake. Na kimsingi watu hawa walijipanga kufaidi...
Hivi nchi imetupa heshima hivi tunataka nini? Mkoa umetoa makamu wa Rais.
Tunaweka silaha chini kumuenzi mwana kigoma mwenzetu, cha msingi atupiganie.
ACT wazalendo kama chama cha waha, tunasema Samia katuheshimisha,tutamlipa kwa kura zote 2025,na wabunge wote, madiwani, na viongozi wote wa mitaa
Ijumaa hii mishahara mipya itatoka. Lile punguzo la kodi ya PAYE ambalo Dr. Mwigulu alimshauri mama kwa watumishi wenye mishahara midogo kwa hesabu za haraka ni punguzo la Shilingi 2,750/- (Shlingi elfu mbili, mia saba na hamsini tu). Kwa maana hiyo kila mtumishi wa Serikali na Sekta binafsi ata...
Mh Rais Mama Samia suluhu Hassan bado hujastuka tu kuwa mtu huyu ni hatari katika utawala wako? Waziri wako anadharau amri ya Rais ambayo jana tu asubuhi umemuagiza yeye mwenyewe atwambie kwamba umesikia manung'uniko yetu na kwamba umeziagiza wizara zikae zishughulikie malalamiko yetu wananchi...
Anachofanya Mwigulu si kwa bahati mbaya. Anajua vizuri sana na anatumia mbinu ya kumchonganisha Samia na wananchi huku akijipanga kuja gombea Uchaguzi wa mwaka 2025/2030. Hafanyi kwa bahati mbaya.
Hizi tozo mpya anajua anachofanya. Anamshusha Rais Samia huku yeye akijiwekea mazingira ya kupata...
Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama.
Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma kila mara. Nilikuja kufatilia mambo fulani katika moja ya Wilaya "Mkoa kanda ya ziwa" ni wiki ya 3...
Juu ya uchaguzi wa jimbo la Konde. "Kwa sababu mtu awe kiongozi marejeraha mabichi kuna watu wana majeraha mabichi kuna watu pamoja na watoto walemavu ina raha gani? Kwangu mimi haya ni mazito,na lazima niwaambie ukweli" - Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Othman Masoud
Mi nimetafakari kwa kina sana ila nimeshindwa kupata jibu. Yafuatayo najiuliza
1. Mh. Rais alisaini au hakusaini hiyo sheria ya TOZO mpya?
2. Kama alisaini, je alikuwa anapima upepo wa wananchi?
3. Je, ni political tension?
4. Je, itakuwa imemuongezea asilimia za kuupiga mwingi?
Kama kuna...
Ndugu rais
Kiungwana niseme kwamba nimefarijika angalau kidogo kwa wewe kuchukua hatua ya kurejea makato ya miamala na kutoa muongozo kuwa makato hayo yaangaliwe upya. Binafsi naona kwamba huo ni usikivu na ni ukomavu. Kwa sababu kiukweli kabisa hii kitu ilikuwa imetukalia vibaya sisi wananchi...
Mbinu ni zile zile hakuna jipya katika Serikali zetu za Kiafrika. Kutengeneza tatizo halafu unalitatua.
Tumeona jinsi ambavyo sasa wana CCM wameambiwa wajifanye kumwomba Rais Samia aangalie suala la tozo mpya ya miamala ili baadaye Rais aseme amesikia kilio cha wananchi na kuondoa.
Inabidi...
Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount.
Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount.
Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku kwa mtumiaji wa simu.
Maana kwa mwezi (siku 30), kila mtumiaji wa simu angechangia Tshs. 300.
Kwa...
MIEZI 4 BILA JPM:KWA NINI RAIS MAGUFULI ALIWEZA KUIJENGA NCHI BILA TOZO YA MSHIKAMANO!?
Leo 12:50hrs 18/07/2021
Mwana wa kweli wa Afrika, Son of the soil, Hayati Rais Dr. John Pombe Magufuli,ndani ya miaka mitano aliifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati bila tozo ya mshikamano akifanya...
By the time mama Samia ana karibia kumaliza muda wake wa uongozi hiyo mwaka 2030, mamilioni ya Watanzania wata tamani katiba ibadilishwe ili Mama Samia aongezewe muda , lakini halitawezekana tena kwani kwa wakati huo, kwa sababu tayari atakuwa ameshapitisha katiba...
1. Ameingia katika Mtego wa Kujibizana na Mitandao ya Kijamii
2. Anatumia muda mwingi Kubishana badala ya kutoa Suluhisho.
3. Anataka Kumuonyesha Mtangulizi wake katika hiyo Wizara kuwa alikuwa hajui Kitu
4. Hajajua tu kuwa Mama hamtaki hapo ila anamuwinda tu amtoe na sababu imepatikana
5...
Kupitia ukurasa wa Instagram Malisa ameeleza mianya iliyopo kwenye jeshi la Polisi kuhusu vyeo. Amefafanua namna ambavyo kukosekana kwa baadhi ya vyeo ndani ya jeshi Hilo kunashusha heshima ya jeshi nakupelekea ugumu katika kuongoza.
Baada ya kusoma makala ile nilijaribu kufanya utafiti Kwanza...
Kutokana na michezo ya kisiasa inavyoendelea nchini, sisi wananchi tunaona kabisaa wasaidizi ama washauri wa Rais wanamzunguka na wanahakikisha anaenda kuanguka kwenye uchaguzi mkuu 2025.
Issues ambazo seems unazungukwa ni hizi hapa
Wasaidizi uliohama nao kutoka Awamu ya Tano
Katiba Mpya...
Kwanza Salamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe Rais ukiona asilimia kubwa ya wananchi wanapiga kelele kwa jambo la msingi uelewe kuwa kuna jambo linalohitaji kufuatiliwa.
Suala la tozo kwenye miamala za simu limekuwa kubwa na unatakiwa ulitolee/ulichukulie uamuzi wa haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.