rais

  1. JF Member

    Rais Samia, hili la wagonjwa kulipa wakati wa matibabu litasababisha vifo vingi

    Rais Samia ameshauri uwepo mpango mzuri ili kutozuia maiti kwenda kuzikwa. Ameenda mbali na kushauri kwamba wagojwa walipe gharama wakati wa matibabu ili kupunguza mzigo akifariki. Naomba nimshauri Rais wetu: 1. Wagonjwa watibiwe tu ili wapone. Ukiaamrishwa walipe wakati wakitibiwa kutawafanya...
  2. TheDreamer Thebeliever

    Hali ni tete Uganda, Corona yashika kasi tena kupelekea shule kufungwa. Rais Samia Hassan aharakishe chanjo

    Habari wadau..! Taarifa zinasema hali ya uviko 19 nchini Uganda imezidi kushika kasi kwa siku wanareport wagonjwa 500. Shule zimeanza kufungwa tena vifo vimeongezeka maradufu katika hii phase ya pili ya Corona nchini Uganda. Kwa niaba ya watanzania wazalendo naomba mheshimiwa rais Samia Hassan...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    Kuna watu wanadhani Rais Samia yupo Ikulu kalala, kwa sababu walizoea 'show-off' na kelele

    MAMA SAMIA ANAFANYA KAZI, MSIDHANI KALALA IKULU. Na, Robert Heriel Kuna watu wananifurahisha sana, yaani ukiwasikiliza ni kama wachekeshaji fulani hivi ambao hawajatambua vipaji vyao. Wapo wanaosema Mama Samia hafanyi kazi, wapo wanaosema nchi inaongozwa na JK, wapo wanaosema Rais ni Mpole...
  4. Analogia Malenga

    Kilosa: Rais Samia afuta mashamba 11 na kufufua 49

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ameshusha neema kwa wananchi wa Kilosa kwa uamuzi wa kufuta jumla ya mashamba 11 yenye ukubwa wa ekari 24,119 katika wilaya ya Kilosa mkoa wa Morogoro na kugawiwa kwa wananchi kwa ajili ya shughuli za kilimo, ufugaji na uwekezaji...
  5. Relief Mirzska

    Asante Maxence Melo kwa kumuomba Rais Samia Suluhu Hassan Katiba Mpya LIVE

    Kwa heshima naomba nkuvulie kofia niliyovaa wakati huu naandika huu uzi. Wakati historia inaandikwa juu ya upatikanaji wa katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Maxence Melo tutamtambua kama prominent figure wa kwanza kabisa kutoka hadharani na kumuomba Mheshimiwa Rais Mama yetu...
  6. C

    Kwanini Rais akitaka kufanya jambo anazunguka sana kupata uhalali?

    Habari wana JF, Tangu Mh. Rais ameshika madaraka, ameonekana akitaka kufanya jambo anatafuta "zuga" flani ili aeleweke. Swali ninalojiuliza kwa nini asiwe anachukua msimamo na kulifanya jambo moja kwa moja? Mfano: 1. Inafahamika kabisa swala la kuondolewa kwa "machinga" alishalipitisha siku...
  7. robinson crusoe

    Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi waliokula pesa za Maabara za wananchi, nao pia watakamatwe

    Rais Samia. Tafadhari sana. Wakuu wa wilaya wenye tabia ya Sabaya ni wengi. Wilaya nyingi watu wana vilio vya wakuu hawa ambao walikula michango ya wananchi na hasa kwenye ujenzi wa maabara na madarasa. Wananchi walitoa michango kwa nguvu, lakini bila huruma pesa zimeliwa. Hawa nawaona ni...
  8. Civilian Coin

    Mama zetu wana thamani kubwa kwenye maisha yetu

  9. U

    Rais Samia leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais Kagame wa Rwanda

    Wasau wa JF, Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan leo Juni 03 amepokea ujumbe maalumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mheshimiwa Paulo Kagame. Katika ujumbe huo uliowasilishwa na Mjumbe maalumu...
  10. Mwanamayu

    Hivi ni msomi mzuri wa 'sociology' au 'psychology' ndio mwenye utaalam wa kusoma tabia ya mtu na kubashiri matokeo? Je, jibu la Rais ni sahihi?

    Wakati wakiaapishwa makatibu tawala wa mikoa, Mhe. Rais Samia alisikika katika hotuba yake kuwa aliwasimamisha wakuu wa mikoa na makatibu tawala hao wa mikoa ili kusoma sura zao na kubashiri yatakayotokeoa mikoani. Alisema kwa msomi mzuri wa sociology atafahamu nini kitatokea kwa kuangalia...
  11. Erythrocyte

    Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

    Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.
  12. Mtu Asiyejulikana

    Rais Samia, kana una nia ya dhati dhidi ya uovu, wengine hawa hapa wanaoshutumiwa kwa uhuni, ufisadi na dhulma

    INAMPASA MMOJA AFE KWA AJILI YA WENGI? HAPANA WAFE WOTE WENYE DHAMBI. (JE, OLE SABAYA AMETOLEWA SADAKA?) Tunashukuru kwa hatua uliyoichukua dhidi ya Sa baya. Huyu alikuwa na makando kando mengi nyakati za utawala wa Hayati John Pombe Magufuli(Dhulma, Matumizi mabaya ya Uongozi, Ufisadi n.k)...
  13. ANT DRUGS

    Muwaache wanafunzi waliorudi likizo, msiwarubuni kimapenzi

    Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
  14. T

    Mwandosya tuliambiwa asiye na Wizara maalum, Mkuchika kazi maalum. Kazi zipi hizo?

    Ninakumbuka Jk alipounda baraza lake la kipindi cha pili cha uongozi wake, alimteua pro. Mark Mwandosya akatuambia kuwa amemteua kama waziri asiyekuwa na wizara maalum. Sasa hivi tena ameteuliwa waziri Mkuchika ambaye tunaambiwa kuwa ni waziri kazi maalumu. Kwa uelewa wangu mambo yote ya...
  15. SN.BARRY

    Rais sio Mungu naye huwa anakosea

    Ninampenda sana Rais wetu Mama Samia ila ninaomba kumsahihisha kuwa rais ni binadamu huwa anakosea. Tukianzia kwa Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Marehemu na yeye mama mwenyewe tukisema tuorodheshe mazuri na mabaya yao jamiiforums server haitatosha. Ushauri kwa mama: Achape kazi tunampenda...
  16. J

    Rais Samia: Kilimanjaro Wakuu wa Wilaya walimsumbua sana RC Mghwira wakidai Rais amekosea kuteua

    Rais Samia amesema Rais hafanyi makosa katika kuteua kutoka wafuasi wa vyama vya upinzani. Rais Samia amesema kuna wakati wakuu wa wilaya pale Kilimanjaro walikuwa wanamsumbua mama Mghwira kwa madai kuwa hayati Magufuli alikosea kumteua. Rais hakosei, amesisitiza mama Samia. Uzi huu ni...
  17. mwengeso

    Wateule wa Rais Awamu ya Sita kitanzi shingoni

    Kila kukicha hotuba za Rais SSH kwenye mikutano na dhifa mbalimbali zinaakisi kauli yake Mimi ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kauli hiyo inatuma ujumbe mzito kwa wateule wake kwamba wasithubutu kumdharau kwa kwa sababu ya jinsi yake. Hoja yangu hii inathibitishwa na maagizo...
  18. Replica

    Chamwino, Dodoma: Rais Samia Suluhu awaapisha Makatibu Tawala

    Jana Rais Samia Suluhu aliwasili mjini Dodoma na leo atawaapisha makatibu tawala aliowateua Mei 29, 2021. Pia Rais Samia aliwateua William Erio kuwa Afisa mtendaji mkuu wa FCC na Dkt. John Mduma kuwa mkurugenzi mkuu wa WCF. Kuwa nami. ========== Tulia Ackson: Wanawake hamkuteuliwa kwakuwa ni...
  19. Analogia Malenga

    Museveni: We have clues to ‘the pigs’ who attacked Gen Katumba

    The assassination attempt was carried out in the same style as those that led to the death of over 28 people, including top government officials, in the past seven years. President Museveni has vowed to “defeat” armed assailants who attacked and injured former Works and Transport minister Gen...
  20. Mromboo

    Gazeti la Majira ongezeni umakini. Ni Samia na sio samia. Jina la Rais lianze kwa herufi kubwa

    Muda mwingine wahariri wanajitafutia matatizo na kulazimika kuomba radhi. Waheshimu sana utambulisha wa mtu, nchi au Taasisi. Naomba kuwasilisha
Back
Top Bottom