rais

  1. J

    Jimbo analotoka Rais au Makamu wake haliwezi kuongozwa na mbunge wa upinzani!

    Hilo hata Zitto Kabwe analijua vema kabisa. Na hapo Tume ya uchaguzi imemheshimu sana mh Zitto Kabwe kwa sababu mgombea wake ilikuwa akatwe mapema kabisa halafu wanaachwa wagombea wawili tu CCM vs TLP ya Mrema. Jimbo analotoka kiongozi wa juu lazima liwe na usalama wa kutosha. Kazi Iendelee!
  2. Relief Mirzska

    Ushauri kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mh. Hussein Ali Mwinyi

    Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mimi kama kijana wako imenipitia tafakuri ambayo nimeona nikushauri kwayo. Inawezekana mada hii ikazuwa mjadala ambao ukawa na matokeo hasi kwako kama mtu au kwa taasisi ya Urais, hiyo siyo nia yangu mkuu na kwa kuwa wewe ni mtu...
  3. Zanzibar-ASP

    DPP Biswalo Maganga kuwa Jaji, Rais Samia umekosea sana

    Miongoni mwa watu walioteuliwa leo na Rais Samia Suluhu kuwa majaji wa mahakama kuu, jina la DPP Biswalo Maganga lipo pia. Hili jambo limetushtua sana wadau wa mambo ya sheria, kuna kitu tunakiona hakiko sawa na kinakwenda kutuharibia zaidi mhimili wetu wa sheria. Nitaweka sababu za msingi sana...
  4. Ngongo

    Karne 21 bado ni sahihi DC & RC kuteuliwa na Rais?

    Heshima sana wanajamvi, Tanzania ilipata uhuru wake zaidi ya miaka 60 iliyopita.Tumepitia awamu mbali mbali kuanzia awamu ya kwanza ya Mwl Nyerere hadi sasa awamu ya sita ya Mama Samia Suluhu. Nimekuwa nikitatizwa na namna tunavyojitawala,hasa katika suala la zima la mamlaka ya uteuzi wa...
  5. W

    Uteuzi wa Wakuu wa Mkoa umekaa kimkakati, Hongera sana Rais Samia

    Nimpe Hongera Rais wetu mama Samia Suluhu, kwa teuzi za wakuu wa mikoa alofanya. Nimependa kwani imekaa kimkakati zaidi na hasa kwa kuangalia uwezo na kushabihiana kwa wasifu wa wakuu hao na mikoa waliopangiwa. Mfano kwa uchache: Mhe. Makala kupangiwa Dar, huyu ni mtu wa shughuli, na ni...
  6. Erythrocyte

    Ni lini IGP Sirro utafanya mabadiliko ya MA RPC ili kwenda na kasi ya Rais Mpya ?

    Kumekuwa na Malalamiko mengi sana huko kwenye mikoa ya Kipolisi kutokana na utendaji wa kutiliwa shaka wa Jeshi la Polisi , ninaamini hata wewe IGP unafahamu , si vema kurudia malalamiko hayo hapa ili kuokoa muda. Sasa tumeona mabadiliko ya uongozi karibu kila idara na kila mahali...
  7. F

    Wakati Rais akilihutubia Bunge alisema kuwateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake, mbona kateua Ma-RC wanawake wachache?

    Hivi punde Rais Samia Suluhu amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa huku wanawake wakiwa wachche mno ktk uteuzi huo. Akilihutubia Bunge kasema atawateua wanawake kwa wingi ktk teuzi zake. Mbona imekuwa kinyume? Je hakuna wanawake wenye uwezo wa kuongoza mikoa au kashauriwa tofauti na watu wenye...
  8. Chizi Maarifa

    Watu wa Mwanza tumemkosea nini Rais kutuletea Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa? Tumekosa nini Yarabbi!

    Hili suala limenihuzunisha sana. Jiji la Mwanza linaenda pelekewa Chalamila awe Mkuu wa Mkoa. Mbeya wameondolewa a Clown ambaye ameletwa jiji la Mwanza kama adhabu kwetu. Huyu mtu alipaswa apumzishwe. Hakuwahi kuwa na hekima au akili ya kuwa na cheo hicho. Mbeya wanashukuru sana maana...
  9. J

    CCM ni lazima ibadilike chaguzi za 'Kitemi' zimepitwa na wakati, Rais Samia yuko sahihi kukijenga upya chama

    CCM itaendelea kutegemea dola ili ishinde uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu hadi lini? CCM itaendelea kutegemea mbeleko ya Wakurugenzi na wakuu wa wilaya hadi lini ilhali katika uhalisia mioyo ya wapiga kura huwezi kuisemea wala kuiamulia? Ni wakati sasa CCM ijijengee uhalali wa...
  10. M

    Rais anayetumia ndege na msafara wa watu 30 na anayesafiri kwa barabara na msafara wa Magari 50, ni yupi anabana Matumizi?

    Leo Krav Maga nipo Kiuchumi (Kiubahili) zaidi hivyo nawataka Political and Economic Pundits wa JamiiForums hapa mnidadavulie Kiundani ili nijue nani anauharibu Uchumi na nani pengine ndiyo anaukuza Uchumi. Na tafadhali mtakaokuja Kunichambulia (Kunidadavulia) hapa mnipe Gharama ya Mafuta ya...
  11. R

    Rais, Mama Samia ni kweli tuna utaalamu na wataalamu wa kisayansi kujiridhisha kama chanjo za corona zinafaa au hazifai?

    Simply hatuna wataalamu wa kubaini kama chanjo inafaa au haifai kwetu! Haya mambo siyo rahisi kama wanavyokuaminisha. Hatuna Investigators brochure (IB) za hizo chanjo, then how do you judge the safety of an investigational product? (sidhani kama J&J, Moderna, Pfizer utawalazimisha wakupe hizo...
  12. funaku

    Nashauri kamati ya kumshauri Rais kuhusu chanjo ifuatilie hili pia

    Natambua kuwa Kamati tajwa imepewa hadidu za rejea kadhaa ili kumashauri Rais kuhusu msimamo wa kupokea kukubali chanjo ya Corona au la. Ni wazi kuwa Kamati imepewa maswali na hadidu za rejea kadhaa kuhusu ugonjwa huu. Napenda niwaongezee jambo muhimu la kufuatilia japo linaweza kuwa nje ya...
  13. Fundi Madirisha

    CCM wenye GUBU mwacheni Mhe Rais afanye kazi yake.Dhihaka hazijengi, na atawapuuza.

    Salaam za Eid El Fitri! Ndugu zangu wanaccm hasa waliojawa na roho za chuki na Gubu nawaomba ujumbe huu uwafikie siku ya leo mpate kuelewa. Acheni dhihaka zenu za reja reja kwenye mamlaka inayotambuliwa na katiba ya jamuhuri wa muungano wa Tanzania, hizi Gubu,chuki na roho mbaya zenu ni kelele...
  14. J

    Alhaj Kova: Waislam na wasio Waislam tunaahidi kumpa ushirikiano wa kutosha Rais Samia

    Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini wa Bakwata alhaj Seleman Kova amesema waislamu na wasio waislamu wanaahidi kumpa kila aina ya ushirikiano Rais Samia Kova amesema hayo wakati wa swala ya Eid El Fitr. Source ITV habari Eid Mubarak!
  15. Kinuju

    Rais Samia: Tanzania haitakubali chanjo ya Corona kabla ya kujiridhisha

    Rais wa Tanzania Samia Suluhu leo akiwa anahutubia kwenye baraza la Eid amewatoa hofu mashehe na watanzania kwa ujumla kuwa Tanzania siyo uwanja wa majaribio na haitakubali kupokea chanjo ya Corona kabla ya kufanya utafiti wa faida na madhara ya chanjo hiyo kwa watanzania. My take. Chanjo ya...
  16. konda msafi

    Kuna watu wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mitandaoni, kwani watu wa mitandaoni sio Watanzania au hawapaswi kusikilizwa?

    Kuna watu wana hoja mfu sana. Wanabeza Rais kusikiliza maneno ya mtandaoni. Kwani watu walioko mitandaoni sio watanzania au hawapaswi kusikilizwa? Watu wa mitandaoni ndio hawa hawa watu wa mitaani. Au wanadhani watu wa mitandaoni wanatoka sayari nyigine? Mitandao ni platform sahihi kabisa ya...
  17. U

    Makamu wa Rais azuru Kaburi la Magufuli akiwa njiani kuelekea Kibondo

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango ametembeleaa kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt John Magufuli. Dkt Mpango alizuru kaburi hilo akiwa njiani kuelekea Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma ili kufunga kampeni za Uchaguzi za CCM jimboni Muhambwe...
  18. M

    TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  19. Kishimbe wa Kishimbe

    Bandari zetu nazo ziwe chini ya Ofisi ya Rais kwa Usalama wa Taifa

    Naona sasa ni muda muafaka bandari zetu zikawa 'monitored directly' kutoka ikulu na special branch of IT graduate and highly motivated TISS operatives. ... hii itasaidia kupunguza safari za kushtukiza ambazo, naanza kuona, hazileti tija yeyote katika kudhibiti upigaji na kuongeza ufanisi! Picha...
  20. M

    Kongole nyingi Kwako Rais Samia kwa Kutujua haraka Watanzania na Kucheza vyema na Akili zetu za Kimihemko na Matukio

    Baada ya kugundua umetukwaza kwa DPP Biswalo Mganga na Kelele kuwa nyingi Mitandaoni hatimaye leo umefanya U - Turn ya maana kwa Kutufurahisha kwa Kumtumbua DC Ole Sabaya. Na kwa jinsi Watanzania tulivyo Watu wa Bendera fuata upepo na Watu tunaoishi kwa Matukio na Mihemko tayari la Biswalo...
Back
Top Bottom