Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,735
- 29,129
Mwanamama mjane wa rais wa Haiti Jovenel Moise, Martine Moise 47 akiwa kitandani Hospitalini Florida Marekani.
Kwa majonzi amewalaumu maadui wa mume wake kwa kumuua kikatili bila hata kumpa fursa ya kuongea. Martine anasema wamezima ndoto ya Jovenes kuleta huduma za kijamii miundo mbinu ya barabara, maji na hospitali.
Rais Jovenel Moise na Martine walikuwa kwenye ndoa kwa miaka 25. Walifahamiana miaka 30 iliyopita na kuanzisha biashara yao ya magari na spare ambayo baadaye ilifanikiwa kuwa kubwa na mafanikio.
Martine anaumia sana kwa sababu hajapata hata fursa ya kumuaga mme wake.
Mungu amfanyie wepesi na faraja.
'You have to be a notorious criminal without guts to assassinate a president like Jovenel Moïse with impunity without giving him the chance to speak. You knew who the president was fighting against,' she said.