rais

  1. Q

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum BoT, CAG abaini uwepo wa malipo kufanywa nje ya bajeti

    Rais Samia Suluhu Hassan leo amepokea Taarifa ya Ukaguzi Maalum kutoka kwa CAG inayohusu matumizi ya fedha zilizotolewa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kuanzia Januari hadi Machi 2021. Ripoti imebaini uwepo kwa miradi ambayo haikupangwa na hivyo kufanya malipo nje ya bajeti.
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Indonesia kuchukua hatua za dharura kukabiliana na ongezeko la maambukizi ya Corona

    Kufuatia ongezeko kubwa la maambukizi ambalo limepeleka Sekta ya Afya kulemewa, Rais Joko Widodo amesema Indonesia itachukua hatua za dharura ili kukabiliana na hali ya mlipuko. Kirusi Delta ambacho kilisababisha ongezeko kubwa la maambukizi India mwezi Aprili na Mei kimetajwa kusambaa katika...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki lafanya Uchaguzi wa Rais, Makamu na Katibu Mkuu

    Wanabodi, Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania katika mkutano wake Mkuu wa 77 uliofanyika makao makuu Kurasini kuanzia tarehe 21-25 Juni 2021 walifanya uchaguzi wa Viongozi watakaosimamia wa shughuli za baraza katika miaka mitatu ijayo kuanzia 2021 mpaka 2024 Baraza limemchagua...
  4. Nyanswe Nsame

    JamiiForums Tanzania NGO's zaomba kukutana na Rais Samia

    NGO's zaomba kukutana na Rais Samia Mashirikaka yasiyo ya kiserikali Kanda ya ziwa yameomba kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MH. Samia Suluhu Hassan ili kueleza kero na changamoto zinazowakabili. Miongoni mwa changamoto ambazo masharika hayo yameeleza ni zile zinazochangia...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso: Rais abeba jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatlia ongezeko la mashambulizi nchini humo

    Rais Roch Marc Christian Kaboré amechukua jukumu la Waziri wa Ulinzi kufuatia mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yenye lengo la kudhibiti mashambulizi ambayo yamelikumba Taifa hilo. Makundi ambayo awali yalikuwepo Nchi jirani ya Mali yameingia Kaskazini na Mashariki mwa Burkina Faso na kufanya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Xi Jinping wa China atoa hutuba kwenye mkutano wa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa CPC

    Mkutano mkuu wa kuadhimisha miaka 100 tangu kuanzishwa kwa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) leo umefanyika hapa Beijing. Rais Xi Jinping wa China ametoa hotuba muhimu kwenye mkutano huo. Kwenye hotuba yake, rais Xi ametanga kuwa China imetimiza lengo la kwanza la karne, yaani kujenga jamii...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba ashangazwa na Rais Samia kumuachia mtu aliyekula njama katika wizi wa shilingi zaidi ya bilion 300 za Escrow kwa kutoa bilion 26 tu

    Akiongea na waandishi wa habari leo profesa Lipumba ameonyesha kushangazwa na hatua ya Rais Samia kumuachia huru mtu aliyekula njama za kukwapua zaidi ya shilingi bilion 350 za Escrow kwa kutakiwa kulipa shilingi bilion 26 tu, Profesa anahoji hizo pesa nyingine sasa zinakwenda wapi, na...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ukipata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani?

    Je, ungepata nafasi ya kumshauri Rais kuhusu kuleta wawekezaji ungemshauri alete wawekezaji wa viwanda gani. Toa maoni yako, hapa. Maoni yako ni muhimu.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia maoni ni Haki yake bali Maamuzi na Utekelezaji

    Niwasalimu kwa jina la JMT. Kama binadamu na kama rais, Mama Samia ana haki zake za msingi zikiwamo za kuwa na maoni na mawazo yake. Mtu halaumiwi wala kushutumiwa kwa maoni au mawazo yake bali kwa maamuzi na matendo. Mama anaona kuwa katiba mpya si kipaumbele chetu. Tupo tunaodhani katiba...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kukutana na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) leo Juni 25, 2021 Rais atakutana nao katika Makao Makuu ya TEC, Kurasini ========== 5:30 Asubuhi: Rais Samia Suluhu ameshafika na kuimbwa wimbo wa Taifa, kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa...
  11. J

    JamiiForums Tanzania IMF yamhakikishia Rais Samia itasaidia mapambano dhidi ya Covid 19 na kuhuisha sekta zilizodororeshwa na Corona ikiwemo Utalii.

    Ujumbe wa Shirika la Fedha duniani ( IMF) umekutana na Rais Samia Ikulu jijini Dodoma na kumuahidi kusaidia mapambano dhidi ya Corona. Kadhalika IMF itasaidia kuhuisha shughuli zilizoathiriwa na Corona ikiwemo utalii. Chanzo: ITV habari
  12. robinson crusoe

    JamiiForums Tanzania Ukimuacha Nyerere, makosa ya Marais wetu ni ya makusudi kwa manufaa ya familia zao

    Watu hawa tumewadekeza sana na wanazidi kuwa wezi na mafisadi siku hadi siku. Mwinyi alikuwa na matatizo ya kuuza Loliondo bila aibu na maeneo ya wazi Dar yakachukuliwa. Mkapa akauza viwanda hovyo hovyo na kujiuzia yeye mwenyewe pia, akagawa Tanesco kwa Netgroup solutions ya SA, akagawa ATC kwa...
  13. Memento

    JamiiForums Tanzania Tutakukosoa tu, hakuna aliyelazimisha uwe Rais. Sikiliza wapinzani tunataka nini

    Ukisikiliza tena kwa makini ni kama naye hapendi kukosolewa. Anasema kabisa sio na kigazeti chako mara uandike samia hivi mara vile, vingine vya uongo vingine vya ukweli. Hii kauli inalenga kuwatisha waandishi na wakosoaji. Siku 100 tu unaanza kuona kwamba kukosolewa kunauma je miaka mitano...
  14. Autodidacts

    JamiiForums Tanzania Wote wameingia kibahati na kutotarajia, Rais Samia hana jipya tena

    Hayati Magufuli a.k.a mwendazake aliwahi kukiri kuwa hakutarajia kuwa Rais wa awamu ya tano. Wengi tunakumbuka yaliyotokea, mpambano wa Membe na Lowassa ndio uliomzaa Magufuli kama suluhu ya kambi mbili pinzani ndani ya CCM wakati huo. Mwendazake alipata heshima na makofi mengi ndani ya siku...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Kama Rais Samia anaifungua nchi ni nani aliifunga? CCM iombe Radhi

    Siku mia moja za Rais Samia ni pongezi kila kona bila kukoma lakini kuna baadhi ya hiana. CCM inafanya hiana kwa Watanzania na baadhi ya washauri wa Rais wasije kutufanyia hiana. Mama tunamuheshimu sana na kwa kweli kaanza vyema. Tunampongeza kwa hatua alizofanya kwa sasa na hatutonyamaza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposhangilia tamu, tukubali na chungu za Rais Samia

    Rais Samia amezungumza juu ya hatima ya Katiba. Rais akaomba apewe muda 'asimamishe nchi' kwanza kabla ya kuingia kwenye masuala ya Katiba. Jibu la Rais Samia limewakera baadhi ya watu. Mijadala kwenye mitandao ya kijamii na vijiweni imekuwa mingi. Wanalalama kwanini hataki kuleta Katiba mpya...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ahukumiwa kifungo cha miezi 15 gerezani

    Mahakama ya Juu zaidi Nchini Afrika Kusini imemhukumu aliyewahi kuwa Rais wa Taifa hilo, Jacob Zuma kifungo cha miezi 15. Uamuzi huo umekuja baada ya Mahakama ya Kikatiba kumkuta na hatia ya kudharau Mahakama baada ya kukaidi agizo la kufika kwenye Uchunguzi wa Ufisadi wakati akiwa Rais. ======...
  18. Yericko Nyerere

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Usiruhusu wakugombanishe na umma

    Mh Rais, Kwasiku 100 ulizoongoza nchi zimekuwa za kutukuka sana, Taifa limepumua na kuonyesha mageuzi makubwa sana, Kwahakika nakupongeza sana sana, Umewathibitishia wazi unaweza kwa wale waliodhani huwezi kuongoza nchi. Jambo la msingi leo naomba kuzungumzia kikao chako cha jana, ambapo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Rais, kivutio kikuu cha Wawejezaji Duniani ni utawala unaotabirika kisiasa na kisheria

    Naomba kumshauri Rais kwamba kwa mtazamo wangu Ni vigumu kupata wawekezaji walio serious kuja kuwekeza nchini kwa sababu nchi yetu haina mfumo mzuri wa kisheria na kikatiba. Haki Tanzania inapatikana kwa utashi wa Rais na si kwa kuzingatia misingi ya kisheria. Ni kweli anaweza anaweza kuvutia...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napendekeza aliyekuwa 'akimshauri' Hayati Rais Dkt. Magufuli aseme Tanzania hakuna kabisa 'Corona' asakwe popote na 'anyongwe' upesi sana

    Nina sababu Mbili tu juu ya hili ambazo... 1. Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kusema na Kukulazimisha Watanzania tuamini kuwa hakuna Corona nchini nina uhakika huenda ikawa imepelekea Vifo vingi kuliko hata idadi ambayo tunategemea huku 'tukilainishwa' kwa neno la 'Kinafiki' kuwa ni...
Back
Top Bottom