rais

  1. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango ni kweli ulishiriki kumtuma Sabaya kufanya mambo machafu?

    Habari za midaa hii wa JamiiForums. Leo tarehe 13 agosti kumetrendi katika mitandao ya kijamii kile kinachoitwa no utetezi mahakamani wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya DC Sabaya. Imeelezwa kuwa amekiri kilichokuwa kikifanyika ama alichokuwa anatekeleza ktk kesi yake ya unyanganyi kwa kutumia siraha...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amekerwa na Arsenal kushindwa

    Mzuka wanajamvi! Rais wa Rwanda Paul Kagame amekerwa na kuhuzunishwa kwa Arsenal kufungwa 2-0 na vibonde Brentford waliopanda daraja EPL. Kagame alisema kama mshabiki mkubwa wa Arsenal amehuzunishwa na kukerwa na matokeo hayo. Nakuomba mabadilikoyawepo haraka sana. Ikumbukwe Rwanda inailipa...
  3. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Utetezi wa Sabaya: Amwangushia zigo Hayati Magufuli na kudai Gavana Luoga na Makamu wa Rais Dkt. Mpango walifahamu

    Mshtakiwa wa kwanza katika kesi ya unyang'anyi wa kitumia silaha na Kupora Mali na fedha ,Lengai ole Sabaya (34)ameiambia mahakama kuwa alitumwa na rais marehemu John Magufuli kuvamia duka la Shaahid Store ili kumkamata Mmiliki wa duka hilo, Mohamed Saad. Akiongozwa na wakili Mosses Mahuna...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mnyika atakiwa kujieleza kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kisa kusema Rais Samia alisema uongo

    Msajili wa Vyama vya Siasa amemtaka Katibu Mkuu wa CHADEMA J J Mnyika kujieleza kufuatia kauli yake kuwa katika mahojiano ya BBC Rais Samia alisema uongo. Msajili amesema lugha hiyo dhidi ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ni kinyume kabisa cha maadili. Mnyika ameandika katika ukurasa...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Chanjo ni hiari: Spika Ndugai ni nani kuipinga kauli ya Rais?

    Bunge kupitia mh Sipika nasikia eti ataweka zuio la wabunge wote ambao hawatakuwa wamechanjwa wasiingie bungeni Kwa kauli moja ya Mh Rais huwa ni sheria, Mh Rais alitangaza wakati tu nchi inajiandaa kuingia kwa ajiri ya wananchi kupata chanjo kwamba, Chanjo ni hiari ya mtu, mtu akitaka na...
  6. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Tusitake kumpelekesha Rais Samia, hapangiwi namna gani aendeshe nchi

    Mbona hamsomi katiba ya JMT hasa ibara ya 33 na mamlaka ya urais kuongoza taifa la Tanzania? Head of a state is a head of a state. Msitake kuleta dharau. Mnataka awabembeleze wapinzani ambao sio wazalendo? Acheni dharau. Mnakaa mnalialia ,mama amebadilika,mama amekuwa dikteta mlikuwa mnataka...
  7. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Naanza kuamini kuna hujuma dhidi ya Rais Samia

    Kuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni 1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya...
  8. beth

    JamiiForums Tanzania Madagascar: Rais awaondoa kazini Mawaziri wote

    Rais Andry Rajoelina amewaondoa kazini Mawaziri wake wote bila kutoa sababu, lakini siku chache zilizopita alisema kuna mapungufu Serikalini na mabadiliko yanahitajika. Hatua hiyo imekuja kufuatia Ripoti za kuwepo jaribio la kumuua Rais huyo ambaye amekuwa madarakani tangu mwaka 2019. Zaidi ya...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Mwambieni Shaka A Shaka atulie, kazi yake siyo kumtetea na kumsemea Rais Samia

    Shaka A. Shaka tangu amepewa nafasi hiyo amekuwa bize kujibu kila mashambulizi yanayoelekezwa ama kwa rais SSH moja kwa moja au kwa serikali yake. Jana baada ya BBC swahili kurusha maoni ya J. J . Mnyika kuhusu kauli ya rais SSH wakati akihojiwa na chombo hicho hicho mara tukaona Shaka A. Shaka...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru: Rais Samia hana wazo la kugombea Urais 2025

    Rais wa JMT Mh Samia Suluhu Hassan amesema hana wazo la kugombea urais katika uchaguzi mkuu wa 2025. Chanzo: Gazeti la CCM, Uhuru PIA, SOMA: CCM: Gazeti la Uhuru limepotosha; Rais Samia hakusema kuwa hatogombea 2025 News Alert: - CCM yasimamisha uchapishaji wa gazeti la Uhuru kwa siku 7 na...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia punguza dharau kwa unaowangoza, hazitokusaidia chochote

    Katiba yetu ya JMT pamoja na kupitwa na wakati inawatambua Watanzana kwamba ndiyo wenye nchi. Kwamba mamlaka zote katika nchi wenye kuziweka ni Watanzania. Sasa uhalisia wa hili na ubora wa mchakato wa kuwaweka watu kwenye mamlaka ni topic nyingine tofauti. Hivyo, kwa msingi huu Rais wa JMT...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

    MAJIBU YA MNYIKA KWA RAIS, MWENDELEZO WA LOW IQ NDANI YA CHADEMA Siku zote nimekuwa nikisema Chadema ni genge la wahuni na basi kama kuna wakati hilo limethibitika basi ni majibu ya Chadema leo kwa mahojiano ambayo Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameyafanya na BBC akiwa mtulivu na akijenga hoja...
  14. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania Aina ya uongozi wa Rais Samia unafaa kwenye nchi au taifa lenye taasisi imara na huru lililojengwa katika msingi imara wa Kikatiba

    [A.] Mahojiano ya BBC na Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan yanatafakarisha sana... Mimi sifanyi tathmini ya aidha amejibu maswali vibaya au vizuri. Ninchotaka kusema ni kuwa, yamefunua vitu vipya incase kama mtu haja - notice. Nitaeleza; 1. Huyu mama kuna kila dalili kuwa she's a...
  15. Memento

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni Watanzania gani hao waliokubali hizo tozo?

    Nimeshangaa na kufadhaishwa sana naa kauli ya raisi kuwa eti watanzania hawajakataa tozo na wapo tayari kuchangia hizo tozo ila tu zipunguzwe. Hii kauli imenifanya nijiulize sana kuwa either amechoka kuongoza au hajui afanye nini. Watanzania gani hao wanaokubali tozo hizi? Mmekaa wenyewe...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ipunguze Tozo kwa Mbadala huu hapa...

    Story of Change kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan. Naanza kwa nukuu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Aliwahi kusema ili tuendelee tunahitaji mambo manne. Watu, Ardhi, Siasa Safi na Uongozi Bora. Katika haya nachagua Ardhi na Watu kukusanya fedha ya kutosha ikiwa ni mbadala wa Tozo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Miaka ijayo Rais Samia atakumbukwa kama 'Iron Lady', tumpe muda ya kuendeleza vita vya uhujumu uchumi na ugaidi

    Tukiachana na unafiki, hakika nikiri kusema Serikali ya Rais Samia ni imara na madhubuti kwenye kusimamia amani na usalama wa nchi yetu. Jukumu la Rais kama amri jeshi mkuu ni kuhakikisha usalama na amani vinalindwa kwa nguvu zote na yeyote anayeonesha viashiria vyovyote vya kuvunja amani...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asanteni sana PSU kwa Kuuimarisha zaidi Ulinzi (Usalama) wa Rais

    Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa na Watu Wengine pembeni wenye Silaha Kuu na Nzito wakiwalinda Marais wetu. Huwezi ukawa na Wahuni...
  19. Ritz

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati wetu wengi wao ni waganga njaa wanataka Rais wetu alindwe na Sungusungu

    Wanaukumbi. Hawa wanaojiita wanaharakati wengi wao ni waganga njaa wanasema Rais analindwa na ulinzi wa kidikteta daaah wamekosa agenda kwa hiyo walitaka alindwe na mgambo au Sungusungu ndiyo wafurahi. Wanajiita wanaharakati za haki za binadamu lakini kwenye ulinzi wa Rais wanaonyesha chuki ya...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Iran: Rais apata chanjo iliyotengenezwa na Wairan wenyewe

    Rais wa Iran Ebrahim Raisi ambaye ameapishwa hivi karibuni, amepata chanjo ya #COVID19 ya COVIran Barekat. COVIran ni moja ya chanjo inayotengenezwa Iran ambayo ipo katika mchakato wa kuidhinishwa na Shirika la Afya Duniani (WHO). Maambukizi ya COVID19 yameongezeka na vifo zaidi ya 500...
Back
Top Bottom