Rais Samia apokea Ndege ya Mizigo, aeleza nia ya Serikali kuboresha Sekta ya Anga kwa miaka mitano ijayo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,841
2,000
Rais anapokea ndege ya Tisa

Taarifa zaidi kukujia


RAIS SAMIA: MIAKA MITANO IJAYO TUMEJIPANGA KUIMARISHA SEKTA YA ANGA

Rais Samia Suluhu Hassan amesema wamejipanga kuimarisha Shirika la Ndege na Usafiri wa Anga

Amesema hayo katika mapokezi ya ndege mpya ambayo itafanya Tanzania iwe na ndege 9

==
RAIS SAMIA: TUMENUNUA NDEGE YA MIZIGO KWA KUWA UCHUMI UNAKUA

Rais Samia Suluhu amesema sababu ya kununua Ndege ya Mizigo ni kukua kwa uchumi

Amesema kwa sasa Tanzania inazalisha sana maua na mbogamboga hivyo Ndege ya Mizigo ni muhimu
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
63,946
2,000
Kwahiyo kwenye mapokezi ya ndege mikusanyiko inaruhusiwa?

Au waliokusanyika washadungwa kitu cha Johnson?

Msamaria mmoja aniangalizie kama spika wetu Job Ndugai kahudhuria mapokezi.... huwa hakosagi yule kwenye haya mambo...

Otherwise tuanzishe kampeni yetu pendwa "Where is our beloved Speaker?"
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom