Naamini ujio wa Sungusia TLS utaendeleza harakati na vuguvugu la kuirudisha TLS kuwa chombo cha kitaaluma chenye nguvu na hari ya kusukuma utawala wa sheria.
Kitarudi kuwa chombo kinachotazamwa na watu kama njia ya kufikia haki pamoja na chimbuko la mawazo mapya. Kitakuwa chombo chakusukuma...
Nimepokea kwa mshituko na huzuni kubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Bernard Kamillius Membe.
Nimemfahamu miaka mingi, tumetoka nae mbali na tumesaidiana kwa mengi. Familia zetu, na mapito ya maisha yetu yamehusiana sana.
Bernard Kamillius Membe alikuwa ni mtu wa msaada mkubwa kwangu katika...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment Advisory Board).
Aidha...
Nimepenyezewa taarifa kuwa Rais mstaafu Jakaya Kikwete amelazimika kukatisha ziara yake Korea Kusini ili kuja kuhudhuria msiba wa aliyekuwa Waziri wake wa Mambo ya Nje ndugu Bernard Membe aliyefariki leo asubuhi.
Iliwahi kuvumishwa wawili hawa kuwa wana undugu lakini Rais Kikwete alikanusha na...
Tanzania inatarajia kupata miradi ya hifadhi ya mazingira, mabadiliko ya tabianchi ikiwemo nishati jadidifu yenye thamani ya sh. trilioni 42.4.
Miradi hiyo itasaidia kupunguza changamoto ya ukataji miti kwa ajili ya kuni na mkaa kwa muiibu wa Mchango wa Taifa wa Kukabiliana na Mabadiliko ya...
Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya.
Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
Machi 13, 2023 Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, iliendesha Mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa Wilaya wote nchi nzima, hii ni kutoka na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kufanya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya.
Mgeni rasmi katika ufunguzi alikuwa Makamu wa Rais Dkt. Phillip Mpango...
Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini...
Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika (The Tanganyika Law Society - TLS) unafanyika Jijini Arusha, leo Mei 11, 2023 ambao Makamu wa Rais, Dkt. Phillip Mpango ndiye mgeni rasmi katika shughuli hiyo.
RC Mongella anatoa neno
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella amepata nafasi ya kutoa...
Kwa mpunga anaoingiza kwenye biashara kwa sasa pesa zinatiririka mithiri ya mashine ya kutoa copy.
Kipindi cha Kikwete mambo kwa GSM yalikuwa poa sana japo hakuwa kaingia kwenye mpira.
Kipindi cha Magu hali ilikuwa ngumu sana, hapa nakumbuka alikuwa anasumbuliwa hata na kina Makonda
Rais wa...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alirejea nchini jana kutoka nchini Namibia.
Akiwa nchini humo baada ya kuhitimisha Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Troika Jijini Windhoek nchini Namibia, alipata...
Kwa wacheza karata wanafahamu faida za kulamaba dume na athari za kulamba garasa, nami napenda kumpa wosia Rais Samia Suluhu Hassan kwamba kama atafanikisha upatikanaji wa Katiba mpya, basi atakuwa amelamba dume.
Unapocheza karata ukalamba magarasa lazima upate maumivu ya kiakili na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:-
Amemteua Prof. Elifas Tozo Bisanda kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya UNESCO ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Bisanda ameteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo kwa kipindi cha pili...
RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima.
Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
Mimi ni shabiki wa Yanga (kiasi) ila kitendo cha huyu msemaji wa Yanga kutaka Jumatano kazi ndani ya ofisi za umma kuishia saa sita mchana siku ya Jumatano kwakuwa Yanga inacheza HAPANA.
Hata ingekuwa ni final bado hatupaswi kusitisha shughuli za umma kwa vitu vyenye tija kwa wachache huku...
Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa?
Nina...
Kufuatia ripoti ya CAG kuonyesha upigaji mkubwa wa fedha za umma, Mh Rais Dokta Samia Suluhu Hassan anatarajia kutengua uteuzi wa mawaziri ambao wizara wanazozisimamia zilionyesha upigaji mkubwa. Aidha, wakurugenzi ambao halmashauri zao zilipewa hati chafu nao watafyekelewa mbali na panga la Mh...
Rais wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Organ Troika, SADC Troika na Nchi zinazochangia Vikosi vya Jeshi katika Force Intervention Brigade (FIB) Windhoek nchini Namibia tarehe 08 Mei...
Rais Samia kupitia NEMC umeaamua kuuwa baishara za watu na kuuwa biashara za watu ni sawa na kuuwa watu kabisa!
Mh Rais wewe na wasaidizi wako mnakula raha kila siku na mko angani kila siku mnakula asali lakini sisi wananchi wengine burudani yetu ni muziki lakini mmeona tunafaidi sana ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.