rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Wananchi Iramba wamsubiri kwa hamu Rais Samia, wamshukuru kwa miradi mingi ya maendeleo

    Kesho Jumanne Oktoba 17, 2023 Rais Samia Suluhu Hassan atafanya ziara kwenye wilaya ya Iramba mkoani Singida ambapo atakagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali yake. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi wilayani hapa wametoa ya moyoni na kusema wanamsubili kwa hamu kubwa sana...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Yoweri Museveni akiwa na umri wa miaka 79 na miaka 37 ya Urais wa nchi ya Uganda

    Mwasibota Bazzukulu! Ndugu Rais Yoweri Kaguta K Museveni aliingia madarakani kama Rais nchini Uganda kwa njia ya mtutu wa bunduki, kama muasi dhidi ya serikali ya Milton Obote mwaka 1986, wakati huo Bwana Museveni akiwa na umri wa miaka 42, tangu wakati huo amekuwa madarakani kama Rais wa...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nimeona warembo, kweli maji yapo!

    "Nimeona kina mama warembo kweli, wanang'ara kweli, warembo na wanang'ara hii ni dalili kwamba maji yapo, walikuwa wanapauka kwasababu maji hakuna na yale machache yaliyokuwa yanatafutwa yakifika baba anayasubiri, lakini leo wanang'aa kweli." - Dkt. Samia Suluhu akiwa ziarani mkoani Singida...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Tanzania iliwahi kuwa na Rais jiwe kweli kweli

    Nchi yetu iliwahi kuwa na kiongozi mahiri kweli kweli. Walikuwepo kabla yake, wakaja baada yake, na huenda watakuja na wengine, lakini itatuchukua muda mrefu sana kumpata kiongozi mwenye kaliba ya Hayati JPM.
  5. JamiiForums Tanzania TRA yotoa ufafanuzi wa madai ya kutengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini usio halali

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) inapenda kutoa ufafanuzi juu ya taarifa inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu malalamiko ya Bw. Emmanuel Gadi kuwa, TRA imetengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini nje ya mfumo halali wa Serikali kinyume na Sheria ya Forodha. Tunapenda kuufahamisha umma...
  6. JamiiForums Tanzania Rais yupi amemuenzi Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kwenye uongozi unaokidhi matarajio ya Watanzania?

    Nianze kwa ushairi wa Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ulioandikwa katika kitabu chake cha "Uongozi wetu na hatma ya Tanzania" Ole wake Tanzania Tusipoisaidia Niwezalo nimelifanya kushauri na kuonya,nimeonya tahadhali nimetoa ushauri nimeshatoka kitini zaidi nifanye nini,namlilia Jaalia...
  7. JamiiForums Tanzania Mbunge Aysharose Mattembe: Karibuni Wana-Singida Katika Mapokezi ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoa wa Singida

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Aysharose Mattembe anapenda kuwakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida na Wilaya zake katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkoa wa Singida itakayoanza tarehe 15-17 Oktoba, 2023...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Rais wa kamisheni ya Ulaya afika Israel, alaani ugaidi

    Bi. Ursula von der Leyen rais wa Kamisheni ya Ulaya European Commission https://m.youtube.com/watch?v=Y8VWXACReew Atembelea maeneo ya Kfar Azza kusini mwa Israeli katika moja ya Kibbutz yaliyovamiwa na magaidi wa HAMAS, na kuelezea mambo ya kutisha dhidi ya haki ya kuishi waliotendewa...
  9. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni aagiza ongezeko la mshahara kwa wahadhiri wa masomo ya sayansi

    Rais Museveni ametoa agizo kwa serikali kuongeza mishahara ya walimu wanaofundisha programu za sayansi katika vyuo vikuu vya umma. Agizo hili limetokana na taarifa iliyotolewa na Profesa Eli Katunguka, Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Kyambogo, ambaye alionyesha wasiwasi kuhusu changamoto...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Singida ipo tayari kumpokea Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Singida Mhe. Peter Serukamba ameeleza namna ambavyo wananchi wa mkoa huo walivyojipanga kwa mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ambaye anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi mkoani Singida itakayoanza Oktoba 15, 2023. Serukamba amesema...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Israel Bw. Isaack Herzog asema 'In Gaza Everyone is Guilty until proven Innocent' including civilians

    Katoka hali ya kushangaza Rais wa Israel bwana Isaac amenukuliwa akisema kila mtu anaeishi Gasa ni mhalifu bila kujali ni rais ama wanamgambo wa Hamas hadi pale itakapokuja kuthibitishwa tofauti hivyo jeshi la Israel halitaacha mtu yeyote kwa sababu wote ni wahalifu. Binafsi hua najua kisheria...
  12. G

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza mwanamke, Makamu wa Rais wa kwanza kurithi Urais

    Hayo mawili ya mwanzo yako wazi, ila hili tatu linahitaji watu wenye akili tulivu kulikubali na kulielewa. Hatakuwa rais wa kwaza kushindwa uchaguzi kwani wapo walioshindwa na kuendelea kubaki madarakani. 2015, 2020 ni mifano hai, ila kwa sasa hali imebadilika, atalazimika kukubali na kuyapokea...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa milioni 100 kwa ajili ya Ukarabati kanisa la Katoliki Manyara

    Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 100 kwa ajili ya zoezi la kutabaruku Kanisa Katoliki Parokia ya Roho Mtakatifu, Babati mkoani Manyara ikiwa ni mchango wake kwa kanisa hilo. Kwa niaba ya Rais, Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa kauli hiyo katika Misa...
  14. JamiiForums Tanzania Chondechonde: Rais Samia tuondolee Nape kwenye hii Wizara, hana uelewa katika Technologia anadhalilisha Taifa

    Mama shikamoo! Kwanza pole na majukumu mengi ya kitaifa. Mimi ni mdau mkubwa sana kwenye technology mwenye weledi mapana sana. Hutuba nyingi sana za waziri zinaonyesha ana uwelewa mdogo sana katika Technologia hivyo kama kauli za Tunadhalilika sana. Mfano VPN ni njia pekee katika cyber...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaompokea Rais Samia huko Manyara wametokea Dar es Salaam?

    Natambua kwamba Rais Samia Ph.D, anaanza ziara ya kikazi Mkoani Manyara, hongera kwake na kwa Wenyeji wake. Lakini cha kushangaza kwenye ziara hii ni kitendo cha Rais kupokelewa na mamia ya wakazi wa Dar es Salaam! jambo hili kwangu ni geni mno, Inakuwaje Rais apokelewe na wakazi wa Dar, Je...
  16. JamiiForums Tanzania Biteko: Rais Samia anapambana usiku na mchana kuhakikisha umeme unapatikana

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amelitaka Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuhakikisha wananchi waliopo kwenye vitongoji wanapatiwa umeme ili kuharakisha maendeleo yao kiuchumi. Mhe. Dkt. Biteko ameyasema hayo alipokuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Kwa kundi tulilopo Tanzania huko AFCON 2024, namshauri haraka Rais Samia asiigharamie 'Mipesa' ya Walipa Kodi kwani haitotoboa na itaburuta mkia tu

    Ni Mwendawazimu ( Mentally Retarded ) na Mpumbavu ( dame Fool ) ndiyo ataamini na atathubutu kusema na kujipa Moyo kuwa Tanzania iliyoko Kundi F huko AFCON 2024 nchini Ivory Coast itaweza kufanya vyema mbele ya Wababe na Wazoefu tukuka wa Soka Afrika akina Morocco, Congo DR na Zambia. Rais...
  18. JamiiForums Tanzania Ni lini Rais Samia atafanya ziara za kushtukiza?

    Every good deed should be hold and preserved. Licha kujinasabu kuwa hakuna tofauti kati yake na aliyetangulia ila bado sijaona jambo zuri kama ziara za kushtukiza. Hayati Magufuli alishuhudia uozo mwingi katika baadhi ya ofisi pia ilichangia moral na heshima kwa watendaj but now days...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Dkt. Mpango afungua Mkutano wa Kimataifa wa Korosho Dar

    12 October 2023 https://m.youtube.com/watch?v=2Fv1zCpiHmU Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Wizara ya Kilimo hapa nchini kufanikisha lengo na Wizara hiyo la kuacha kuuza Korosho ghafi nje ya nchi ifikapo mwaka 2026. Makamu wa Rais amesema...
  20. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia India: Mambo yanayomtofautisha na wapiga porojo wengine

    Ziara ya Rais Samia Nchini India imekuwa ni ziara yenye mafanikio makubwa kwake binafsi in personal Kwa Kutunukiwa tuzo lakini Kwa Taifa kutokana na kusainiwa Kwa Hati 14 katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi na Kijamii. Nitatoa mfano wa sekta ya Kilimo.Kupitia ziara hiyo Serikali ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…