1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.Kalimteua.
J.P.M amemteua.
Na sasa Samia amemteua.
2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )
3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.
4. He has a threatening aura...
Tume huru ya uchaguzi iko wapi ikiwa kila kitu anachagua rais? directly or indirectly
At least nilitegemea kitu kama hiki..... to say the least Pascal Mayalla Erythrocyte johnthebaptist
20. The Swedish Election Authority is organised as follows:
21. The Election Authority is governed by a...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.
Rais Yoweri K. Museveni amesema Bajeti hiyo itakuwa ikitengwa kila mwaka ikiwa na lengo la ili kukuza ubunifu wa Kiteknolojia nchini humo pamoja na kuwapa motisha Wabunifu wanaoingia kwenye Soko la Teknolojia.
Kwa upande wake Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu Dk Monica Musenero...
Kila aliyesikiliza mjadala wa ripoti ya CAG na majawabu ya mawaziri, ameelewa wazi kwamba mawaziri wanahusika na wizi huo. Kama wasingehusika, ingekuwa ni taharuki maana hakuna anayetaka kuibiwa.
Pamoja na kuhusika ktk wizi, yaonekana wapo ktk nafasi kwa urafiki binafsi na rais, na kuna...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania,mama wa shoka,chuma cha reli, jasiri muongoza njia,shujaa wa Afrika,simba wa nyika amewasili salama nchini saudi Arabia ambako atashiriki mkutano unaozikutanisha nchi za Afrika na Saudi Arabia utakao fanyika November 10 mjini...
BRELA wamekuwa sababu ya wafanyabiashara wengi kushindwa kurasimisha biashara zao kwani ukitaka kufungua kampuni utapitia machungu na mwisho utaacha kabisa.
Brela wamekuwa wanafanya masahihisho ya maombi kwa mtindo wa kuchelewesha ili mwombaji atoe rushwa.
Brela wanasahihisha neno moja moja na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi na kuvunja bodi kama ifuatavyo:
1. Amemteua Balozi James Gilawa Bwana kuwa Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Afrika kusini. Balozi Bwana anachukua nafasi ya Balozi Meja Jenerali Gaudence...
Vijana wanaochipukia katika Siasa nchini wanapaswa kujifunza kutoka kwa Dr Spika Tulia, Ackson, LLD (Mbunge) na Rais wa Mabunge yote duniani (IPU).
Hakika sisi Wana Mbeya Mjini tunajisikia wenye bahati Sana kupata HESHIMA hii.
Tofaut na miaka mingi iliyopita, Mbeya Mjini tumepata Msomi na...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiona ‘video clip’ ya abiria wa treni Jijini Dar es Salaam maarufu kama treni ya ‘Mwakyembe’ wakid andia na kuning’inia milangoni usiku.
Kutokana na hatua hiyo, RC...
Katika mkutano wa bunge ulioitishwa na Rais Ruto kama kiongozi wa chama cha UDA na Muungano wa Kenya Kwanza, uliohudhuriwa na zaidi ya wabunge 200, ukweli wa gharama kubwa ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa imetokana na ongezeko la bei ya mafuta lilipewa umuhimu mkubwa.
Vyanzo vilivyokuwa na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi unaojadili kuharakisha Mageuzi ya Kiuchumi ya Afrika, Marrakech-Morocco, leo Novemba 8, 2023.
https://www.youtube.com/watch?v=SJN3jOLB9G8
===
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia...
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ameshinda Urais wa umoja wa mabunge duniani(IPU) leo Octoba 27, 2023. Kura 303 zilipigwa huku mshindi akihitaji angalau nusu ya kura hizo(kura 152)
Matokeo yalikuwa kama ifuatavyo
Ms. Adji Diarra Mergane Kanouté(Senegal) kura...
Wakati wanafunzi 226 wakitemwa katika ufadhili wa masomo wa Samia ‘Samia Scholarship’ kutokana na kushindwa kukidhi vigezo vya kuendelea kupata ufadhili huo, Serikali imewahakikishia kupata mikopo ili waendelee na masomo yao.
Wanafunzi hao ni kati ya 640 walionufaika na ufadhili huo katika...
Sakata la jezi feki za Simba, Yanga na Taifa Star zenye thamani ya Sh.12 Bilioni zilikamatwa Bandari ya DP World (zamani ikiitwa Bandari ya Dar es salaam). Serikali ikatoa siku 7 mhusika ajulikane na jezi hizo feki kutiwa kiberiti.
Hata hivyo zipo taarifa kuwa mhusika wa jezi hizo ambaye ni...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewapongeza Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Chini ya Mwenyekiti wao Mary Chatanda kwa kazi kubwa wanayoifanya katika Nchi hii kwa kutembelea miradi na kufanya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023.
Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Wizara ya Afya kukufua mazungumzo ili kuhakikisha kituo cha umahiri na ubobezi wa kimatibabu 'Apollo Hospital' kinajenga jijini Dar es Salaam na kukamilika ifikapo mwaka 2026.
Hayo yamesemwa leo Novemba 6, 2023 wakati ujumbe wa Rais wa Apollo Group Hospitals...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema taifa linajivunia utendaji kazi wa Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu, ambaye ni zao la hamasa ya Hayati Bibi Titi Mohamed katika kuwahamasisha wanawake nchini kushika nafasi za juu za uongozi...
MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB.
======
Wasalaam Jf team,
Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni "
Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya...