rais

  1. Rais Samia alivyowasili nchini India kwa ziara ya Kikazi ya siku 4

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili jijini New Delhi, India leo tarehe 08 Oktoba, 2023 kwa ajili ya kuanza ziara ya kitaifa ya siku nne nchini humo. Mapokezi rasmi ya Rais Samia yatafanyika tarehe 09 Oktoba, 2023 ambapo atapokelewa na mwenyeji wake Rais wa...
  2. Ipo haja ya serekali yetu kuanzisha chombo cha kifedha kwa ajili ya wanyonge.

    Ipo haja ya serekali kuanzisha chombo rafiki cha kifedha kama ilivyokuwa pride, (kimfumo) ili kiweze kusaidia kukopesha wananchi wanyonge mikopo chini ya million 10, Pia ipo haja ya fedha zote zile za wanyonge zitokazo katika halmashauri zetu zikawa zinapelekwa kwenye chombo hicho ili kuepusha...
  3. Maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani: Rais Samia aahidi kutatua changamoto za walimu ili kuleta ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kushughulikia changamoto za Walimu nchini hatua kwa hatua ikiwa ni pamoja na kuwapandisha Madaraja na kutoa malipo ya stahiki mbalimbali. Rais, Dkt. Samia ameyasema hayo tarehe 6 Oktoba 2023, alipokuwa...
  4. S

    Rais Yanga: Ni kipimo kizuri kupangwa na Al Ahly

    ''Ni kipimo kizuri kwetu [Yanga] kupata nafasi ya kucheza na Al Ahly, bingwa mtetezi. Ni kipimo kizuri pia kwetu kuona jinsi gani tumekuwa kama klabu ya mpira, naona ni moja katika makundi magumu lakini Young Africans tunatakiwa sasa tuweke jitihada kuwa katika timu mbili za juu zitakazokwenda...
  5. Naibu Rais Gachagua: Tunajua China inatudai Pesa nyingi lakini tutakopa tena

    Akizungumza na Kituo cha Redio cha Inooro FM, Rigathi Gachagua amesema Rais William Ruto anatarajia kusafiri kwenda China kwaajili ya kuomba mkopo wa Tsh. Trilioni 2.5 kwaajili ya kukamilisha miradi ya Barabara iliyokwama Ameongeza kuwa miradi mingi ilisimama kutokana na Wakandarasi kutolipwa...
  6. L

    Rais Samia aendelea kuifungua Tanzania, kuanza ziara ya kikazi Nchini India

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa kipenzi cha Watanzania, Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuanza ziara ya kikazi nchini India kuanzia Tarehe 6-11 mwezi huu wa October kwa mualiko maalumu wa Rais wa nchi hiyo. Katika ziara hiyo, Mheshimiwa Rais ameambatana na...
  7. Kwa mara ya kwanza nimefika Mwanza nimekutana na stand Mpya ya Nyegezi. Hayati Magufuli CCM ilipoteza Rais!

    Ninarudia kusema CCM kumpoteza Magufuli ili pata hasara ya Karne moja. Nyegezi kulikuwa Bondeni na eneo lisilofaa leo nimekuta kifaa kama airport. Magufuli Ulifanya kazi nzuri tutakukumbuka. Bado ninasikia kuna stand nyingine Huku Mwanza imejengwa na Magufuli Ndio ninaelekea huko kuangalia...
  8. Mhe. Rais Dkt. Samia akiendelea kufungua nchi!

  9. Mtaalamu wa mipango na mikakati aonekana Doha kwenye ziara ya Rais Samia

    Watanzania mchangamkie fulsa za mbogamboga na matunda. https://twitter.com/DIONIZKIPANYA25/status/1709048646375805055?t=HyUFD88LmFNZDr0eAmNBSQ&s=19
  10. Q

    Rais hamuamini Makamu wake?

    Ibara ya 47 ya Katiba inasema, kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Sasa nashangaa hata barua tu ya uteuzi hadi isainiwe na Rais mwenyewe tena nje ya nchi, kuna ulazima gani wa Rais kusaini nje ya nchi, kama kazi ndogo kama...
  11. Mageuzi anayofanya Rais Samia Suluhu kwenye kilimo hayakuwahi kutokea

    Idadi ya watu Duniani inatarajiwa kufikia watu bilioni 10 kufikia mwaka 2050,wakati nchini Tanzania idadi ya watu inatarajiwa kufikia 137 milioni.Idadi hii kubwa ya watu itahitaji chakula kingi ukilinganisha na chakula kinachozalishwa kwa sasa. Idadi kubwa ya watu inahitaji fursa za ajira pamoja...
  12. This is Africa: Rais wa Nigeria yabainika alitumia cheti cha mwanamke kudanganya ni degree yake. Je, atawajibika kwa kuidanganya nchi anayoiongoza?

    Degree yake ya kwenye CV inayoonyesha kasomea chuo kikuu cha Chicago nchini Marekani ilizua maswali, wananchi wakatuma maombi Marekani kutaka kujiridhisha elimu ya Rais wao. Wamarekani wapo Direct, siku ya jana Jaji wa Marekani aliamuru taarifa za uhalali wa cheti zitolewe leo na imebainika...
  13. Rais Samia ateua Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria

    iyeteuliwa ni George Nathaniel Mandepo akichukua nafasi ya Griffin Venance Mwakapeje aliyeteuliwa kuwa Jaji wa Mahakama Kuu Pia, Rais amemteua Dkt. Saudin Jacob Mwakaje kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA). Dkt. Mwakaje ji Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  14. B

    Rais Samia Hassan awasili Doha, Qatar maonesho ya kilimo expo 2023

    Doha 2 October 2023 Mheshimiwa rais Samia Suluhu Hassan awasili Doha, Qatar kwa ajili ya International Horticultural Expo 2023 Doha Picha na habari : Rais Samia Hassan na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Ushirikiano wa Kimataifa katika Wizara ya Mambo ya Nje wa Qatar mheshimiwa Lolwah bint...
  15. Mbunge Atupele Mwakibete amshukuru Rais Samia, asema Busokelo Sekta ya Afya Wamepiga Hatua Nzuri Sana

    "Namshukuru Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyeniteua tarehe 08 Januari, 2022 kuwa Naibu Waziri wa Uchukuzi. Alituheshimisha sana Vijana, alituheshimisha sana wana Busokelo na Mkoa wa Mbeya kwa ujumla. Ninaamini nilifanya kazi kwa Weledi, Uaminifu na nina hakika bado...
  16. Swali Rais Samia yupo Doha Qatar kimyakimya? Kwanini uteuzi wa Mobhare Matinyi ufanyike akiwa Uarabuni?

  17. Mobhare Matinyi - Mpiganaji mpya wa Rais Samia kwenye ulingo wa habari na mawasiliano

    Na Kevin Lameck Kama ipo sehemu ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amepatia katika teuzi zake za karibuni, bhasi miongoni mwake ni uteuzi wa sasa wa kujaza nafasi iliyoachwa wazi na Gerson Msigwa. Bwana Mobhare Matinyi, Mkuu wa wilaya ya Temeke ameteuliwa kuwa Msemaji mkuu wa serikali na...
  18. F

    Kwanini Rais mstaafu Kikwete hakupewa nafasi ya kuongea katika uzinduzi wa Kavazi la Dkt. Salim?

    Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi. Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
  19. Rais hawezi kumchukulia hatua RC Chalamila kwa sababu anamuogopa?

    Kuna video inasambaa ambapo Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akijinasibu kuwa na uwezo wa kujitwalia sheria mkononi na hakuna wa kumfanya lolote. Hii ni mara nyingine tena Chalamila akijinasibu kuwa bingwa wa kuvunja sheria na taratibu bila kuogopa yeyote. Hapo awali akiwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…