rais

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto adaia Serikali ya Uhuru Kenyatta ilikuwa na Bajeti ya kuhonga Mahakama

    Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea Serikali. Amesema Serikali yake haiwezi kuyumbishwa na Kesi zinazofunguliwa katika Mahakama nchini humo...
  2. JamiiForums Tanzania Askofu Ruwaichi: Wajumbe wa Tume ya Uchaguzi kuteuliwa na Rais wanakosa Uhuru

    Akiwasilisha maoni mbele ya Kamati ya Bunge kuhusu na Miswada ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa na Serikali Bungeni, Askofu Mkuu wa Jimbo la Kanisa Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddaeus Ruwai'chi amesema Uhuru wa Wajumbe hao unapaswa kutiliwa maanani kwasababu Uteuzi wao unatoka kwa...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Maswahiba wa Gaza ana kwa ana na rais Biden

    Katika hali ambayo hakuitegemea, bwana Joe Biden kajikuta akibananishwa na wapenda haki kanisani: https://www.bbc.com/news/av/world-us-canada-67886694 Kwamba kalazimika kukiri kuwa hata yeye kukereka na kuwa anapambana na Natenyahu, usiku na mchana akimtaka aondoke Gaza? Kwa hakika yahitaji...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Subira Mgalu: Rais Samia amepeleka Zaidi ya Bilioni 29.11 Katika Sekta ya Elimu mwaka 2022-2023 Mkoa wa Pwani

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu amesema kuwa katika mwaka wa fedha 2022-2023 Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka zaidi ya Shilingi Bilioni 29.11 katika Mkoa wa Pwani kwaajili ya ujenzi...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Cherehani: Tumuombee Rais Samia akamilishe Miradi ya Maendeleo

    Watanzania wamehamasishwa kuendelea kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan ili aweze kutekeleza na kukamilisha miradi ya maendeleo anayotekeleza. Rai hiyo imetolewa leo Januari 7 na Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Mhe. Dk. Emmanuel Cherehani alipoongoza...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia achana na hawa Mawaziri, usitishwe kwamba ndio wanaijua CCM, CCM ilikuwepo na itaendelea kuwepo

    Mheshimwa sana wetu kwanza ujue tunakupenda sana na tunakuombea maisha marefu na utumishi uliotukuka mpaka 2030. Hawa mawaziri hawakufai Rais. Angalizo, tunaomba uelewe azimio la Arusha ni mwongozo sahihi kwa watumishi wa umma, lifanyiwe tu maboresho kulingana na wakati tulio nao. Mawaziri...
  7. P

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Uzi maalum kwa taarifa zote kwa wanaomuunga mkono Rais Samia 2025

    Wakuu mko vyede, Kukutana na manyuzi kibao kusema zinaunga mkono juhudi za mama inakata stimu, halafu unakuta ka uzi kenyewe kana mistari mitatu iliyojaa kusifia mwanzo mwisho. Nyuki wa mama naomba wote mtumie uzi uzii kuweka mapambio yenu ya kuunga juhudi za mama, yoyote anayetaka kujua nani...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia! Tanzania kinara biashara Jumuia ya afrika mashariki

    Ripoti ya benki ya dunia Desemba, 31, 2023. Juu ya mauzo ya bidhaa katika Jumuia ya nchi za Afrika mashariki. Jikite pale tunauza kiasi gani, nasi tunanunua kwao kiasi gani. Tanzania kwenda DRC (Kongo) -Tzsh 769.6 bilioni. DRC kwenda Tanzania tzsh 6.79 bilioni Tanzania kwenda Burundi-Tzsh...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia amteua Dkt. Immaculate Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu NEMC

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Immaculate Sware Semesi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC). Kabla ya uteuzi huu Dkt. Semesi alikuwa Mkurugenzi wa Taasisi ya Uhifadhi wa Bahari na Maeneo Tengefu na...
  10. JamiiForums Tanzania Sheikh Issa Ponda, amuomba Rais Samia kushughulikia uhai wa Bakari na Juma waliotekwa

    Rais wetu shughulikia Uhai wa Raia. Trh. 27.12.23, Polisi wamewauwa Bakari Ismail na Shomari Kacheuka. Trh. 28.12.23 kikosi cha Utekaji kimewateka Juma Idd na Haruna Idd. Matukio haya na hukumu za kunyongwa watu yanakithiri katika Serikali yako. Siasa sawa lakini Uhai ndio Na.1.
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Daraja la Bilioni 7.2 Kibiti

    Kwa kweli hata sijui nianzie wapi kuongea, au basi.. ===== Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Taznania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa Daraja la Mbuchi linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 72.
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Freeman Mbowe ndie Waziri Mkuu ajaye, na Rais ni Samia

    Freeman Mbowe ndiye atakuwa Waziri Mkuu ajaye baada ya Kassim Majaliwa kumaliza muda wake, ni namna gani na kwa vipi ukweli ni kwamba tayari mipango imekamilika.
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia ametengua uteuzi wa Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati (Michael Songora Mjinja)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Bw. Michael Songora Mjinja, Kamishna wa Petroli na Gesi - Wizara ya Nishati.Bw. Mjinja atapangiwa kazi nyingine. Pia, soma: Rais Samia Suluhu Hassan afanya uteuzi wake wa kwanza Ikulu. Gerson Msigwa atolewa...
  14. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani akiri Hamas haiwezi kumalizwa.

    John Kirby, akiwa hapo jumba jeupe akijibu maswali ya waandishi wa habari kwa niaba ya Joe Biden, amekiri moto wa Hamas ni mkali na hawawezi kabisa kuzima, sio leo sio kesho. Kukiri huko kumewashtuwa sana serikali ya israel. Mengine jionee mwenyewe:
  15. D

    JamiiForums Tanzania Marekani inakuwa stronger sana kiuchumi au kijeshi kwa sababu ya strong base ya demokrasia waliyo nayo. Hata rais haiwezi kuleta migumo yake

    Sijui kwanini cho za Afrika au za Asia hazijifunzi kwa marekani wakawa na demokrasia. Hivi kwa mfano Kim jong UN, Putin nk wakifa lazima nchizi zao zitingia katika vita ya wenyewe kwa wenyewe mana mtu mmoja ndo mwamuzi wa mwisho tofauti na marekani ambapo hata Rais siyo final. Nchi za Afrika...
  16. JamiiForums Tanzania Ernest Bai Koroma: Rais wa zamani wa Sierra Leone ashtakiwa kwa uhaini kwa jaribio la mapinduzi

    Rais wa zamani wa Sierra Leone Ernest Bai Koroma ameshtakiwa kwa makosa manne ya uhaini kuhusiana na jaribio la mapinduzi. Novemba mwaka jana, watu wenye silaha walivamia ghala la kijeshi na magereza kadhaa huko Freetown, na kuwaachilia karibu wafungwa 2,000. Amekana kuhusika na shambulio hilo...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu amjibu Rais Ruto “Madai ya ufisadi Mahakamani, yawasilishwe Tume ya Utumishi wa Mahakama na sio katika hafla za umma

    Baada ya Rais wa Kenya, William Ruto kushutumu Mahakama katika Kitengo cha Sheria cha Serikali akidai kuna ufisadi na majaribio ya makusudi ya kukwamisha miradi muhimu ya Serikali, Jaji Mkuu, Martha Koome amelaani matamshi hayo akifai yanagusa masuala yaliyopo Mahakamani na yanaweza kuwatisha...
  18. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki Afariki Dunia

    Inasemekana kuwa Rais wa awamu ya Pili wa Afrika Kusini Thabo Mbeki amefariki dunia. Hii ni kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nabii Rolinga: Kenya inaongozwa na Mzimu wa Rais wa Kwanza ambaye hakuwahi kuzikwa Hadi Leo.

    Salaam, Shalom!! Kumekucha 2024, Anayejulikana Kwa Jina la Nabii Rolinga, amesema kuwa chanzo Cha Nchi ya Kenya kumwaga Damu Kila Uchaguzi ni sababu ya Mzimu wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya kwanza Jommo Kenyata. Amedai kuwa Hadi sasa anayetawala Nchi hiyo katika Ulimwengu wa Roho ni Mizimu ya...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Harvard University ajiuzulu kutokana na Plagiarism iliyobainika kwenye machapisho yake

    Hii ni baada ya kugundulika kuwa kwenye baadhi ya machapisho yake, alinyakua maandiko ya wengine bila kuweka bayana alikoyatoa, na hivyo kuleta taswira ya uongo kwamba ni maneno yake [plagiarism]. Haya yote yalijitokeza baada ya yeye Bi. Gay na marais wengine wawili wa vyuo vya Ivy League...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…