rais

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mara paaap Mbowe ndio Makamu wa Rais

    Utasemaje hayo yakitokea!? Mara paaap Nchimbi yuko na Lissu kwenye madai ya Katiba Mpya!
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kama barua ni ya kweli, Makamu wa Rais awe Dkt. Migiro

    Ikiwa ni kweli kuhusiana na hizi taarifa kuhusu kujiuzulu kwa makamu wa Rais Dkt. Nchimbi, mtu anayefaa kwa uzoefu na uwezo alionao kupewa nafasi hiyo naona Dkt. Migiro, katibu Mkuu wa CCM kwa maslahi mapana ya Taifa.
  3. polokwane

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ndio mara ya kwanza tangu tupate uhuru makamu wa Rais kutolewa madarakani,CCM ijitafakari sana, siasa zao sasa hazilijengi Taifa.

    Yote hii ni matakwa ya watu watano tu chamani yatimizwe, CCM yote kwa sasa iko kwa watu watano tu!na sio timu tena! Wengine wote wanaburuzwa tu, hawana cha kuamua wala chakulaani, ni watu wanao pewa maamuzi tu na sio kuyajadili kwa pamoja, mnatamani mshauri lakini hamna huo huwezi na hakuna...
  4. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania UEFA yataka rais wa FIFA akumbuke kuwa yeye ni mzungu hatakiwi kukosea

    Rais wa Uefa Aleksander Ceferin amesema Gianni Infantino anahitaji kukumbuka kuwa yeye ni Mzungu baada ya kuelezea mpango wa FIFA wa kuuza hisa katika Kombe la Dunia kama mbaya zaidi kuliko ule wa Super League. Mapema mwezi huu, baraza linaloongoza dunia liliacha pendekezo la Infantino la...
  5. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Nafurahishwa na Utaratibu wa Kuita Majina Watoto Bila Kulazimika Kutumia jina la Ukoo la Baba kama Anavyofanya Rais Museven na Diamond

    Mfano ona hapa majina ya baadhi ya Watoto wa Rais Museveni ni , 1.Muhoozi Kainerugaba 2.Patrice Rwambogo 3.Natasha Museven Karugire Kwa sheria za Tanzania unaonekana hauna mtoto sijui mpaka ukaape mahakamani na usumbufu mkubwa sana. ======= Pastor Patience Rwabwogo, binti wa Rais wa Uganda...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tuyaonyeshe mataifa yanayotubexa kwa utovu wa utawala bora kwa kumwomba mh rais akubali kufika kwa mahakama

    Hii ingeonyesha heshima kwa sheria zetu na utawa bora unaogeshimu sheria Katuga hakufikiri vizuri kuweka pingamizi la mashahidi wa Lissu upande wa serikali kwani hofu yake ni nini. Kwani wakisimama kutoa ushahidi watageuzwa kuwa wao ndiyo wahaini Wito wangu kwa mama yetu mwambie...
  7. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rais wa Iran Kaanza kudoda ataka vita visimame!!!

    Rais wa Iran: Ni wakati wa kukomesha vita na Marekani huku Tehran ‘ikiwa katika nafasi ya kushinda vita!!’ Mwanamke anapita kwenye bango la kukaribisha lenye Rais wa Iran Masoud Pezeshkian kando ya barabara huko Islamabad, Pakistan, Jumanne, Juni 23, 2026. (Picha ya AP/Anjum Naveed) Rais wa Iran...
  8. K

    JamiiForums Tanzania AMBUZI: Kauli ya Ndlozi na Msimamo wa Botswana Dhidi ya Rais Samia SADC: Je, Klabu ya Kulindana Inavunjika?

    Ndugu wana-Jamii Forums, Katika hali iliyoleta taharuki na mjadala mpana kwenye anga za kisiasa za ukanda wa Kusini mwa Afrika (SADC), mwanasiasa machachari na msomi kutoka Afrika Kusini, Dkt. Mbuyiseni Ndlozi, ametoa kauli nzito inayomgusa moja kwa moja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  9. Isenye

    JamiiForums Tanzania Nadhani ni kweli Rais Samia na makamu wake hawaivi

    Kwa sisi wataalamu wa ramli chonganishi,iko hivi leo kwenye uzinduzi wa bwawa la kufua umene lililojengwa na Hayati Magufuli, high table walikua wamekaa Samia na Nchimbi..Nchimbi akawa anajifanya kumchekesha Samia kinafiki ila Samia akawa hana muda nae kivile.. So naamini ni kweli hawa viongozi...
  10. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Vipi watanzania Rais wetu amezindua mradi mkubwa na bado hamna furaha?

    Watanzania wenzangu mbona hamna furaha? Mradi mkubwa kama huu mmeamua kuupotezea?. Sioni zile bashasha za furaha kama kipindi cha JPM, miradi mikubwa ambayo jpm aliizindua ilipokelewa vilivyo na kumpongeza, vipi kwa mama mbona hamfurahi?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sasa Dodoma umeme ni ware ware hakuna tena kukatika, Uhakika 24/7

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewahakikishia Watanzania kuimarika kwa huduma ya nishati ya umeme nchini kufuatia kukamilika kwa miradi mikubwa ya miundombinu na usambazaji wa umeme. Akizungumza tarehe 22 Agosti 2026 wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kituo cha...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Bwawa la Julius Nyerere, Agosti 22, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha megawati 2,115 leo, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, mkoani Pwani. Viongozi mbalimbali wameungana na Rais...
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kosa la rais Samia ni nini?

    Hakika watu wa kale walipata kunena kwamba "Mti mrefu haukosi upepo" - ikiwa na maana kwamba, mtu anayefanya vizuri hukutana na maneno mengi ya ukinzani na nongwa. Mfano huo naweza kuutumia kwa namna ambavyo baadha ya vikundi maalumu vya watu waliojipanga katika kudogodosha,kuchafua...
  14. Ritz

    JamiiForums Tanzania Mahakama haina mamlaka ya kumwita Rais Samia kutoa ushahidi – Mwinuka

    Wanaukumbi. Wakili wa Mahakama Kuu Tanzania, Henry Mwinuka, amesema katika kesi ya Tundu Lissu kuna shahidi mmoja ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na masuala yanayomhusu Rais yanasimamiwa na Presidential Affairs Act, Sura ya 19. Mwinuka amesema kuwa, kwa mujibu wa sheria...
  15. Troll JF

    JamiiForums Tanzania As it Stands Tundu Lissu aombe MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Tundu Lissu AOMBE MSAMAHA na MSAADA kwa Rais Dkt Samia. Kesi AMESHASHINDWA. Kosa analo na anajua kosa alilifanya kwa makusudi. CHADEMA na walio karibu nae, WAMSHAURI aache kibri, jeuri na ujuaji hewa. Kama ataendelea kushupaza shingo, UHAI WAKE WA KISIASA UTAFIKA TAMATI DAIMA siyo aibu bali ni...
  16. funaku

    JamiiForums Tanzania Kila mtuhumiwa wa uhalifu akiwa anataka Rais awe Shahidi wake tutaweza kutekeleza??

    Hili ni swali kwa wanazuoni wanaojua sheria waliomo humu
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawakili wa serikali wamepaniki baada ya rais Samia kutajwa kama shahidi kwenye kesi ya Lissu?

    Naomba watu wa sheria watoe maelezo kidogo juu ya sheria za mahakama juu ya ahadi na ushahidi. Naona mawakili wa serikali wamepigwa ganzi ghafla baada ya Lissu kutaja mashahidi wake.
  18. figganigga

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Rais Mkapa akitoa ushahidi Mahakamani Kisutu

    Samia kwenda mahakamani kupigwa maswali ya dodoso na Tundu lissu hatakuwa Rais wa kwanxa. Rais wa awamu ya Tatu Benjamin Mkapa, alienda Kisutu kutoa ushahidi. Rais Mstaafu Tanzania Benjamin William Mkapa alifika mbele ya mahakama akiwa ni shahidi wa kwanza upande wa utetezi katika mashataka...
  19. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani

    Mawakili wa Serikali wapinga Rais Samia na wenzake kuitwa mahakamani Wakili wa Serikali Mkuu, Nasoro Katuga, amesimama: Upande wa Jamhuri unajua ni haki ya mshitakiwa kujitetea na yeye kueleza kuwa atajitetea mwenyewe. Lakini kuna suala la mashahidi ambao mshitakiwa anataka wapewe summons...
  20. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Rais aliyeko madarakani ana kinga ya kutoshitakiwa/kuitwa mahakamani kutoa ushahidi isipokuwa kwa hiari yake. Lengo ni kulinda hadhi ya u-Rais

    Chini ya sheria na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais aliyeko madarakani hawezi kulazimishwa au kuitwa mahakamani kutoa ushahidi au kushtakiwa kwa sababu anapewa kinga kamili ya kikatiba kulinda hadhi na utendaji wa kiti cha urais. Kinga ya KikatibaKifungu cha Sheria: Ibara ya...
Back
Top Bottom