Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

Rais Samia Asimikwa Mkuu wa Machifu Tanzania

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,136
Reaction score
884
IMG-20260908-WA0018.jpg


• 8,Septemba 2021 — Rais Dr. Samia Suluhu Hassan Asimikwa kuwa Mkuu wa Machifu Tanzania

▪︎ Tarehe 8 Septemba 2021, Rais Samia Suluhu Hassan alisimikwa kuwa Mkuu wa Machifu wote Tanzania katika Tamasha la Utamaduni lililofanyika Kisesa, Magu, Mwanza.

▪︎ Katika tukio hilo, Machifu walimtawaza Rais Samia na kumpa jina la “Chifu Hangaya”, lenye maana ya “Nyota ya Asubuhi Inayong’aa.”
 
Ufunuo 22:16
“Mimi, Yesu, nimemtuma malaika wangu kushuhudia mambo haya kwa ajili ya makanisa. Mimi ndimi Shina na Mzao wa Daudi, ile Nyota ya Asubuhi inayongʼaa


Jina Lucifer (au Lusifa) linamaanisha "Mwenye kuleta mwanga", "Mbeba nuru", au "Nyota ya Asubuhi/Alfajiri".

lucifer neno hili linatoka katika neno la Kilatini Lucifer, linaloundwa na maneno lux (nuru) na ferre (kuleta au kubeba). Awali lilitumika katika unajimu kuelezea sayari ya Venus (Zuhura) inapóng’ara sana angani kabla ya kuchomoza kwa jua.
Katika Biblia: Neno hili linapatikana katika agano la kale (Isaya 14:12) likitafsiriwa kama "mwana wa asubuhi" au nyota ya alfajiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom