Je, Katiba inasemaje ikiwa Rais atakuwa Eda?

ngaiwoye

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
2,529
Reaction score
3,926
Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.

Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?

Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?

Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
 
Pumbavu sasa wewe, utatupa pole watanzania. Harafu tena unaandika humu jamii forum. Nenda ukamfate huyo muuaji alipo umpepole wewe mwenyewe. Mambo yakuingiza watanzania ni ujinga. Nonsense
 
Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.

Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?

Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?

Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Eda ndiyo makitu gani mkuu
 
ok.🐒
 
Wanaokaa eda ni wanawake tegemezi na ambao hawana kazi rasmi zinaeleweka au kutambuliko au zisizo na umuhimu wowote kwenye jamii.
Kwa mujibu wa maandiko yapi?

Quran haina ubaguzi inatambua haki sawa kwa wanawake hivyo suala la Eda sio la wanawake fulani tu bali mwanamke yeyote.

Usilete porojo bila relevant authorities.
 
Kwanza nampa pole sana mheshimwa Rais wetu pamoja na familia na watanzania kwa msiba mzito uliotukumba leo.

Swali langu kwa mujib wa dini ya kiislam mke hukaa eda pindi anapofiwa na mumewe. Je katiba yetu itaruhusu Rais wetu akae eda ama itambidi afanyie majukumu yake nyumbani kipindi chote cha eda?

Ama katika kipindi hiki makamu wa Rais atayabeba mamlaka ya urais mpaka Rais wetu amalize eda?

Kama katiba haizungumzii popote maswala ya eda, it's high time iingizwe kwenye katiba
Hoja za kipumbavu zinatolewa na watu wapumbavu!
 
Kuran ina apply kwa watu maskini na wasio na economic future.
kwa watu kama Samia hawaendeshi maisha yao kwa misingi ya Kuran ndio maana unaona makelele yanakuwa mengi kuhusu rushwa, mauaji, utekaji, anasa, ubadhilifu na mengine kama hayo

Back
Top Bottom