rais

  1. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa CCM hapa ndio sehemu ya kutuma Ujumbe kwa Samia siku ya kupigia kura hilo jina la Makamu wa Rais. Hana Cha kuwafanya kwasasa

    Kama mnakipenda chama chenu na nchi hii sehemu pekee iliyobaki ni hapa. Mtumieni salamu ajuwe hamjapendezwa na kitendo alichokifanya. Huwezi kumfukuza mtu uanachama eti kwa sababu anataka tupate katiba mpya. Mkizubaa huyu bibi atawatesa sana. Kazi kwenu sasa mkubali kuwa mateka au muamue kuresist.
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wabunge wamuunge mkono Ndejembi kuwa makamu wa Rais

    Waheshimiwa Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanayo nafasi ya kihistoria kumuidhinisha Mhe. Deogratius John Ndejembi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hii ni baada ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa kupitisha jina lake tarehe 26 Agosti...
  3. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu Kwa Makamu wa Rais Dr. Emmanuel Nchimbi

    https://youtu.be/gxG_4KDoO5M?si=d3MdRYaigZxG9xKH
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Barua ya VP ni Taarifa ya Uamuzi wa Kujiuzulu Sio Ombi!. Taarifa ya Ikulu ni Ombi Limekubaliwa!. Ilipaswa Iwe Rais Amepokea Taarifa Ameridhia!

    Wanabodi Tangu jana nilipoiona ile Taarifa kwa umma ya VP kujiuzulu, nilipata shock sikuiamini nikiamini ni fake news, mpaka leo nilipoiona Taarifa ya Ikulu, ndio nimeamini!. Nilipata shock kwasababu niliamini he is the best that we have for 2030. Hata hivyo, licha ya kujiuzulu, kwasababu...
  5. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Urais siyo kitu cha kuchezewa na mamlaka ya Rais hayajaribiwi

    Watu walidhani kwamba Rais Samia ni mtu ambaye wanaweza kumchezea wanavyotaka wakasahau jambo moja muhimu,Rais ni taasisi na mamlaka ya Urais yamewekwa na Katiba,hukonyuma kulikuwa na mazoea ya baadhi ya watu kujaribu kuvuka mipaka,safari hii mambo ni tofauti,Uongozi wa nchi una taratibu,sheria...
  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Je inakupa tafsiri gani makamu wa rais wawili wanajiuzulu ndani ya miaka miwili ?!

    honest truth, no 1 ni .....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwenye mapendekezo ya makamu wa Rais nawaona waislamu, hilo halitawezekana kwasababu Rais sio Muislam wa Bara

    1. Julius Nyerere Abeid Karume Rashidi Kawawa Aboud Jumbe Ali Hassan Mwinyi 2. Ali Hassan Mwinyi Joseph Warioba John Malecela Cleopa Msuya 3. Benjamin Mkapa Omar Ali Juma Ali Mohamed Shein 4. Jakaya Kikwete Ali Mohamed Shein Mohamed Gharib Bilal 5. John Magufuli Samia Suluhu Hassan...
  8. A

    JamiiForums Tanzania Mh. Rais makamu wako asiwe mtu anayewaza kuja kuwa Rais

    Cheo cha makamu wa Rais ni cha pili kwa ukubwa nchi hii, si vizuri kumweka kijana anayewaza kuwa Rais kwa maana hakuna tena cheo chini ya hapo. Ukiangalia Prof. Mark Mwandosya, Dr. Harrison Mwakyembe wanafaa sana, shida arrogance ya wanyakyusa! Ukienda ukanda wa Rukwa kuna mzee anaitwa Kimathi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Panapokuwa na Rais wa Bara Muislam panaweza kuwa na makamu mkristo kutoka Zanzibar ?

    Mfano kipindi cha Kikwete alilazimika kuwachagua Ali Mohamed Shein na Mohamed Gharib Bila
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Prof Adolf Mkenda anafaa kuwa Makamu wa Rais (Msomi, Msikivu, Mkatoliki & Busara)

    PhD ya Uchumi toka University of Gothenburg, Sweden, Mkatoliki mfia dini, Mwanataaluma toka UDSM na Waziri wa Elimu mwenye maono kwa taifa. Busara ya uongozi na mtulivu. Rombo mtuazime tufanye maendeleo ya nchi nzima.
  11. Medecin

    JamiiForums Tanzania Kikao cha Dharula: Kabudi atateuliwa kuwa Makamu wa Rais

    Anamuweka 1. Mtu atayeweza kumcontrol 2. Ambaye hana tamaa na Urais mwaka 2030 3. Mkristo hasa awe Mkatoliki 4. Mtanganyika 5. Mwanaume 6. Mkubwa kiumri kuliko yeye 7. Muongeaji sana (Propaganda)
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?

    Kufuatia kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel John Nchimbi. Je, nani anafaa kuwa Makamu wa Rais mpya wa Tanzania?
  13. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nafasi ya makamu wa Rais ilitumika kama kipozeo cha mtu aliyeuchukia muungano ILA akitokea zanzibari,Mungu aligeuza baada ya kifo cha Magu je walijua?

    Hii Nafasi ilikuwa ikitumika kama Nafasi ya kumpooza uchungu,mzanzibari yoyote AMBAE atagombea uraisi zanzibari na akakatwa na halimashauri kuu ya ccm baada ya kubaini yakuwa mgombea aliyekatwa alikuwa miongoni mwa wagombea lakini wenye vinasaba vya kutoupenda muungano WA Tanganyika na...
  14. lord atkin

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jinsi Dk Nchimbi alivyogundua Rais Samia anatamani mabadiliko

    Katika barua yake kwa umma Mhe Dk Emmanuel Nchimbi amesema kwamba nanukuu "... nimejiridhisha pasipo shaka kuwa Mhe. Rais anatamani mabadiliko, hivyo nimeamua kutimiza ahadi yangu...." Alipoona baadhi ya viongozi na wabunge wa ccm wanasimama hadharani na kumuita Yuda alidhani wanajituma...
  15. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Hawa hawawezi kushika madaraka ya Makamu wa Rais wa JMT kwa sbb zifuatazo

    Baada ya Dr Emmanuel Nchimbi kubwaga manyanga (kutema mbungo), Ramli chonganishi zinapigwa sana kutabiri nani atachukua nafasi yake Pamoja na uharamu wa serikali hii, lakini by all means necessary nafasi ya VP mwingine haramu ni lazima ijazwe.. Hawa hawawezi kuwa na sababu anuwai za kwanini...
  16. Ahead

    JamiiForums Tanzania Ile thread iliyoandikwa 'nchi hii itakuja kuongozwa na rais asiyechaguliwa kwenye box la kura' naona dalili muda umefika!

    Kuna thread iliandikwa humu jamaa yule alitabiri kifo cha rais JPM,akesema siku zinakuja nchi itaongozwa na makamu wa rais asiyechaguliwa kwenye box la kura,watu wakamuuliza ni SHS,jamaa akakataa katakata akasema la hasha sio yeye,sasa baada ya barua ya Leo naona dalili za wazi jambo like...
  17. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ni Mchengerwa

    Mohamed Mchengerwa ni Waziri mwenye kifua kipana. Ni Waziri mchapajazi kuliko mawaziri wote. Hakika Nafasi ya Makamu wa Rais inamtosha sana.
  18. S

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais makamu wa Rais ni John Mongela

    Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu. Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
  19. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

    Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM" Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid" Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash...
  20. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
Back
Top Bottom