Mkurugenzi na Mayor Temeke Muoneenni Mh Rais Huruma!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,343
Reaction score
26,901
Tanzania ni kubwa sana , ina miako zaidi ya 26 na wilaya karibu 300.
Tanzania ina masoko zaidi ya elfu 8 .
Masko yanasimamiwa na local government ambayo ipo kumsaidia mheshimiwa Rais.
Sasa , pale wanapofanya vibaya anayelaumiwa ni Rais ni sio hao wwatendaji.
Mh Rais , anapenda usafi hata juzi amemuagiza chalamika kuhusu usafi wa DAr, ila leo hata mate hayajakauka , wanakuja viongozi kuleta vurugu eti machinga wapange mezaa mbele ya maduka.

Badala Watafute kujenga masoko mengine au Hapo Tndika wafidie watu wajenge soko la ghorofa kama Kariakoo, wao wanaona kuweka meza ndio suluhisho.
Mh Rais sisi wananchi wa chini tunawaomba hawa viongzozi wanao kuchonganisha , wakupishe , uweke viongozi wengine kisheria.

Mgomo wa kufunga maduka katika baadhi ya Mitaa ya soko la Tandika Temeke mkoani Dar es Salaam, umeendelea kwa kipinga kuwekwa kwa meza za machinga mbele ya maduka yao kwa madai ya kuwa utaratibu huo ni kandamizi kwa biashara zao, huku wakitaka viongozi wa Manispaa ya Temeke kutii agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kutaka watu kutopanga biashara mbele ya maduka ya wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilipa kodi, kama wafanyabiashara wengine.
 
Ndiyo maana tunahitaji mfumo wa serikali za majimbo
 
Ungetoka msalani kwanza ndipo uandike.
 
Sijaelewa kuwa unataka wapange au wasipange
Hujaeleweka rudia kusoma
 
Back
Top Bottom