Peter Greenberg hajatoa pole kwa mh. Rais mpaka muda huu

Peter Greenberg hajatoa pole kwa mh. Rais mpaka muda huu

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,709
Reaction score
21,873
Wakati wa shida ndio utajua nani rafiki yako.

Rafiki mpendwa wa mheshimiwa rais Samia ndugu Peter Greenberg ameshindwa kutoa pole zake kwa Samia kufuatia kifo cha mzee Hafidhi.

Kuelekea masaa 24 baada ya msiba hamna rambirambi kutoka kwa Greenberg hata kashindwa na wavuja jasho wakina Kigwangallah
 
Back
Top Bottom