Rais Ndayishimiye amfariji Rais Samia Kizimkazi

Rais Ndayishimiye amfariji Rais Samia Kizimkazi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,136
Reaction score
883
Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.
IMG-20260908-WA0142.jpg
IMG-20260908-WA0144.jpg
IMG-20260908-WA0143.jpg
 
Mheshimiwa Evariste Ndayishimiye, Rais wa Jamhuri ya Burundi akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.View attachment 3666156View attachment 3666157View attachment 3666159
Kileeeee kiwanda chakecMbolea dodoma......si buree awe wa kwanza kukimbilia mjane......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom