Viongozi wamfariji Rais Samia Kizimkazi

Viongozi wamfariji Rais Samia Kizimkazi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,097
Reaction score
871
Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.
IMG-20260908-WA0069.jpg
IMG-20260908-WA0087.jpg
IMG-20260908-WA0067.jpg
IMG-20260908-WA0085.jpg
IMG-20260908-WA0059.jpg
IMG-20260908-WA0077.jpg
IMG-20260908-WA0083.jpg
IMG-20260908-WA0066.jpg
IMG-20260908-WA0091.jpg
IMG-20260908-WA0075.jpg
 
Hizo bendera imekuwa ni kama state mourning na ilhali marehemu hakuzikwa kitaifa. Huu msiba ulianza kifamili yapaswa uishe kifamilia. Na mama aende eda siku tisini kama kawaida.
 
Mume wa raisi ni raisi,nashauri bendera ingeshushwa nusu mlingoti hata kwa siku 40🤤
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom