Rais Samia afarijiwa na Mwamposa, Kapola

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
764
Reaction score
685
Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.

Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
IMG-20260908-WA0064.jpg
IMG-20260908-WA0062.jpg
IMG-20260908-WA0063.jpg
 
Mtume Boniface Mwamposa pamoja na Mchungaji Tony Kapola wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 08 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan, aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar, tarehe 07 Sept, 2026.

Soma Pia: Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia
View attachment 3665914View attachment 3665915View attachment 3665916
Makanisa yao siwezi kwenda hata kwa dawa
 
Hivi nikienda hata mimi nitaruhusiwa?

Natamani kwenda kumfarij mama
 
Sasa mfiwa na hizo bendera za kazi gani, si ameshakaimisha majukumu kwa Mgogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom