rais

  1. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais ni Mchengerwa

    Mohamed Mchengerwa ni Waziri mwenye kifua kipana. Ni Waziri mchapajazi kuliko mawaziri wote. Hakika Nafasi ya Makamu wa Rais inamtosha sana.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais makamu wa Rais ni John Mongela

    Hakuna mtu anamfikia John Mongela kwa sasa. Ni mwadilifu, mnyenyekevu, mtiifu. Wanaoweza kufuatia Innocent Bashungwa, Dotto Biteko
  3. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nchemba kuwa Makamu wa Rais na Makonda kuwa Waziri Mkuu

    Mwigulu atateuliwa kuwa VP na Makonda anaenda kuwa PM" Uamuzi alishauamua tokea akiwa Zanzibar na ni Washirika wake wachache sana aliowajuza; mmoja-wao ni Abeid" Anamwona Mwigulu anapwaya kuwa PM na kwa sababu ya hilo la EN ku resign, anaona ni wasaa sahihi wa kumpa nafasi isiyo na kash-kash...
  4. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Kujiuzulu kwa Makamu wa Rais Emmanuel Nchimbi: Mahojiano na Jambo FM

    https://youtu.be/HbPhXOsTTJI?si=hS_Hj3UZBVvvtJij
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mh Rais makamu wako ni John Mongela

    Mhe. Rais mtanzania namba moja kuwa makamu wako ni John Mongela. Wengine wanaofuatia ni Innocent Bashungwa, Dotto Biteko. Usiende nje ya hapo. Mama niajiri nitakusaidie
  6. Mzee wa Udambwi

    JamiiForums Tanzania Nchimbi kajiuzulu Katiba inasemaje endapo rais akipata changamoto ya kushindwa kuendelea na majukumu yake

    Katiba inasemaje kama Samia akimteua Makamu wa rais Mwingine baada ya Nchimbi kujiuzulu na Ikatokea Samia kapata changamoto yoyote ya kibinadamu itakayofanya ashindwe kuendelea na majukumu yake na kuacha kiti wazi Je huyu makamu aliyeteuliwa na akupigiwa kura pamoja na samia j Ataapishwa na kua...
  7. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Narudia tena, Kuna Rais Afrika Mashariki atajiudhuru na sio Makamu wake.

  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Makonda na Mwigulu Nchemba nani ataukwaa umakamu wa rais.

    Mpaka sasa kuna 85% ya Makonda kuukwaa umakamu wa rais au Mwigulu Nchemba. Mmoja kati ya hawa ndiye atakabidhiwa kijiti. Tuweni wapole , muda utazungumza . Mungu atuvushe salama kwenye hichi kipindi kigumu tunachopitia watanganyika.
  9. mrxtz2026

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Tafadhari tafakari haya.

    Mfululizo wa viongozi kujiuzulu katika awamu yako umeongezeka na unatishia sana Usalama wa kidemokrasia wa taifa, mheshimiwa rais nakushauri kataa Barua yake hii ni aibu kwa taifa letu. Orodha ya walio jihudhuru kwenye muhula wako. 1. tulia 2. ndugai 3.majaliwa 4. mpango 5. polepole 6. Nchimbi...
  10. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Hivi kwa mfano Rais ghafla akapoteza maisha nchi inaongozwaje

    Sory naomba kujua kwa kuwa makamu ameshatangaza kujiudhulu na Rais akapokes barua yake ya kujiudhulu akadhibitisha.alafu hapo hapo au siku kadhaa kabla Rais hajateua Makamu wake ghalfa ikatokea(japo hatuombei itokee)Rais nae akafariki je!tutapiga kura upya kumpata Rais mwingine au nchi...
  11. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: WALIOSHINDWA KUFANYA KAZI NA RAIS SAMIA

  12. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Namuona Paul Christian Makonda akiwa Makamo wa Rais!

    Kutokana na kauli za nyuma nidhahiri Paul Christian Makonda akiwa Makamo wa Rais wa JMT. Hii aina ubishi na aina comeback! Ikishindikana Razaro Nyarandu anaweza akaukwa. Over.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio list ya candidates wanaomfaa Rais kukaimu nafasi ya Vice President, Hawana Dramas, watakwenda nae bega kwa bega

    N:B: inawezekana kwa mara ya kwanza Rais na Makamu wake wakawa wote wanawake kama Namibia. Kwavile Rais ni Mkristo, kuna uwezekano mkubwa ataweka balance kumteua Makamu wake Mksristo MWIGULU GWAJIMA PAUL MAKONDA RHIMO NYANSAHO
  14. mirindimo

    JamiiForums Tanzania MTOTO WA RAIS SAMIA AKIWA KWENYE BIASHARA YAKE YA MATAIRI NA RAIS WA UGANDA

  15. TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

    JamiiForums Tanzania Hili ni fumbo kubwa la imani, mpaka sasa Ikulu hawajaandika chochote kwenye website yao, hamna popote Rais amekubali barua aliyotumiwa.

    Huko ndani kuko kimyaaa, licha ya kwamba kuna chemka. Rais hajaandika chichote kwenye kurasa zake rasmi mtandaoni. Website ya Ikulu haijatangaza kuhusu kupokea kwa barua ya kujiuzulu ndugu john nchimbi. Msemaji Mkuu wa serikali naye yuko kimyaaaaa. Je ndugu john nchimbi ameamua kutuandikia...
  16. Waterloo

    JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  17. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania Kwanini taarifa za kifo cha Mpishi wa Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais zimefichwa?

    Ofisi ya Makamu wa Rais ilitangaza msiba wa mtumishi wake, Bi. Kulwa L. Ngusa, aliyekuwa akihudumu kama Mpishi katika Ofisi Binafsi ya Makamu wa Rais. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu wa Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Kulwa alifariki dunia Agosti 21, 2026, majira ya saa 12:00...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake afika Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinavyoweza kunufaisha Tanzania na Uganda

    Mtoto wa Rais Samia, Abdul Hafidh Ameir na Ujumbe wake akaribishwa Ikulu ya Entebbe kujadili sekta binafsi zinzvyoweza kunufaisha nchi hizi Mbili
  19. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais Ajiuzuru;Tulimpata Mtanganyika kweli kweli dhidi ya haramu.

    Kifo cha mpishi wake kilimshtua sana,lakini kabla ya hapo,kitendo cha kuchomwa matako kwa mtu aliyejitokeza kukemea kutukanwa kwake,nacho kilifikirisha sana. Ndugu Nchimbi ni mwanafunzi aliyeiva wa Mwalimu Julius Nyerere,matendo yake yanataja lipi giza na ipi nuru,aliita koleo ni koleo na...
  20. YoungPastor

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa kumpata makamu wa Rais

    Kwa mujibu wa Ibara ya 50(2)(c) ikisomwa pamoja na Ibara ya 50(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Rais anapojiuzulu na nafasi yake kuwa wazi, utaratibu wa kisheria wa kupata mtu mwingine unakuwa kama ifuatavyo: Uteuzi Ndani ya Siku 14: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
Back
Top Bottom