rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Makamu wa Rais Benki ya Dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia anayeshughulikia Ukanda wa Afrika Mashariki na Kusini Bw. Ndiame Diop, tarehe 20 Agosti, 2026, Ikulu jijini Dar es Salaam.
  2. L

    JamiiForums Tanzania Nitamsemea na kumtetea Rais Samia hadi dakika ya mwisho kutokana na kazi ya kitume anayoifanya

    Ndugu zangu Watanzania, Rais Samia anafanya kazi ya Kitume ,Ni sahihi Ukisema katumwa na Mungu kuwaongoza Watanzania, ni Sahihi ukisema Kaja Kutenda yale yaliyokusudiwa na Mungu kwaTaifa letu. Hana wa Kufanana naye wala kufananishwa naye kiuongozi. Hana wa kulinganishwa naye wala kupimwa naye...
  3. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Umeshafikiria shahidi Rais Samia akiwa anahojiwa na Tundu Lissu mahakamani itakuwaje?

    “Uliagiza jeshi lijiandae na uchaguzi?" Na ulisema hakutakuwa na nywinywi wala nywinywinywi, waambie majaji kwa nini uliosababisha mauaji makubwa Oktoba 29. Hujakamatwa. Na mimi sina hatia yoyote, natakiwa ninyongwe!” Waeleze majaji “nywinywi nywii” ulimaanisha nini.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Tunahitaji Utulivu wa Akili, Mikakati na Mbinu bora za kisasa kuelekea Maridhiano, Muafaka wa Kitaifa na Mabadiliko ya Katiba

    Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Rais Samia bado anayo nafasi ya kuwezesha mageuzi ya Katiba nchini, kama tukiаmua kuwa na utulivu wa akili, mikaka

    Ndugu zangu Watanzania KAMATI YA KUSUKUMA MARIDHIANO YA KITAIFA(KKMK) tunahimiza Wanasiasa kuwa na Utulivu wa AKILI,MIKAKATI NA MBINU za kupigania MAGEUZI YA KATIBA na MAZUNGUMZO yatakayozaaMARIDHIANO NA MUAFAKA WA KITAWA KITAFA.Bado tuna imani kwamba pamoja na matatizo yaliyotokea bado Rais...
  6. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan ampongeza Rais Mteule wa Zambia Haikande Hichilema kwa kushinda muhula wa pili

    It all over in Zambia baada ya tume ya Taifa ya Uchaguzi ECZ kumtangaza Haikande Hichilema kama mshindi wa Uchaguzi wa Urais uliyofanyika August 13, Hichilema alipata 60% ya kura zote.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa zamani wa IPTL walia kufukuzwa kwenye nyumba Harbinder Singh Sethi

    Wafanyakazi wa zamani wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) wameiomba Serikali na Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia kati mgogoro wao na Harbinder Singh Sethi, anayedaiwa kutaka kuwatoa kinguvu kwenye nyumba za kampuni wanazoishi hivi sasa. Malalamiko haya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kwa Nguvu Na Ushawishi Alionao Rais Samia Kwa Sasa Ipo Siku Marekani Atakuja Kulalamika kuwa Tanzania Imeingilia Uchaguzi wao na Kupanga Matokeo .

    Ndugu zangu Watanzania, Mti Wenye Matunda ndio Hupigwa Mawe . Tanzania ya Rais Samia Ndio Lulu Ya Afrika, kwa Sasa ndio Taifa ambalo lina uwezo na nguvu ya kuzungumza na likasikika na kusikilizwa . Ndio Taifa lenye ushawishi na uwezo wa kushawishi na kuungwa Mkono na Mataifa mengi. Tanzania...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Dk Muchunguzi uchawa wote kusifia uovu wa CCM ni kwa sababu alisoma na Rais Samia. Taifa letu halitapata wasomi kama akina Sengondo Mvungi (RIP).

    Taifa linakuwa na msomi kama huyu Dk Denis Muchunguzi litafika mbali kweli? Msomi mzima anajikomba badala ya kueleza ukweli na uhalisia wa siasa mbovu zinazoendelea nchini. Wasomi kama akina Dk Sengondo Mvungi hawatatokea tena. Hawakujikomba wala kujipendekeza.i Dk Denis kusifia uovu wote wa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Rais Samia yupo sahihi kuunda Tume 2 za Oktoba 29

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, amesema uamuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kuunda Tume ndio utaratibu wa Sheria za Kikanda na Kimataifa ambapo ametoa mifano ya nchi mbalimbali zilivyounda tume za kuchunguza masuala yaliyotokea katika nchi zao.‎ Ameyasema hayo alipokuwa...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua mradi wa bwawa la umeme wa Mwl Nyerere

    Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi amesema kuwa, Rais Dk.Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua rasmi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) chenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115, tarehe 22 Agosti 2026, katika eneo la mradi lililopo Rufiji, Mkoa wa Pwani.
  13. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Adai kupigwa na watu zaidi ya 30 na kuvunjwa mkono kisa Kuvaa T-Shirt yenye picha ya Rais Samia

    Naona sasa tunakoelekea siyo penyewe ndugu watanzania. Msikilizeni huyu mshikaji ============= Linusu Kimario, mkazi wa Kipawa, Dar es Salaam, amedai kupigwa na kundi la waendesha bodaboda zaidi ya 30 katika eneo la Kinyerezi Pondi, wakimuhoji kwanini amekuwa akivaa nguo yenye picha ya Rais...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Amani ni Msingi wa Maendeleo

    RAIS: TUENDELEE KUTUNZA AMANI ILI TUPATE MAENDELEO ZAIDI "Nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza kuijenga na kuileta kwa sababu nchi yetu ina amani. [...] Niombe sana ndugu zangu, tuendelee kutunza amani yetu ili tupate maendeleo zaidi." - Rais Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wa...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Padri Kitima: Sisi Maaskofu ndio tuliomba kukutana na Rais Samia

    Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limeweka wazi kuwa lengo kuu la kukutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan na kusema wao Maaskofu ndio waliomba kukutana na Rais Samia na wanashukuru kukutana na kuzungumza “Tunapenda kuweka bayana sisi TEC ndio...
  16. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kada wa CCM amwambia wazi rais Samia, haogopi kutekwa wala haogopi mtu

    Kada wa CCM kachafukwa👇 Pia Soma: Wakili Dkt. Masoud: Video iliyowekwa kichwa cha habari kuwa: 'Kada wa CCM amvaa Samia, hatukuogopi wewe Siyo Mungu' imepotoshwa
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mapinduzi yalishafanyika, sasa mapinduzi ni ya maendeleo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi wa Kizimkazi, Zanzibar leo Agosti 13, 2026, wakati akizindua rasmi Mradi wa Maji wa Kizimkazi, amesisitiza wananchi kulinda amani ili kuwepo maendeleo. "Na vile vile nisisitize kwamba uwepo wa miradi hii tumeweza...
  18. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kiwanja cha Kufurahisha Watoto Kizimkazi, kisiwe chanzo cha kuharibu watoto

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema viwanja vya kufurahisha watoto vilivyojengwa Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, vinapaswa kuwa sehemu salama ya watoto kujifunza, kucheza na kufurahia, na si kuwa chanzo cha kuwaharibu. Rais Samia ameyasema hayo leo...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa TEC na Rais Samia Ikulu Chamwino: Je, ni Toba ya Kweli na Kukiri Makosa ya Serikali, au ni 'Geresha' la Kisiasa Kupoza Nyoyo?

    Wakuu wa jukwaa hili, Mkutano wa tarehe 10 Agosti 2026 kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) huko Dodoma haupaswi kuchukuliwa kama kikao cha kawaida cha kunywa chai na kupiga picha za tabasamu za Ikulu. Huu ni mkutano uliogusa donda ndugu la taifa letu...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Hawa mashabiki wa Simba wanaosema wakawashitaki viongozi wao kwa Rais Samia wana akili kweli?

    Nasikitika kusema kuna mashabiki maarufu kama influencer wa Simba hawana akili timamu na nikama hayawani mmoja anaitwa nyumbu. Rais Samia ndiye huyu mlimzomea kwenye Simba day mwaka jana,leo mnajitoa akili eti mnaenda kushitaki viongozi wenu? Nyumbu ni mnyama ambaye akikimbizwa na Simba na...
Back
Top Bottom