rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Prof. Anna Tibaijuka amshauri Rais Samia amwachie huru Tundu Lissu

    Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan amwachilie huru Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu aliyeko rumande katika Gereza Kuu la Ukonga kwa Zaidi mwaka mmoja akiendelea na kesi ya uhaini inayomkabili. Profesa Tibaijuka ameandika ujumbe katika mtandao wa X...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nataka nizungumzie matumizi ya jina Samia, limekuwa linajirudia rudia haipendezi

    Rais Amia amesema kuwa matumizi ya Jina Samia kulipa kwenye Jina la vitu limekuwa linajirudia rudia hadi haipendezi
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwalaghai na kuwalisha Sumu Vijana ili wahujumu Uchumi wa Nchi zao

  4. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria

    Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026 "Kwa upande mwingine, mabadiliko ya sera za kiuchumi, matamko na mwelekeo wa kisiasa duniani unaziweka nchi zetu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali AICC Arusha Julai 13, 2026

    Rais Samia akifungua Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026. https://www.youtube.com/live/BZ2VYmBPQI4?si=FdG1FMslilQhYK-B
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Kufungua Mkutano wa Chama cha Mawakili Hapo Kesho Jijini Arusha. Maelfu ya Wananchi wajiandaa Kumpokea Kwa Kishindo Kikuu

    Ndugu zangu Watanzania, Kesho Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anakwenda kuitikisa na kuisimamisha kanda ya kaskazini. Anakwenda kuitetemesha Kaskazini yote hadi Nchi Jirani. Anakwenda kutua jijini Arusha na kupokelewa kwa...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Rais Samia usihangaike na maridhiano, hawa hawakutaki tu kwa sababu zao

    Walikukataa hata kabla hujawa Rais. Hawakutaka uapishwe kuwa Rais baada ya kifo cha Rais Magufuli, hawakutaka ugombee nafasi ya urais, hawakutata uchaguzi ufanyike. hata baada ya uchaguzi hawakutaka uapishwe na hata baada ya kuapishwa hawataki uongoze nchi na nchi isitawalike. Maridhiano nao...
  9. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Hivi hii ni kweli? Kwamba rais Samia alishuhudia live akizomewa na mashabiki wa bongofleva.

    Kwamba alitaka kuongea na na Mwana FA na mashabiki wakagoma na kuzomea huku anaangalia laivu.👇
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Kipekee sana Rais Samia anaweka alama nyingine ya maendeleo nchini kwa ujenzi wa shule 103 za Amali

    Hii ni historia nyingine muhimu sana kwa Rais Samia kwa kuweza kufanyia kazi wazo la kimaendeleo katika huduma za jamii. Ukiondoa alama nyingine muhimu sana ya ujenzi wa majengo ya huduma za dharura yaani Emergency Medicine Departments katika vituo zaidi ya 100 vya huduma za afya leo hii...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Maridhiano hadi Vitisho vya Ugaidi: Tunalaani upotoshaji wa Rais Samia wa kubatiza Wapigania Haki jina la 'Magaidi'

    Wana-JamiiForums, Leo tarehe 9 Julai 2026, tumeshuhudia kile kinachoitwa 'Tamko la Pamoja la Maridhiano' kati ya CCM na ACT-Wazalendo huko Zanzibar. Wakati viongozi wakitabasamu mbele ya kamera, hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan imeacha maswali mazito na simanzi kubwa kwa mtu yeyote...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Baada ya kumshukuru Mungu huwa namshukuru Rais Samia kwa kunipa fursa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo akizungumza katika Mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast amesema; "Chama kikubwa kama CCM hata nafasi ya kuwa mjumbe wa kuandika ilani, hilo ni jambo kubwa sana. Sasa mimi sikuwa tu mjumbe, Kitila Mkumbo...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wananchi hawaitaji vurugu. Kwenye Siasa za chuki na mivutano maendeleo hutoweka

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema wanahitaji amani, usalama na utulivu. Shauku ya wananchi wote bila kujali vyama vyao ni kuona serikali ikiwapa huduma bora za kijamii huku akisitiza siasa za chuki na mivutano ya kisiasahukwamisha maendeleo ya nchi. Amesema hayo leo Julai 9, 2026, wakati wa...
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wanaojiita wanaharakati lakini kiuhalisia matendo yao ni ya kigaidi

    Wakuu, Rais Samia ametoa onyo hilo leo Alhamisi, Julai 9, 2026, Ikulu ya Zanzibar wakati akihutubia hafla ya tamko la pamoja la maridhiano ya kisiasa Zanzibar baina ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na ACT-Wazalendo. Pia Soma: Mwigulu: Sina heshima na wanaharakati hata kidogo na sijali, ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitila: Watu wafanye kazi zao. Msimamo wa Rais Samia ndiyo msimamo wangu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, wakati akizungumza katka mahojiano yaliyorushwa Julai 8, 2026 na M & S Podcast "Kwa hiyo watu wafanye kazi zao, na usimlaumu mtu kwa kufanya kazi yake. Sasa mtu anamlaumu Kitila chuo kikuu... sasa mimi sipo chuo kikuu...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Makubaliano ya Maridhiano baina CCM na ACT Wazalendo - Julai 9, 2026

    Hii hapa: Jambo Tv https://www.youtube.com/watch?v=44nfO46PvfU
  17. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaaminika Sana Kwa Watu walio Mzunguka Ikulu na Kwa Wananchi na ndio Maana hakuna Uvujaji wa Siri Kwenda Kwa Wanaharakati Na wasaliti

    Ndugu zangu Watanzania, Hakuna kipindi na wakati wanaharakati,Maadui zetu na wasaliti wa Taifa letu wanahangaika kupata habari za kweli kutoka Ikulu kama kipindi hiki. Wanahaha sana kutafuta habari ili wachapishe kwenye kurasa zao za mitandao ili kuleta taharuki na uchonganishi. Ni Katika...
  18. USSR

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu Dkt Mwigulu Lameck Nchemba awasili Ufaransa kumwakilisha Rais katika siku ya Kiswahili

    WAZIRI MKUU AWASILI UFARANSA KUMWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KISWAHILI DUNIANI Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili jijini Paris, Ufaransa leo, Julai 6, 2026, kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amefanikiwa Kugusa Maisha ya Watu Na Mahitaji ya Mioyo yao na ndio Maana Hakuna Mtanzania Mwenye Kuunga Mkono Maandamano

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania wa Leo chini ya Uongozi Thabiti na Madhubuti Wa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan hawawezi kukuelewa wala kukuunga Mkono wala kukusikiliza wala kuwa nyuma Yako ukiwaambia habari za kuandamana...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awajulia hali Pacome Zouzoua wa Yanga na Mlezi wa ACT Wazalendo, Sheikh Rashid Hamad Othman

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, Mlezi wa Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, anayepatiwa matibabu katika Hospitali ya Aga Khan Jijini Dar es Salaam. Akiwa hospitalini hapo Rais Dkt...
Back
Top Bottom