Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili nchini Urusi kwa ziara ya Kitaifa itakayoanza tarehe 3 hadi 5 Juni, 2026 kwa mualiko wa Rais wa Shirikisho la Urusi, Mheshimiwa Vladimir Putin.
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
View: https://www.youtube.com/live/xiPP6057lmU
Soma Pia: Rais Samia kufanya ziara nchini Urusi kuanzia Juni 3 hadi Juni 5, 2026
View: https://www.youtube.com/live/xiPP6057lmU