rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aielekeza TAMISEMI kusimamia huduma za Ugani kwa tija na ufanisi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameiagiza Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), kwa kushirikiana na Wizara ya Kilimo pamoja na Wizara ya Mifugo na Uvuvi, kuhakikisha Wakala wa Huduma za Ugani (NAESA) unatekeleza majukumu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watanzania tuwe macho dhidi anayetaka kutugawa, kutuchochea na kututumia kuhatarisha amani na utulivu tulionao

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kuendelea kulinda na kudumisha amani, usalama na utulivu wa nchi, akieleza kuwa ndio msingi mkuu wa maendeleo na mafanikio yote yanayopatikana katika sekta mbalimbali, ikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi. Akizungumza...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwanri: Rais Samia songa mbele usiwe na wasiwasi, Watanzania nchi nzima wako nyuma yako

    Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Aggrey Mwanri, amewahakikishia Watanzania na viongozi wa kitaifa kuwa chama hicho kinasimama kidete nyuma ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza juhudi za kuleta maendeleo nchini...
  4. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 UVCCM: BAVICHA wanamvunja moyo Rais Samia, wanapotosha kuhusu Tume

    Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, Mohammed Ali Kawaida, amewakosoa vikali baadhi ya vijana hasa wale wa CHADEMA kwa kile alichokiita kejeli na kubeza hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Ghasia na Ukiukaji wa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Anaweza Kuongoza Taifa Kwa Mafanikio Makubwa Hata Bila Katiba

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Anaweza Kuongoza Taifa letu kwa mafanikio Makubwa kabisa hata bila uwepo wa Katiba ama sheria yoyote ile . Napenda kuwaambieni ya kuwa Hata uwe na katiba nzuri kiasi...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wapinzani wamuomba Rais Samia fursa ya kusafiri naye nje ya nchi. Awakubalia

    Katika hatua ya kuimarisha ukomavu na maridhiano ya kisiasa na ushirikishaji nchini, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekubali ombi la viongozi wa vyama vya upinzani la kuambatana naye katika safari zake za nje ya nchi. Hatua hiyo imepokelewa kwa furaha na wadau...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini?

    Kumbuka mtihani umetunga mwenyewe, ukaufanya mwenyewe, ukasahihisha mwenyewe umepata marks za juu, saivi unatafuta marafiki zako wachunguze kwanini umefaulu sanaa?😄😄hii dunia banaa! Soma Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda...
  8. R

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Watu wote wa Dar es Salaam tuseme asante kwa Rais Samia

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema wakazi wa Mkoa huo wana kila sababu ya kumshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutokana na maendeleo yaliyofanyika katika miradi ya mabasi ya mwendokasi. Chalamila amesema hayo Agosti 7, 2026 katika hafla ya kufungua na kutembelea mradi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Watanzania tuisaidie Tume iweze kufanya kazi yake na TUSIISUMBUE

    Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kutoa Ushirikiano kwa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, maarufu kama Tume ya Jaji Lila. Amesema hayo leo Ahosti 7, 2026 katika...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tume imepewa muda wa miezi mitano kutekeleza majukumu yake na kuwasilisha ripoti rasmi

    Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, uliofanyika Leo Agosti 7, 2026 Ikulu ya Dar es Salaam, Rais Samia ameeleza kuwa Tume hiyo imekabidhiwa hadidu za...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tumeamua kuwashirikisha wenzetu kutoka Uganda na Namibia kupata muono mpana. Tume inakwenda kutafuta nani walichochea, waliotoa fedha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Agosti 07, 2026, amezindua rasmi Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo, Rais Samia...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia anazindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa wahusika wa ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=lTwq-sOG2Is Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika Matukio ya Ghasia wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, Ikulu jijini Dar es Salaam...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ametendea Haki Hatima Ya Maisha ya watanzania Kiuchumi. Hali ya Maisha ni Ya Kutia Matumaini na Nuru

    Ndugu zangu Watanzania, Ukiwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu Wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Maana yake ni Kuwa Umebeba Dhamana ya Maisha ya Watu. Maana yake ni Kuwa Maisha ya Watu yapo mikononi Mwako . Maana yake hatima za Kesho ya wananchi ipo mikononi mwako. Maana yake ni Kuwa usalama...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya makubwa kuliko Marais wote Tanzania ila vijana wameharibiwa na Mange Kimambi

    Rais Samia ameajiri vijana kuanzia wale wa 2015 mpaka 2025 . Wale ambao Magufuli hakuwa na fedha za kuwalipa kama angewaajiri. Akasingizia uhakiki. Yeye kaajiri waliopaswa kuajiriwa kipindi cha Magufuli na wa kipindi chake. Watumishi wa umma sasa hivi ukitaka kufanya kubadili taaluma on the...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania siyo tena chanzo cha malighafi pekee, inakuwa kituo cha kuongeza thamani na uzalishaji wa viwandani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa taasisi za fedha duniani pamoja na wawekezaji wa kimataifa kushirikiana na Tanzania, akisisitiza kuwa Tanzania inapiga hatua kubwa kutoka kuwa muuzaji wa malighafi pekee na sasa inakuwa kituo kikuu cha kikanda cha...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mivutano na hali ya uchumi duniani inailazimu Afrika kujenga uchumi imara na unaojitegemea kwa kuongeza thamani kwenye rasilimali zetu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa mataifa ya Afrika kuongeza thamani ya rasilimali zake na kuimarisha miundombinu ya kikanda ili kujenga uchumi imara na unaojitegemea katikati ya changamoto na msukosuko wa kiuchumi duniani. Akizungumza leo, Agosti 05...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Zote Zinatoka Kwa Mungu Mwenyewe. Huwezi Kuwa RAIS Kama Haijapangwa Na Mungu. Urais Wa Rais Samia Umetoka Kwa Mungu Mwenyewe

    Ndugu zangu Watanzania, Amini Nawaambieni Ya Kuwa Huwezi Kuwa Rais wa Nchi Hii Kama Haikupangwa Na Mungu toka katika Ulimwengu wa Kiroho hata kabla ya kuzaliwa Kwako. Huwezi Kuwa Rais Kama Hujapewa Kibali na Mungu. Huwezi Kuinuka Na kuinukia Kwenye Urais kwa Mbinu zako na mipango yako Bila ama...
  18. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante VP Bal. Dr. Nchimbi kwa Maneno Makubwa, ya Faraja na Matumaini Kuhusu Katiba. Unamsaidia Sana Rais na Utawasaidiwa Sana Watanzania Iwapo...!

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe la leo, ambayo ni kumshukuru na kumpongeza Makamu wa Rais Balozi Dr. Nchimbi kwa maneno makubwa ya maana sana yenye faraja na matumaini makubwa kwa Watanzania kuhusu katiba mpya. Kiukwe huyu mtu, anamsaidia sana Rais Samia na atawasaidia...
  19. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania KWELI Rais Samia amesema tumekopa mkopo huu, lakini mtalipa nyie

    Kume Kuwepo na video inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii, hususan Facebook, iki ambatana na nukuu inayodai kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, alisema: "Tumekopa mkopo huu, lakini mtalipa nyie.
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara ya kikazi nchini Angola, aambatana na Mama Maria Nyerere kuzindua hospitali ya Nyerere

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mama Maria Nyerere muda mfupi kabla ya kuanza safari ya kuelekea Luanda, Angola ambapo anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Hospitali iliyopewa jina la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage...
Back
Top Bottom