rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    JamiiForums Tanzania Public Relations Advice: Rais Samia alipaswa kuiambia dunia maneno haya kuhusiana na World Cup 2026

    It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana) Habari za wakati huu, Ndugu zangu. Bila shaka wote mpo wazima kabisa wa afya na poleni sana kwa shughuli za ujenzi wa taifa. Katika kipindi hiki ambacho Tanzania bado inapona makovu ya vurugu pamoja na mauaji ya October/November 2025 na sasa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Huyu Hapa Ummy Mwalimu Na Rais Samia Ikulu Wakiangalia na kufuatilia Hotuba ya Bajeti Kuu Ya Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Mara Ya Kwanza Mheshimiwa Ummy Mwalimu ameonekana Ikulu akiwa pamoja na Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika na jasiri Muongoza njia. Hii ni Baada ya kupita Siku chache Tangia Kuteuliwa Kwake...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Marais Madarakani wenye PhD nyingi za Heshima Duniani, wote Madikteta. Huwa wanalazimisha kutunukiwa?

    Kama kawaida mama yetu kipenzi, anayeupiga mwingi ndio anaongoza kwenye hii list wakati wenzetu wanaongoza kwenye mambo ya Teknolojia, Uchumi, Silaha na mengine mengi yeye anaongoza kwenye PhD za Heshima! Ila kwa jinsi uongozi wao ulivyo kwa wote kwenye list, PhD zitakuwa zinatolewa ili kupata...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Oscar Oscar: Badala ya watendaji wa Serikali kufanya kazi yao, wanataja tu jina la Rais Samia (KUMBUKIZI)

    Mtangazaji wa kipindi cha Jana na Leo cha Wasafi FM, Oscar Oscar, aliwahi kusema Machi 14, 2024 kuwa baadhi ya watendaji wa Serikali badala ya kutekeleza majukumu yao ipasavyo, wamekuwa wakitumia muda mwingi kulitaja jina la Rais Samia Suluhu Hassan kuliko kufanya kazi zinazowahusu. "Badala ya...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia, tupo kwenye janga la kinyang’anywa kila tulichonacho. Je, kivipi ndio suluhu yetu

    Mheshimiwa Rais, Kwa heshima kubwa tunakuandikia barua hii kuomba msaada wako katika kutatua mgogoro unaotukabili sisi wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika leseni za NICO RAYMOND NYEMELE (PML 1794/1795 GTA) na MHELLA NATHANIEL (PML 1797 GTA) zilizopo Kijiji cha Nyaruyeye, Kata ya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri Muda Mfupi Kabla Ya Kupokea Ugeni Kutoka Kwa Rais wa Singapore

    Ndugu zangu Watanzania, Kiufupi Ni Kuwa Rais Samia Anakesha anafanya kazi , anashinda kutwa nzima anafanya kazi, anasafiri na kufanya kazi hadi akiwa angani ndani ya ndege . Rais Samia anafanya kazi akiwa ndani ya Nchi na hata nje ya Nchi. Muda na wakati wote Rais Samia yupo kazini...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Miaka 57 Rais Samia avunja ukimya wa Urusi na Tanzania

    Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza...
  8. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Waandishi wa Habari wa Urusi walinisalimia “Mama Samia Shikamoo”, jambo linaloonesha kuenea kwa Kiswahili

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa lugha ya kiswahili imekuwa sana kwani hata alipokuwa nchini Urusi waandishi wa habari wa nchi hiyo walikuwa wakimsalimia kwa kiswahili. Soma Pia: Rais Samia na Putin Ikulu ya Kremlin Rais Samia akiwasili nchini...
  9. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na dhana ya "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

    Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo. Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana...
  10. Acehood

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan alikuwa sahihi kujibu vile kwa nafasi yake kama Rais

    Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika moja ya utekelezaji wa ratiba yake ngumu huko nchini Urusi aliulizwa swali na moja ya muendeshaji wa majadiliano (moderator) kwamba; Tanzania inataka kupanua wigo wa biashara kati ya Tanzania na Urusi, wakati huohuo kuna vikwazo hasa vya kiuchumi...
  11. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  12. britanicca

    JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa Kuja Russia maana ametufungulia njia vema kujieleza tukaeleweka

    Naomba huu Uzi usiunganishwe umebeba Maana kubwa sana kuhusu Rais wetu kipenzi Samia Mapenzi yangu kwako ni kama ya Nchimbi na Polepole kwako Tunashukuru ziara yako ya hapa Urusi imewafungua hata wale ambao hawakuwa hi kupata nafasi kukusikiliza Nimependa utulivu wako ulivyoulizwa swali mbele...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Rais Samia wafanya Viongozi Duniani Kote Kupigana vikumbo na Kung'ang'ania Kufika Tanzania. Rais wa Singapore kuja Tanzania Jumatatu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya Kuvuta watu mbalimbali kuanzia viongozi, wafanyabiashara, wawekezaji, Watalii, wanamichezo na watu...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Air Tanzania kuanza safari Dar es salaam–Moscow (Urusi) kuanza Julai 02, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Moscow zitaanza rasmi Julai 02, 2026, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, uwekezaji na utalii kati ya Tanzania na Urusi. Akizungumza katika...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aziwasilisha fursa kubwa kutoka kwenye sekta tano kwenye jukwaa la kiuchumi Urusi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametaja sekta tano zenye fursa kubwa za uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Urusi, akizialika kampuni na wawekezaji wa Urusi kutumia mazingira mazuri ya biashara yaliyopo nchini Tanzania. Akizungumza...
  16. Kevzy

    JamiiForums Tanzania Nampongeza sana Rais Samia kwenda Urusi, nampongeza sana

    Chei chei Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi Msichukie huyo ndio raisi wetu hata kama mmenuna yeye kwenda urusi Fanyeni kazi kwa bidii lipeni kodi...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Russia: Kujenga Uchumi

    Leo Rais Samia ana ratiba kuu mbili kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa Tanzania. 1. Tanzania- Russia Business Forum. 2. St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF) Lengo la kuhudhuria majukwaa hayo mawili ni kuzitangaza Dira ya Taifa 2050 kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi...
  18. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Urusi na "geopolitical diplomatic shift" ya dunia

    Dr.Zack June 2,2026.06:54AM. Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana. Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada ya...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima RUDN

    NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI AKITUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU CHUO KIKUU CHA URAFIKI WA WATU WA URUSI (RUDN University) JIJINI MOSCOW.
  20. E

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Russia: Tanzania itapata nini katikati ya mashinikizo ya EU, Marekani?

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara nchini Russia inayotajwa kuwa na umuhimu wa kihistoria kwa Tanzania na inafungua hatua mpya za ushirikiano wenye manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili. Samia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutembelea nchi hiyo, tangu Hayati Mwalimu Julius Nyerere...
Back
Top Bottom