Rais Samia Akutana na Putin, Kremlin

Rais Samia Akutana na Putin, Kremlin

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
524
Reaction score
496
IMG-20260602-WA0093.jpg
Wakati wa ziara yake nchini Urusi, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin huko Kremlin Moscow. Mazungumzo yatazingatia kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati ikiwemo biashara, uwekezaji, elimu, sayansi, teknolojia, nishati, madini na miundombinu.

#TanzaniaRussiaRelations
Ziara Ya Kihistoria

TanzaniaInasongaMbele
 
View attachment 3600200Wakati wa ziara yake nchini Urusi, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin huko Kremlin Moscow. Mazungumzo yatazingatia kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati ikiwemo biashara, uwekezaji, elimu, sayansi, teknolojia, nishati, madini na miundombinu. #TanzaniaRussiaRelations
Ziara Ya Kihistoria
TanzaniaInasongaMbele
Amwandalie hifadhi
 
Nauliza kuhusu Marais wa TZ kwenda urusi!
wa Burundi, Kenya au Uganda hutaki kujua right?

Rais Vladimir Putin amepata baadhi ya mafunzo ya kijeshi na kijamaa Tanzania, nadhani alitarajiwa yeye kuzuru Tanzania mara nyingi zaidi 🐒
 
Inafurahisha sana sema waliotufanya watumwa hawatafurahishwa
 
View attachment 3600200Wakati wa ziara yake nchini Urusi, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin huko Kremlin Moscow. Mazungumzo yatazingatia kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati ikiwemo biashara, uwekezaji, elimu, sayansi, teknolojia, nishati, madini na miundombinu.

#TanzaniaRussiaRelations
Ziara Ya Kihistoria

TanzaniaInasongaMbele
Nitafurahi sana akipewa kikombe cha chai na bwana Putin
 
View attachment 3600200Wakati wa ziara yake nchini Urusi, Rais Samia atafanya mazungumzo rasmi na Rais Putin huko Kremlin Moscow. Mazungumzo yatazingatia kuimarisha ushirikiano katika sekta za kimkakati ikiwemo biashara, uwekezaji, elimu, sayansi, teknolojia, nishati, madini na miundombinu.

#TanzaniaRussiaRelations
Ziara Ya Kihistoria

TanzaniaInasongaMbele
Hawa wanaendana.
 
Back
Top Bottom