rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itaendelea kuenzi mchango wa madhehebu yote ya dini, tunawahakikishia ushirikiano

    Rais Samia akihutubia viongozi, wageni mbalimbali pamoja na wananchi baada ya kuzindua Jengo la Tiba Mionzi (Radiotherapy Unit) katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), Moshi mkoani Kilimanjaro, leo Juni 24, 2026, amesema serikali itanedelea kuhakikisha ushirikiano na madhehebu...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha chakula kwa wingi ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazozalisha chakula kwa wingi katika ukanda wa Mashariki na Kusini mwa Afrika, hali inayofungua fursa kubwa ya kuimarisha biashara ya bidhaa za kilimo na Namibia. Soma Pia: Rais Samia: Nchi zetu mbili zimegundua...
  3. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nchi zetu mbili zimegundua akiba kubwa ya gesi baharini, Namibia ina futi za ujazo trilioni 8.7 Tanzania futi za ujazo trilioni 57.5

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Namibia zinapaswa kuimarisha ushirikiano katika sekta ya mafuta na gesi kufuatia ugunduzi wa akiba kubwa ya gesi baharini katika mataifa hayo mawili. Rais Samia amesema Namibia ina akiba ya gesi inayokadiriwa kufikia futi za ujazo...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kumuapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Dkt. John Jingu Juni 19, 2026, Dar es Salaam

    Rais Samia kumuapisha Mtendaji Mkuu wa Mahakama Dkt. John Jingu, Juni 19, 2026 Dar es Salaam. Pia soma - Uteuzi: Dkt. John Jingu ateuliwa kuwa Mtendaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania akichukua nafasi ya Prof. Elisante Ole Gabriel ambaye amestaafu
  5. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea Kuwa Almasi Ya Dunia. Rais Wa Namibia Kutua Nchini Hapo Kesho.Wazungu nao waendelea Kupigana Vikumbo Kuomba nafasi ya Kuja

    Ndugu zangu Watanzania, Nashindwa Niandike nini hapa ,Nashindwa nimuelezee Vipi Rais Samia , Nashindwa Nizungumze Nini Nanyi Maana Rais Samia Anaendelea kuonyesha kuwa ni chaguo la Mungu , anaendelea kuonyesha Kainuliwa na kupewa kibali na Mungu Mwenyewe. Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa...
  6. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Haki za Binadamu: Umoja wa Ulaya waendelea kuibana Tanzania kuwajibika kwenye matukio ya Uchaguzi wa 2025

    Wakuu, Yaani akisimama nchale akikaa nchale, hakuna kupumbua, ni mwendo wa kula mabanzi back to back mpaka kieleweke! Ila haya yote ameyataka mwenyewe, kila kitu ameshauriwa lakini wapiii, sikio la kufa! Hapo bado hujaangalia upinzani wa ndani. Badala yake anajaza watu wa nyumbani kwenye...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AIPA NCHI HESHIMA KIUCHUMI

    ✅️Mbunge aeleza alivyoanza kuwatoa Watanzania kuombaomba misaada. ✅️Aeleza alivyoondoa utegemezi Kidogokidogo hadi kubakia asilimia 0.9 ✅️Alianza kupunguza kutoka Shilingi trilioni 1,Shilingi bilioni 925,Sasa bilioni 563.
  8. Stroke

    JamiiForums Tanzania Baada ya Russia Rais Samia aende Marekani kwa ziara

    Baada ya kutoka Russia samia aende Marekani. Watamwalika kwakuwa Russia na Marekani ni mahasimu. Marekani naye atataka kupata vile ambavyo Tanzania na Russia walikubaliana. Aombe ziara ya hata siku moja itatosha, Lazima Marekani wampokee.
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  10. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  11. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hii miradi imekukosea nini?

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania. Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la Nyerere uliojengwa kwa lengo la kukomesha tatizo la umeme ndani ya nchi. Rais Samia amegoma...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: Ninamshukuru Rais Samia kuniteua kuwa Mshauri wake wa Afya ya Uzazi, Mama na Mtoto

    Ummy Mwalimu afunguka mazito baada ya kuteuliwa na Rais Samia; Alichokiandika katika akaunti yake ya X Alhamdullilah. Sifa zote njema ni za Mwenyezi Mungu. Kwa shukrani za dhati, heshima, na unyenyekevu mkubwa, ninamshukuru kwa dhati Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu, Rais wa Jamhuri ya Muungano...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania KERO Maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi . Kwa zaidi ya miezi mitatu, hakuna umeme wa uhakika

    Kwa masikitiko makubwa, hali ya umeme katika maeneo ya Wilaya ya Chunya — Matundasi, Makongorosi, Lupa, Saza na Itumbi — imekuwa ya kudhalilisha wananchi na kuonyesha wazi kushindwa kwa mamlaka husika kutekeleza wajibu wake kwa wananchi. Wananchi wamevumilia kwa muda mrefu sana. Kwa zaidi ya...
  14. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Compare & Contrast Marais 6 wa Tanzania on Democracy, Jakaya is The Best!, Apewe Maua Yake!, Samia Pia Ana Fursa To Be The Best!, Je Atakuwa?

    Wanabodi Nilikuwa nasikiliza kitu kumhusu Nicolo Machivaeli kwenye kitabu cha The Prince, audio books imefanya reading books made easy, usingizi ukikata unakamata simu yako na kujikeep busy. Nikajikuta nawatafakari marais wetu wote 6 wa Tanzania kwa kuwa compare na kuwa contrast on subject...
  15. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Taifa pekee ambalo wananchi wake hawana raha kwa rais wao kuwa madarakani ni Tanzania

    Hili halipingiki kabisa maana Watanzania wengi hawafurahi kwa Kwa rais Samia kuwa madarakani. Wanasema yupo kwa sababu ya kiongozi mstaafu yaani Jakaya Kikwete. Alafu hakubaliki na kila analolifanya linaonekana ni jambo baya. Anaonekana yupo tu kwa ajili ya tumbo lake, familia ya mstaafu...
  16. R

    JamiiForums Tanzania BoT yamtunuku Rais Samia Tuzo ya Kinara wa Mapinduzi ya Mifumo na Huduma Jumuishi za Kifedha

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalumu na ya kipekee na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikitambua mchango wake mkubwa na maono yake kama kinara wa mabadiliko ya kiuchumi na mifumo ya kifedha nchini. Tukio hilo limejiri leo Juni 12, 2026, katika Kituo...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Akiba yetu ya dhahabu ni tani 27.5 yenye thamani ya Trilioni 10. Hapa tulipofika si haba

    Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. "Nipongeze Benki Kuu kwa mpango wa ununuzi wa...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mifumo itumike kumrahisishia Mwananchi kuelewa na kutimiza wajibu wake wa kuchangia Pato la Taifa

    Rais Samia akizungumza leo Juni 12, 2026, wakati akihutubia katika Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT), yaliyofanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam. Ametoa wito kwa taasisi za kifedha na mamlaka za kodi nchini...
  19. McLaren

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki maadhimisho ya miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania, JNICC, Dar es Salaam

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Benki Kuu ya Tanzania (BOT), tarehe 12 Juni, 2026, JNICC Dar es Salaam https://www.youtube.com/watch?v=Qne7eWGfD5w Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akikagua...
  20. N

    JamiiForums Tanzania Public Relations Advice: Rais Samia alipaswa kuiambia dunia maneno haya kuhusiana na World Cup 2026

    It's me JamiiForums member (Nina Akili Ndogo Sana) Habari za wakati huu, Ndugu zangu. Bila shaka wote mpo wazima kabisa wa afya na poleni sana kwa shughuli za ujenzi wa taifa. Katika kipindi hiki ambacho Tanzania bado inapona makovu ya vurugu pamoja na mauaji ya October/November 2025 na sasa...
Back
Top Bottom