rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Hakuna sheria inayotengua Katiba. Watanzania pambaneni kupata Katiba mpya

    Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, akizungumza leo Julai 23, 2026 katika Mkutano wa Wanachama wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) unaofanyika Jijini Dar es Salaam, amesisitiza Watanzania kupambana kupata Katiba Mpya na kwamba taifa linahitaji Katiba yenye mwafaka na...
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa: Ipo siku Watanzania mtamkumbuka Rais Samia

    Wakuu, Kumkumbuka tutamkumbuka apo kwenye tutamkumbuka kwenye nini Mchengerwa atuachie sisi ======== Waziri Mchengerwa aliyasema hayo Julai 23, 2026 kwenye ziara yake ya kikazi ya siku 4 mkoani Kilimanjaro "Nataka niwaambie, ipo siku tutamkumbuka Rais huyu. Ipo siku. Nakumbuka wakati wa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Wasira: Vijana wafuate sera za Rais Samia. Hao unaofikiri hawatendi haki hawawezi kuishi milele

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amewataka vijana nchini kufuata sera ya ustahimilivu ya Rais Samia badala ya kutumia vurugu na uharibifu kudai haki zao. Akizungumza katika mahojiano yaliyorushwa na NIjuze Julai 22, 2026, Wasira amesisitiza kuwa vijana ni...
  4. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Mkutano wa Afya wa AU Ghana

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) kuhusu Afya, jijini Accra, Ghana tarehe 22 Julai, 2026
  5. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais samia: Natamani muda wangu uishe

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la usambazaji wa nukuu mbalimbali kwenye mitandao ya kijamii zinazodaiwa kutolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan. Mojawapo ya nukuu hizo, iliyochapishwa kwenye mtandao wa Facebook, inamdai Rais Samia amesema...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kiliba: Wanaharakati na wakosoaji tajeni pia mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia

    Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba, amewataka wanaharakati na wakosoaji wa Serikali kuwa na usawa wanapotoa tathmini ya utendaji wa Serikali ya awamu ya sita kwa kutaja pia mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Katambi: Tusichafue taifa tukawa wakimbizi kwenye taifa lingine mkapoteza haki zenu zote

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa wito mzito kwa viongozi wa dini nchini, wakiwemo Masheikh, Maaskofu, Wachungaji na Mapadri, kushirikiana na Serikali katika kulinda amani na utulivu wa taifa ili kuzuia machafuko yanayoweza kuwapingia wananchi haki zao. “Yakitokea...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu mpya Uingereza aikana chadema. Hotuba ya Andy Burnham kama ya Rais Samia, hata wao mambo hayaendi

    Hata Uingereza hali yao ya kiuchumi ni mbaya. Waziri Mkuu mpya, Andy Burnham anataka wafunge mkanda ili kufanya mageuzi makubwa ya kiuchumi kuboresha hali zao za maisha. Hii inaonyesha kuwa tusitegemee kupata misaada ya maana kutoka Uingereza na Jumuiya ya madola. Hata wao kumbe wanajua kuwa...
  9. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais samia: Watanzania, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri ninayowafanyia

    Kumekuwepo na nukuu inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kutolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ikisema:"Watanzania, ipo siku mtanikumbuka kwa mazuri ninayowafanyia." Nukuu hiyo imesambazwa kwenye kupitia vikundi vya facebook ikiwa na graphic ya...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tusikubali kutumika na watu wasioitakia mema nchi yetu, tuepeuke kuwa wasaliti na maadui wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kigoma na Watanzania kwa ujumla kudumisha amani na usalama ili kuchochea maendeleo Akizungumza leo Julai 20, 2026 mkoani Kigoma mara baada ya hafla ya uwekaji jiwe la msingi la mradi wa ujenzi wa Reli ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Baba Levo: Wenye midomo hawasemi Rais Samia anavyoleta miradi ikitokea tumekopa midomo mingi

    Mbunge wa Kigoma Mjini Clayton Chipando Maarufu Baba Levo akizungumza leo Julai 20, 2026 katika uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma, katika eneo la Katosi, Halmashauri ya Kigoma Ujiji uliohudhuriwa na Rais Samia Suluhu Hassan. Baba...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia azindua ujenzi wa meli nne za mizigo, Bandari ya Kigoma | 20 Julai, 2026

    Rais Samia Suluhu Hassan, leo Julai 20, 2026, amezindua rasmi mradi wa ujenzi wa meli nne za mizigo katika Bandari ya Kigoma, hatua inayolenga kuimarisha usafirishaji wa mizigo katika Ukanda wa Ziwa Tanganyika. Uzinduzi huo umefanyika wakati wa ziara ya Rais Samia mkoani Kigoma, ambapo amesema...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kutosaini Hati ya Kumyonga Yeyote!, Tusiishie Kutonyonga Tuu, Bali Pia Tusiue!. Tuifute Adhabu Kifo ni Adhabu ya Kikatili Sana!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu kwenye gazeti la Nipashe la Jumapili ya leo, ni makala ya pongezi kumshukuru na kumpongeza Rais Samia kwa kutokusaini death warrant yoyote kuidhinisha utekelezaji wa adhabu ya kifo, hivyo Rais Samia, hajanyonga mtu yeyote!. Nimeshauri tusiishie kutoa kwa kunyonga...
  14. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania KIGOMA YAANDIKA HISTORIA: Rais Samia kuzindua Ujenzi wa SGR Tabora-Kigoma

    Waziri wa Uchukuzi, Mhe. Prof. Makame Mbarawa, amesema ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma ni hatua ya kimkakati itakayoiunganisha Tanzania na masoko ya ukanda wa Maziwa Makuu kupitia mtandao wa kisasa wa reli. Akizungumza na waandishi wa habari katika...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuweka jiwe la msingi SGR Tabora–Kigoma, kufungua ujenzi mpya ya usafiri na biashara

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha sita kutoka Tabora hadi Kigoma Julai 20, 2026, katika hafla ya kitaifa itakayofanyika mkoani Kigoma, hatua inayotajwa kuwa ya kimkakati katika...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya Rais Samia na marais wengine waliomtangulia

    Rais Samia ana exposure kubwa sana ya kimataifa inayomfanya iwe vigumu kumchafua kimataifa. Ni Rais mwanamke, dunia nzima inajua kuwa viongozi wa siasa nchi kwake wanamuonea kwakuwa ni mwanamke. Kama sehemu ya changamoto za wanawake duniani. Dunia inamuona Rais Samia na uongozi wake kupitia...
  17. tucker carlson

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akimpokea rasmi Rais El Sisi Ikulu, Dar es Salaam leo 18 Julai, 2026

    Rais Samia Suluhu Hassan akimpokea Rais wa Jamhuri ya Kiarabu ya Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi Ikulu, Dar es Salaam, Julai 18, 2026 https://www.youtube.com/live/Hm1LCMhGUWY
  18. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anafanya Kazi kwa Taifa hili hadi Huruma zinanishika na kumuonea Huruma sana. Mungu aendelee kumlinda na kumpatia Maisha Marefu

    Ndugu Zangu Watanzania, Pamoja na Ukweli ya Kuwa Mama yetu Mpendwa Mama Samia Suluhu Hasssan ni Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania. Ni Ukweli kuwa Rais Wetu Mpendwa ni Binadamu kama Tulivyo Sisi wengine , ni Binadamu Mwenye Moyo wa Nyama , Ni Binadamu Anayejisikia na kupatwa na uchovu...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Wa Misri Abdel Fattah El Sis kufanya ziara ya kikazi nchini Julai 18, 2025

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan anaendelea kuwa kiongozi Mwenye ushawishi na nguvu ya ushawishi Duniani kote. Anaendelea kuipaisha Tanzania katika anga za Kimataifa. Anaendelea kuiweka Tanzania kama...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Habari njema kuhusu Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu, Hata akihukumiwa kunyongwa!, Hatanyongwa! Rais mwenye Sifa hizi, hawezi Kusaini Death Warrant

    Wanabodi Angalizo Kufuatia kushuka sana kwa kiwango cha uelewa kwa wana jf wengi wa hii jf ya kisasa, naomba kuanza bandiko hili kwa angalizo la msimamo wangu kuhusu hii kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu ili bandiko hili lisije kuonekana ni mimi nashabikia mtu anyongwe...
Back
Top Bottom