rais samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hotuba za Rais Samia Suluhu kimataifa zinatuheshimisha watanzania, lazima UN watafanya nae kazi baada ya Urais kuisha

    Mh. Rais anaongea hotuba ambazo zipo very neutral hazifungamani na upande wowote hotuba zake zinaiishi falsafa ya Non aligned Movement (NAM) NI RAIS anayetumia akili kubwa kujibu hoja, ni Rais anayefatiliwa sana duniani, Leo hii vyombo vyote vya habari vinamtaja Dr Samia. Nadhani UN...
  2. JamiiForums Tanzania Nampongeza Rais Samia kwa Kuja Russia maana ametufungulia njia vema kujieleza tukaeleweka

    Naomba huu Uzi usiunganishwe umebeba Maana kubwa sana kuhusu Rais wetu kipenzi Samia Mapenzi yangu kwako ni kama ya Nchimbi na Polepole kwako Tunashukuru ziara yako ya hapa Urusi imewafungua hata wale ambao hawakuwa hi kupata nafasi kukusikiliza Nimependa utulivu wako ulivyoulizwa swali mbele...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Ushawishi wa Rais Samia wafanya Viongozi Duniani Kote Kupigana vikumbo na Kung'ang'ania Kufika Tanzania. Rais wa Singapore kuja Tanzania Jumatatu

    Ndugu zangu Watanzania, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kugonga vichwa vya magazeti Dunia kote, Tanzania inaendelea Kuwa Kivutio cha Dunia, Tanzania ya Rais Samia inaendelea kuwa kama Sumaku ya Kuvuta watu mbalimbali kuanzia viongozi, wafanyabiashara, wawekezaji, Watalii, wanamichezo na watu...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Air Tanzania kuanza safari Dar es salaam–Moscow (Urusi) kuanza Julai 02, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametangaza kuwa safari za ndege za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Moscow zitaanza rasmi Julai 02, 2026, hatua inayotarajiwa kuimarisha biashara, uwekezaji na utalii kati ya Tanzania na Urusi. Akizungumza katika...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia aziwasilisha fursa kubwa kutoka kwenye sekta tano kwenye jukwaa la kiuchumi Urusi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametaja sekta tano zenye fursa kubwa za uwekezaji na ushirikiano wa kiuchumi kati ya Tanzania na Urusi, akizialika kampuni na wawekezaji wa Urusi kutumia mazingira mazuri ya biashara yaliyopo nchini Tanzania. Akizungumza...
  6. JamiiForums Tanzania Nampongeza sana Rais Samia kwenda Urusi, nampongeza sana

    Chei chei Pengine huko URUSI.. atapata mawazo mapya juu ya muendelezo wa kuliendesha taifa letu Na kufungua njia kem kem kwa wananchi wa tanzania na kufanya tukapata maendeleo zaidi Msichukie huyo ndio raisi wetu hata kama mmenuna yeye kwenda urusi Fanyeni kazi kwa bidii lipeni kodi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Russia: Kujenga Uchumi

    Leo Rais Samia ana ratiba kuu mbili kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa Tanzania. 1. Tanzania- Russia Business Forum. 2. St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF) Lengo la kuhudhuria majukwaa hayo mawili ni kuzitangaza Dira ya Taifa 2050 kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia nchini Urusi na "geopolitical diplomatic shift" ya dunia

    Dr.Zack June 2,2026.06:54AM. Baada ya Serikali ya Tz jana kutangaza kuwa Mh Rais Samia Suluhu Hassan kesho June 3,2026 anaanza ziara ya siku mbili Nchini Urusi ilinifurahisha sana. Hii inaweza kuwa ni ziara bora zaidi na ya kimkakati sana tangu Mh Rais Samia Suluhu Hassan aingie Ikulu baada ya...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima RUDN

    NUKUU ZA MHE RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSANI AKITUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU CHUO KIKUU CHA URAFIKI WA WATU WA URUSI (RUDN University) JIJINI MOSCOW.
  10. E

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Russia: Tanzania itapata nini katikati ya mashinikizo ya EU, Marekani?

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya ziara nchini Russia inayotajwa kuwa na umuhimu wa kihistoria kwa Tanzania na inafungua hatua mpya za ushirikiano wenye manufaa kwa wananchi wa pande zote mbili. Samia anakuwa rais wa pili wa Tanzania kutembelea nchi hiyo, tangu Hayati Mwalimu Julius Nyerere...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Atunukiwa Shahada ya Heshima Urusi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026.
  12. JamiiForums Tanzania Shahada za heshima alizotunukiwa Samia Suluhu Hassan tangu awe Rais

    Tangu awe Rais, Machi 2021, Rais Samia ametunukiwa PhD hizi: 1. Novemba 2022: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa katika masuala ya Binadamu na Sayansi ya Jamii - Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) 2. Oktoba 2023: Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa Chuo Kikuu cha Jawaharlal...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi

    https://www.youtube.com/watch?v=aZJigFrAukU Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Urafiki wa Watu wa Urusi (RUDN University) jijini Moscow, tarehe 4 Juni, 2026
  14. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Nadai fidia kutoka Mgodi wa Barrick North Mara toka 2023 bila mafanikio, naomba msaada nipate haki yangu

    Habari ndugu watanzania, Naiomba serikali yangu tukufu iliangalie hili jambo ambalo mgodi wa barrick north Mara unatangaza wazi wazi kuiweka mahakama ya tanzania na serikali mfukoni kwamba najisumbua kwenye swala langu ambalo mwaka 2013 walinifanyia tathimini na 2023 nilifanya makumbaliano na...
  15. JamiiForums Tanzania Pongezi kwa Rais Samia: Vijana Waunga Mkono

    Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa. Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Abdul (mtoto wa Samia) yupo Moscow. Kaenda kwa shughuli gani? Kama nani?

    Mmoja ya wajumbe?
  17. JamiiForums Tanzania Japo Nyerere na Magufuli Walikataa, Kuingiliwa Uhuru Wetu, Rais Samia Komaa Usikubali Kuingiliwa, Ila Kama Oct.29 Kuna Vifo Vya Makosa, Tuchutame Au?

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo. https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/uchambuzi-wa-mayala-nyerere-magufuli-na-somo-la-kulinda-uhuru-wa-taifa-5482646 Leo naendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ambazo ni makala ya kuhimiza uzalendo kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia na Putin Ikulu ya Kremlin

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Rais wa Shirikisho la Urusi Mhe. Vladmir Putin katika Ikulu ya Kremlin Jijini Moscow, tarehe 03 Juni, 2026.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Dunia yasimama na kutulia kwa muda wakati Rais Samia akipokelewa Ikulu na Rais Wa Urussi. Warusi Wasimamisha Kazi zao Kufuatilia Mapokezi Mazito

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika usishindane na aliyebarikiwa,usishindane na Mbarikiwa, usishindane na Aliyeinuliwa na Mungu , usishindane na Chaguo la Mungu , usishindane na aliyepewa kibali na Mungu ,Usishindane na aliyechaguliwa na Mungu kabla hata hajazaliwa, Usishindane na Mwenye Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Uchambuzi: Kutoka kuapa kutokuwa mpinzani bali msaidizi wa rais Samia hadi kuwa Yuda!

    Waswahili husema ukimdekeza mbwa, ipo siku atakufuata hadi msikitini. Hiki ndicho kilichotokea juzi, baada ya mbunge wa Zanzibar kumuita Makamu wa Rais, ambaye ni mtanganyika, jina la Yuda. Hizi zote ni hasira za wazanzibar kulazimishwa kuwa ndani ya muungano wasioutaka! Tangu zamani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…