Nampongeza Rais Samia kwa Kuja Russia maana ametufungulia njia vema kujieleza tukaeleweka

britanicca

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2015
Posts
17,648
Reaction score
44,033
Naomba huu Uzi usiunganishwe umebeba Maana kubwa sana kuhusu Rais wetu kipenzi Samia

Mapenzi yangu kwako ni kama ya Nchimbi na Polepole kwako

Tunashukuru ziara yako ya hapa Urusi imewafungua hata wale ambao hawakuwa hi kupata nafasi kukusikiliza

Nimependa utulivu wako ulivyoulizwa swali mbele ya Putin kwamba ukawa amrisha kwamba unapenda uulizwe kwa Kiswahili nimefurahi sana aisee

Uliponikosha zaidi ni pale ulipo ulizwa unataka kufanya
biashara na Russia, kumbuka Russia amekewa Vikwazo na Marekani swali ni je Tanzania utaweza kukwepa(Bypass) na nawewe

Usiwekewe vikwazo? Ulichojibu ni Tofauti na Ulichoulizwa, kwanza tuliokuwa nyuma kwenye ukumbi tukaguna kwa mbaaali Lakin tukakausha kumbe imeenda viral

Ulitakiwa ujibu utakwepa Vipi hivyo vikwaza anavyowekewa Russia na unataka kutrade naye? We ukasema Tanzania hatuna vikwazo vyovyote toka nchi yeyote !!

Hii imenipa point zote tatu na magoli matatu kwa wale niliowaambia kuwa uwezo wako haufikii unachotamani kukifanyia Tanzania hivo ni bora ungekuwa unatuma mwakilishi tu !

Britanicca
 
downloadfile.jpg
 
lofa kweli gentleman 🤣
 
Elimu mbali mbali alishatupa CV yake!
 
Back
Top Bottom