Rais Samia Russia: Kujenga Uchumi

Rais Samia Russia: Kujenga Uchumi

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
479
Reaction score
474
Leo Rais Samia ana ratiba kuu mbili kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa Tanzania.

1. Tanzania- Russia Business Forum.

2. St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF)

Lengo la kuhudhuria majukwaa hayo mawili ni kuzitangaza Dira ya Taifa 2050 kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi nchini Tanzanian.

DJ nipigie Chuki Binafsi kutoka kwa Twanga P
IMG-20260603-WA0070.jpg
epeta 🎶
 
Leo Rais Samia ana ratiba kuu mbili kubwa na muhimu sana kwa mustakabali wa Tanzania.

1. Tanzania- Russia Business Forum.

2. St. Petersburg International Economic Forum (SPIEF)

Lengo la kuhudhuria majukwaa hayo mawili ni kuzitangaza Dira ya Taifa 2050 kwa lengo la kuvutia uwekezaji zaidi nchini Tanzanian.

DJ nipigie Chuki Binafsi kutoka kwa Twanga PView attachment 3601455epeta 🎶
Jezebel mama wa makahaba.
Muuaji asiye na huruma. Katili na dhalimu
 
Mama anatapatapa kwakweli, Russia hamna issue!.
Akirudi atuambie (kwa data) faida za hiyo safari...by the way hv mwanae Abdul naye kaenda kufanya nn?? Au bado ananyonya wakuu?!.
 
Urusi hii ambayo uchumi wake miaka ya mwishoni miaka ya 90 ulidorora kiasi cha kujisalimulisha kwa nchi za Magharibi ambazo zilichangia pesa kwa sharti ya kuitaka izingatie uhuru wa watu, halafu utarajie iisaidie Tanzania koliuchumi!! Utakuwa mwendawazimu.

Urusi Ilipewa pesa na nchi za Magharibi kwa gharama ya kuiua USSR.

Urusi ipo kwenye hali ngumu sana ya kiuchumi, ukuaji wake wa kiuchumi umeanguka toka 7% mpaka 0.4%. Mwaka huu bajeti yake kwenye vita imeisha, na hivyo kulazimika kwenda kuchukua bajeti ya sekta nyingine.

Kutoka kutumia 15% ya bajeti kwa masuala ya kijeshi, italazimika kutumia 40% ya bajeti yote kwenye vita, jambo litakalosababisha sekta nyingine zote kuchechemea.

Kuitegemea China au Urusi kuujenga uchumi wako ni kupotea njia. Hayo mataifa ni ya kufanya nayo tu biashara lakini siyo kutegemea kuwa yatakuinua, maana na yenyewe yana watu wengi waganga njaa. Maskini hawezi kumsaidia maskini mwenzake.
 
Wanaweza kurudi na sumu za aina mbalimbali kwa ajili ya kuondoa watu wenye mawazo tofauti na ya kwao. Na zaidi ni ule mradi wa Uraniamu
 
Mnahangaika sana CHADEMA kila kitu kukosoa tu.

Russia ni mmojawapo ya superpower wa dunia hii. Huwezi kuongelea gesi asilia au petrol bila kuitaja Russia.

Mnaposema hakuna kitu katika hiyo ziara maana yake uelewa wenu wa dunia ya sasa ni mdogo sana, mnadandiadandia mada ilimradi mpinge tu.
 
Back
Top Bottom