Rais Samia na dhana ya "Baniani mbaya kiatu chake dawa"

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
710
Reaction score
1,157
Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.

Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.

Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.

Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?

Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.

Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.

Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
 
Mada kama hii huwezi kupata wachangiaji humu jf.
Hapa weka mada ya kumponda Samia uone utavyoungwa mkono bila kujali uongo utakaosema
 
Screenshot_20260605-220758~2.png
 
Nonsense. Hivi kwa nini mnataka kutuaminisha kwamba kuna serikali halali. Na tuhiheshimu na kuisikilza. Pumbavu sana wewe
 
Naam, siyo kwamba serikali haifanyi mazuri. Napingana na yeyote mwenye huo msimamo, hasahasa kwenye suala la ajira. Serikali hii imejitahidi saana sana kupita awamu nyingi hapo nyuma. Hili ni jukumu lake

Watu wakishajenga chuki nawewe na ukaendelea kutenda maovu pia, mazuri yako hayatakumbukwa.

Sawa inafanya vizuri, lakini kwanini ufumbie macho wizi wa mali za uma, mafisadi,mikataba isiyoeleweka.nk,

Unataka watu wakushangilie kisa umemuajiri wakati ni haki yake kuajiriwa?

Kisa umetoa retention fees ya loanboard ndiyo uuze bandari, ufuje pesa za uma? Wewe unaona ulichoandika ni sahihi?
 
Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.

Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.

Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.

Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?

Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.

Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.

Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Ukiona mtu anapingwa sana ujue mabaya yake vs mazuri yake tofauti ni kubwa mno, yaani mabaya ni mengi na hayo mabaya ni unbearable.
Kumsifimia mtu mwenye mabaya yaliyokithiri labda uwe beneficiary wa udhalimu wake au uwe chawa.
Screenshot_20260606_184950_Google.jpg
 
Tanzania tumeanza utamaduni mbaya sana siku hizi. Yeyote anayelisema zuri lolote la serikali anaitwa chawa, kibaraka na maneno mengine mengi ya hovyo hovyo.

Siku hizi ukweli hautokani tena na hali halisi, bali ni chochote kile kinachoonekana kimesemwa na mwenzetu. Jambo hili ni hatari sana, kwani sasa nyeusi tutaita nyeupe maadam tu mwenzetu kasema.

Chukulia kwa mfano uamuzi wa serikali ya awamu ya sita kuondoa "retation fee" kwenye madeni ya mikopo ya elimu ya juu. Ingawa jambo hili limetua mzigo kwa wanufaika wa mikopo hiyo wa kuwa na deni linalokua kila mwaka, lakini bado tunaaminishwa serikali haijali vijana.

Vijana walioingia kwenye soko la ajira katika kipindi cha mwaka 2015-2021, na watuambie katika kipindi hicho waliona matangazo mangapi ya ajira za serikali?

Ni kipindi hicho hicho watumishi hususani wa serikali kuu walikaa bila kupanda cheo wala kimo na wakaufyata. Lakini leo hali ni tofauti.

Sipo hapa kusema selikali ya awamu ya sita ni serikali ya malaika, hapana! Inayomapungu yake, lakini hayo mapungufu yasiwe sababu ya kuiona kuwa haijafanya zuri lolote, kwani kusema hivyo ni kujidanganya wenyewe.

Kama nchi tutanufaika sana kujenga utamaduni wa kupenda mijadala ya maswala na hoja kuliko ushabiki wa kivyama
Nakuunga mkono mtu kafanya mambo mazuri kama haya ya kuua makafiri wa kinasara tusimpongeze
 
Attachments

  • Screenshot_20260529-182422.jpg
    Screenshot_20260529-182422.jpg
    159.9 KB · Views: 8
Mada kama hii huwezi kupata wachangiaji humu jf.
Hapa weka mada ya kumponda Samia uone utavyoungwa mkono bila kujali uongo utakaosema
Na ndiyo uthibitisho kuwa Samia ni mwovu kuliko ibilisi, haiwezekani watu wengi wakukatae halafu wapuuzi wachache ndiyo wakukubali.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom