Ni dhahiri sasa,
Kumbe nia na dhamira ya vijana wahalifu nyuma ya Gen Z haikuwa kupinga ushuru, kodi, na tozo zilizokuwako kwenye muswada wa sheria ya fedha kwa mwaka 2024/2025 ulioipitishwa na Bunge la Kenya.
Muswada ule umefutwa tayari na Mh. William Samoei Ruto.
Ni nini kingine mnahitaji...
Wadau hamjamboni nyote?
Huu ni wito wangu binafsi kwa Mheshimiwa William Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya ambao umezingatia maslahi mapana ya nchi hiyo!
Mheshimiwa
Nikuombe Ndugu yangu usione aibu wala fedhea, chutama, zika ufahari wako, usisite, usijali, usiogope, usione aibu wala fedhea ...
President Ruto Denies Extra-Judicial Killings, Confirms 6 Deaths, 14 Injuries In Protests
President William Ruto has announced that a total of six people lost their lives during the anti-Finance Bill 2024 protests, contrary to reports that more than 20 people have been confirmed dead...
Akihutubia kutoka Ikulu rais Ruto amewapongeza vijana wa Kenya kwa kuthubutu kuitumia demokrasia ya nchi yao, wakati huohuo ametangaza kuufuta muswada wa bajeti mwaka 24/25 na kusema Kenya itaendelea na ule wa 23/24, pia ametoa pole kwa wote walioathirika kwenye kadhia iliyosabsbishwa na muswada...
Salaam,Shalom!!
Ile Hali ya wanasiasa kujifanya viziwi Kwa kutosikiza MAONI ya wananchi ambao ndio hasa boss wao, imesababisha Bunge kutekwa kuchomwa na waandamanaji baada ya Polisi kuzidiwa nguvu na namba.
Swali: Tutegemee athari gani kiuchumi,Kijamii, na hasa KIUSALAMA mipakani Kwa siku...
Namshauri mr president ajifunze mbinu za jpm za kuweka usalama.wa taifa mpaka kwenye dalaldala ukiisema serikali tu unakamatwa na unapotezwa mazima.na waliobaki wanaogopa.
Hata samia ajifunze mbinu za jpm ili hawa chadema wanaoshawishi maandamano wakimbie nchi tena watarudi baadae. Kama jpm...
Rais Dkt. Ruto amesema amefuatilia malalamiko ya Vijana wadogo wa Gen Z na kuyaelewa
Ruto amesema amefurahishwa sana na uwezo wa Watoto hao wa kung'amua mambo hivyo yuko tayari kufanya nao kazi
Kwa kuanzia tumeongezeza Fedha za kuendesha Skuli Pamoja na Mikopo ya Elimu ya Juu Ili wanafunzi...
Well…well…well!
It’s deja vu all over again 🤣.
This time it didn’t take that long [although some of us expected it to come to pass at some point].
Majirani zetu wameshaanza kufanyiana figisu.
Rais Ruto na Makamu wake tayari washaanza kuvurugana na kurushiana vijembe.
Wapambe wao nao vivyo...
Rais Ruto: Ndege yangu ya kwenda Marekani iligharimu chini ya Ksh.10 milioni. Hakuna njia ninaweza kutumia Ksh.200 milioni. Mimi ni msimamizi mwaminifu. Mimi si mwendawazimu. Lazima niwe kiongozi wa mfano na mjadala huo lazima ukome.
====
Pia soma:
Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa...
Ruto ndio Rais anaongoza kusafiri sana hapa Afrika ,akifuatiwa na Rais wa Nigeria.
My Take
Labda anawatafutia kazi ma Hustlers 😁😁
=====
Baada ya Rais Ruto kuwa na ziara nyingi sana nchi za nje, baadhi ya Wakenya warusha kejeli kwenye mitandao ya kijamii kwa kumuita majina mbalimbali kama vile...
President William Ruto has stated that his US travel expenses were significantly lower than those incurred if he had used a Kenya Airways (KQ) plane.
"As a responsible steward of public resources and in keeping with my determination for us to live within our means and that I should lead from...
Kenya ikiwa inaongoza kwa kua na uhuru wa Kujieleza na maoni .Haya mambo huwezi kuyasikia nchi kama Rwanda hata kidogo!! Hata kwene social media raia wa rwanda hawawezi kumkosoa Godfather hata akiuza hako kanchi!
Lakin Kenya mambo ni yofauti.
Ukipangilia nchi kwa uhuru wa kujieleza na kutoa...
Nimejikuta katika wakati mgumu wa kuiamini taarifa inayosema eti rais Ruto wa Kenya ndie rais wa kwanza kufanya ziara rasmi ya kiserikali nchini marekani kwa kipindi Cha miaka 15 iliyopita.
Swali ni je Hawa Marais wengine kutoka afrika ambao kwa mamia walioitembelea marekani kwenye hicho...
Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing 737-700 kutoka kampuni ya Royal Jet ya Dubai.
Hatua hiyo imeibua mijadala ya nchini humo kwa Wananchi...
KENYA: Rais William Ruto amependekeza Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA) kumuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AUC).
Akihutubia kikao cha EALA, Rais Ruto amesema Viongozi Wakuu wa...
Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280.
Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
Rais wa Kenya William Ruto Jumamosi amewalaumu maafisa wa serikali kwa uzembe na rushwa kufuatia mlipuko mbaya wa gesi uliotokea jijini Nairobi na kuua watu watatu na kujeruhi wengine 280.
Lori lililokuwa limebeba mitungi ya gesi lilipuka kabla ya saa sita usiku siku ya Alhamisi huko Embakasi...
Rais William Ruto ameutuhumu Utawala wa Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kuwa ulitenga Bajeti maalum kwaajili ya kuwahonga na kuwarubuni Majaji na Mahakimu ili wawe wanatoa maamuzi ya kuipendelea Serikali.
Amesema Serikali yake haiwezi kuyumbishwa na Kesi zinazofunguliwa katika Mahakama nchini humo...
Baada ya Rais wa Kenya, William Ruto kushutumu Mahakama katika Kitengo cha Sheria cha Serikali akidai kuna ufisadi na majaribio ya makusudi ya kukwamisha miradi muhimu ya Serikali, Jaji Mkuu, Martha Koome amelaani matamshi hayo akifai yanagusa masuala yaliyopo Mahakamani na yanaweza kuwatisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.