rais ruto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto atangaza kuanzia Januari 2024 matibabu Kenya ni bure.

    Msikilize mwenyewe hapa. https://twitter.com/ntvkenya/status/1726228842904244275?s=19
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aelezea sababu za Viongozi wa EAC kutoshiriki Jamhuri Day

    We Did Not Invite Suluhu, Kagame, Museveni...' Ruto On Why Presidents Stayed Away On Jamhuri Day President William Ruto dismissed claims of deteriorating diplomatic relations between Kenya and its East African Community (EAC) neighbours on Sunday. Kenya's relations with Uganda and Tanzania are...
  3. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kuanzia Januari 2024, Raia wa mataifa yote wataingia Kenya bila kuwa na Viza

    Akizungumza katika Maadhimisho ya Kumbukumbu ya Mashujaa, Rais Ruto amefanya mabadiliko ya kauli yake ambapo awali alisema Nchi za Afrika pekee zitakuwa huru kuingia Kenya bila kuwa na Viza lakini sasa ahadi yake inakuwa kwaajili ya mataifa yote duniani. Ruto amesema “Ni furaha kubwa, kama Rais...
  4. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto atetea safari zake za nje: Mimi si mtalii, ninasafiri kwa mpango

    Rais William Ruto ameendelea kufafanua safari zake za mara kwa mara za nje ambazo zimezua kejeli kutoka kwa baadhi ya Wakenya. Akiwa katika ibada ya kanisa huko Kimende, Kaunti ya Kiambu siku ya Jumapili, Ruto alikariri kwamba ziara zake nyingi za Kiserikali ni kwa manufaa ya ukuaji wa Kenya na...
  5. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  6. Influenza

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila Odinga: Serikali ya Rais Ruto 'imeliteka' Bunge, sasa limekuwa 'hanisi'

    Azimio la Umoja One Kenya coalition party leader Raila Odinga now claims the Kenya Kwanza administration has captured the legislative arm of the government, thereby rendering Parliament unable to conduct its oversight role on behalf of Kenyans. Speaking during the burial of Phyllis Mawathe, the...
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asema suala la kupanda kwa bei ya mafuta halifamfanyi akose usingizi, mikono yake imefungwa

    Katika mkutano wa bunge ulioitishwa na Rais Ruto kama kiongozi wa chama cha UDA na Muungano wa Kenya Kwanza, uliohudhuriwa na zaidi ya wabunge 200, ukweli wa gharama kubwa ya maisha ambayo kwa kiasi kikubwa imetokana na ongezeko la bei ya mafuta lilipewa umuhimu mkubwa. Vyanzo vilivyokuwa na...
  8. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aidhinisha Sheria ya kubinafsisha Mashirika yanayoendeshwa kwa hasara

    Rais wa Kenya William Ruto ameidhinisha Muswada wa Ubinafsishaji wa mwaka 2023 ambao sasa umekuwa Sheria ukilenga kuondoa urasimu katika Ubinafsishaji wa Mashirika ya Serikali yasiyo ya Kimkakati na yanayoendeshwa kwa hasara. Imeelezwa kuwa Sheria hiyo mpya pia itasaidia Serikali kuongeza...
  9. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Bandari ya Mombasa Haitabinafsishwa

    Kauli hiyo ya Rais wa Kenya inafuatia uwepo wa taarifa kuwa Serikali ina mpango wa Kubinafsisha Shughuli zote za Uendeshaji wa Bandari ya Mombasa, taarifa ambazo Ruto amezikanusha na kueleza Serikali yake inapanga kupanua Bandari kwa nia ya kuongeza utendaji kazi na kutoa ajira kwa vijana. Ruto...
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aagiza Wizara ya Mawasiliano kuandaa Sheria itakayowezesha Ushindani wa Kidigitali

    Rais William Ruto ametoa maagizo hayo na kueleza Serikali yake imeweka nia ya kutengeneza mazingira yenye Ushindani ikiwemo kuongeza ushawishi kwa Makampuni ya Teknolojia kwaajili ya kuwekeza zaidi Nchini humo. Kauli ya Ruto inakuja siku chache tangu aanze ziara ya siku 10 katika Mataifa ya...
  11. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Maneno ya Rais Ruto kuhusu kilimo ni ya kuwapumbaza Watanzania

    Wasalaam nyote, Kwenye kikao/Mkutano wa Rais Ruto na Rais Hassan, na wadau wengine Rais Ruto anasikika akisema fursa kubwa ijayo ya utajiri ipo kwenye kilimo, ameweka bayana kuwa yeye ni mdau wa kilimo, kwa kiasi amekosoa kazi ya immigration wetu kule mpakani, japo amesifu mabadiriko na...
  12. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto atoa kauli tata katikati ya kutekwa kwa billionea wa kihindi

    katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa la Kenya,dokta Ruto ameomekana kufurahishwa na kitendo cha kutekwa kwa billionaire wa Kenya mwenye...
  13. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Rais Ruto Wafanya Mazungumzo Dar es Salaam

    Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Kenya, William Ruto kando ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Rasilimali Watu (Africa Heads of State Human Capital Summit) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa JNICC - Dar es Salaam
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga aanza kukusanya saini milioni 10 kwa lengo la kumuondoa Rais Ruto madarakani

    Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amezindua mchakato wa kukusanya saini milioni 10 kabla ya Ijumaa wiki ijayo kwa lengo la kumuondoa Rais William Ruto madarakani. Azimio La Umoja One Kenya Party leader Raila Odinga has vowed to marshal up over 10 million signatures to kick-start what he terms...
  15. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wadaiwa kupanga njama za kumuondoa Rais Ruto Madarakani

    Kupitia ujumbe uliochapishwa na Dennis Itumbi, alikuwa Kampeni Meneja wa Rais William Ruto, amesema taarifa za Kiintelijensia kutoka kwa Maafisa wa Hustler Nation Intelligence Bureua (HNIB) zimeeleza kuwa Rais Mtaafu Uhuru Kenyatta amefanya Kikao maalum cha SIRI nyumbani kwa kiongozi wa Upinzani...
  16. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto wa Kenya asema uongo juu ya chimbuko la mabaki ya binadamu wa kale. Akanywe kidiplomasia

    Kwa jina la Jamhuri ya Tanzania, ndugu zangu tukemee hili Ruto. Mara nyingi na kwa muda mrefu sana tunasikia Wakenya wakitangaza Kenya kwa kutumia vivutio vya Tsnzania kuwa ni vyao. Miaka yote tunajuwa ni raia tu na wafanya biashara wa kawaida wa Kenya ndiyo wanafanya hivyo. Kwa mshangao, leo...
  17. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Nasubiri kuona Wabunge watakaopinga Muswada wa Sheria ya Fedha

    Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana wanaomaliza Vyuo bila kupata kazi. Kauli ya Ruto inakuja ikiwa ni masaa kadhaa yamepita tangu Naibu...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto anasema hapati Usingizi kwakuwa Wakenya Wana Maisha magumu, je, Wengine inakuwaje Wanaupata na Kunenepeana hovyo?

    Katika Kuadhimisha Siku ya Madaraka huko nchini Kenya Rais Ruto kasema anakosa Usingizi akiwaza Kupanda kwa Gharama za Maisha kwa Wakenya na hali Ngumu ya Maisha. Chanzo: Gazeti la The Standard. Nami GENTAMYCINE Rais wa JamiiForums namjibu Rais Mwenzangu wa Kenya Ruto kuwa napata mno Usingizi...
  19. Mparee2

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto na ujenzi wa nyumba za bei nafuu

    Namsikiliza Rais Ruto hapa Citizen TV tangu 19h00 (anahojiwa live na Radio/Tv). Wenzetu wako vizuri kwenye Interview, Waandishi na wenye vyombo vya habari wanacha kujifunza hapa. Pamoja na mambo mengi aliyo ongelea, mimi nimevutiwa na ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Kwa kuanzia wafanyakazi...
  20. DogoWaNjombe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Ruto na Gachagua wasalimiana kwa kupeana mikono na Raila Odinga msibani

    Rais wa Kenya, William Ruto na Naibu wake, Rigathi Gachagua wakisalimiana kwa kupeana mkono na Kiongozi wa Azimio Raila Odinga wakati walipokutana kwenye msiba wa Mukami Kimathi ambaye alikuwa mke wa marehemu Dedan Kimathi ambaye alikuwa ni mpigania uhuru wakati wa Ukoloni. Akiwa msibani hapo...
Back
Top Bottom