rais ruto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vurugu zazuka mazishini Kitutu Chache baada ya Wabunge kugombana kuhusu Rais Ruto

    Sherehe ya mazishi katika eneo la Kitutu Chache Kaskazini iligeuka vurugu baada ya Wabunge wawili, Japheth Nyakundi (Kitutu Chache Kaskazini) na Anthony Kibagendi (Kitutu Chache Kusini), kushikana kwa mapigano wakizozana kuhusu Rais William Ruto. Vurugu zilianza baada ya Mheshimiwa Kibagendi...
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ajinasibu kuwa yeye ndiye Rais msomi zaidi kuwahi kuchaguliwa nchini Kenya

    Rais William Ruto: Watu wengi hawaelewi kwa nini nafanya kazi kwa bidii kubadilisha Kenya. Baadhi wanasema nafanya mambo mengi sana katika muhula wangu wa kwanza kiasi kwamba ningesukuma miradi mingine kwa muhula wa pili. Ni kwa sababu nina uzoefu na pia ni msomi. Mimi ndiye Rais msomi zaidi...
  3. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rais Ruto alisema atakuwa mstari wa mbele kubadilisha ukomo wa muhula

  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maseneta Watishia Kuwang’oa Maspika Iwapo Rais Ruto Hataitwa Kutoa Ushahidi wa Tuhuma za Rushwa

    Maseneta sasa wametoa vitisho vya kuanzisha mchakato wa kuwapigia kura ya kutokuwa na imani (impeachment) Maspika wa Bunge la Kitaifa na Seneti iwapo hawatamuita Rais William Ruto kufika mbele ya Bunge kutoa ushahidi kuhusu waliotajwa kupokea hongo kutoka kwa maafisa wakuu wa serikali. Wajumbe...
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto atangaza vita dhidi ya Mafisadi na kusema anatamani kuwa kama Yule Mwamba wa nchi fulani Enzi zake, Raila acheka kwa Furaha!

    Wabunge wa ODM na Kenya Kwanza wakabaki wanaulizana huyo Mwamba wa nchi jirani ni nani? Ila Raila Nadhani alishamjua kama ambavyo Sisi wengine tumemjua Ahsanteni sana Mtanikumbuka 🙏😄
  6. A

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto amechachamaa huko kila mchezaji Harambee stars kala mgao wa milioni 21, hiyo ni ya Ushindi wa kwanza tu..Viongozi igeni hii

    Unaambiwa baada tu ya mechi kuisha, Wachezaji wamekula mgao wa milioni 21 kabla hata jasho halijakauka.. Na akaahidi mzigo mwingine kama huo endapo watashinda kila mchezo ulio mbele yao. Ni muhimu Rais wetu akashauriwa kuwa anapotoa ahadi, awe anatoa ahadi ambazo zipo too specific. Ukiahidi...
  7. mwanamwana

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Sababu zenu ni zipi za 'Ruto lazima aondoke'?"

    Rais William Ruto amepinga wito unaozidi kumtaka ajiuzulu kupitia nyimbo zinazoongezeka za ‘Ruto Must Go’ katika maandamano ya mitaani na mitandao ya kijamii. Katika hotuba yake katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE) Jumatano, Ruto alihoji sababu za wito wa kuondoka kwake mapema, akisema viongozi...
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajir Woman Rep Fatuma Abd: Tunasema tu Tutam kwa Rais Ruto, hata kama hakutakuwa na kura, tutamuibia

    Wajir Woman Rep Fatuma Abdi: "Sisi Wabunge Wa North Eastern Tunasema Tutam For President Ruto, Hata Kama Hatutakuwa Na Kura, Tutamwibia!" Source: Kenya.gossip.club & buzzroomkenya
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video Rais Ruto wakati wa kampeni akiahidi kutoa Ajira kwa vijana Vs Uhalisia kwa sasa

    Miongoni mwa masuala yaliyofanikisha kuchaguliwa kwa Rais William Ruto ni ahadi nyingi alizotowa kwa raia wa Kenya. Moja ya ahadi hizo ilikuwa ni ajira kwa vijana. Limekuwa tatizo kubwa nchini humo, lakini Rais Ruto anasema tatizo hili halijaanza na yeye. Source: TRT AFRIKA
  10. ChoiceVariable

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aagiza Polisi kuwapiga risasi za Miguuni Waandamanaji wanaoharibu biashara za watu

    Rais wa Kenya William Ruto, akiwa katika hafla ya uzinduzi wa makazi ya polisi eneo la Kilimani, Nairobi, tarehe 9 Julai 2025, alitoa agizo kwa polisi kuwakabili watu wanaohusika na uharibifu wa mali wakati wa maandamano. Katika hafla hiyo Rais Ruto alisikika akisema “Wale wanaochoma mali ya...
  11. figganigga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais Ruto wagonga Bodaboda 🤔

    Boda Boda amegongwa na gari ya msafara wa rais huko Kenya na walikufa papo hapo na gari ikaingia huko kwenye maporomoko Magari hayo yalikuwa yakimsindikiza Rais William Ruto na Gavana Cecily Mbarire baada ya kuhudhuria ibada ya kanisa katika Chuo cha Kigari.
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua ametoa shutuma nzito dhidi Rais Ruto kukandamiza jamii ya Mt Kenya

    Makamu wa Rais Mstaafu Rigathi Gachagua ametoa tuhuma nzito dhidi ya Rais William Ruto, akidai kuwa anaendesha mpango wa kutesa jamii ya Mlima Kenya kwa makusudi. Akizungumza tarehe 5 Juni 2025 katika mazishi ya shangazi yake marehemu Gladys Gathoni Kahua huko Kaunti ya Nyeri, Gachagua alisema...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Sitoomba msamaha Kwa kujenga Kanisa Ikulu

    Rais wa Kenya, William Ruto amesema hatomuomba msamaha yoyote kwa kitendo cha yeye kujenga Kanisa Ikulu ambapo amewashangaa wanaoanza kuleta manenomaneno kwasababu amejenga Kanisa hilo huku akisisitiza kwamba hajaanzisha Kanisa jipya bali anajenga Kanisa bora zaidi na la kisasa baada ya kukuta...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dr Fred Matiang'i: Rais Ruto aliniuliza kuhusu Kikosi Maalum cha Mauaji (Special Service Unit) mara tu baada ya kuapishwa

    "Rais Ruto aliniuliza kuhusu Kikosi Maalum cha Mauaji (Special Service Unit) mara tu baada ya kuapishwa, na mimi nilikuwa naisikia kwa mara ya kwanza. Waziri wa Mambo ya Ndani hafahamu kila operesheni ya polisi." – Dkt. Fred Matiang'i ============= "President Ruto asked me about the killer...
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto amteua Meja Jenerali David Ketter kuwa Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu

    Rais wa Jamhuri ya Kenya na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Mheshimiwa Dkt. William Samoei Ruto, amemteua Meja Jenerali David Kipkemboi Ketter kuwa Kamanda wa Jeshi la Nchi Kavu (Kenya Army), baada ya kumpandisha cheo hadi kuwa Luteni Jenerali (Lieutenant General). Uteuzi huu umetangazwa...
  16. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yakataa kumshikilia Rais Ruto na maafisa wengine wa serikali kwa kudharau mahakama kuhusiana na uteuzi wa wajumbe wa IEBC

    Mahakama Kuu imekataa kushughulikia ombi la mdomo lililotaka Rais na maafisa wengine wa serikali watangazwe kuwa wameidharau mahakama kutokana na uteuzi wa wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), licha ya amri za awali za mahakama kusitisha mchakato huo. Katika uamuzi uliotolewa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama wa Kennedy Onyango Amshutumu Rais Ruto kwa Ahadi za Uongo kuhusu Haki ya Mwanawe

    “Alitudanganya!” Mama yake Kennedy Onyango, kijana aliyepigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya Gen Z huko Rongai, amemtuhumu Rais William Ruto kwa kutoa ahadi za uongo kuhusu haki ya mwanawe. ================= He lied to us!" Mother of Kennedy Onyango, teen killed by police in Rongai Gen...
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Hatuwezi kuwapa madaraka kwa wale wanaopigia kelele tu ‘Ruto must go'

    Rais wa Kenya, William Ruto, amezungumza kwa msisitizo kuhusu siasa za upinzani, akisema kuwa serikali haiwezi kuachia madaraka kwa watu ambao mpango wao pekee wa kisiasa ni kauli ya “Ruto must go.” Rais Ruto alisema haya katika hotuba yake ya hivi karibuni, akielezea kuwa taifa linahitaji...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ateua Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC) pamoja na Kamishina wapya

    Rais William Ruto ameteua rasmi Erastus Edung Ethekon kuwa Mwenyekiti mpya wa Tume Huru ya Mipaka na Uchaguzi (IEBC). Uteuzi huu umefanyika kupitia Tangazo la Serikali (Gazette Notice No. 7724) lililotolewa tarehe 10 Juni 2025, na umefuatiana na uteuzi wa maafisa sita wa IEBC kupitia Tangazo la...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto awafikia vijana kwa ukaribu zaidi,zile za County hazifiki vizuri, awatengea fungu

    Aupiga mwingi.
Back
Top Bottom