Safari ya Rais Ruto nchini Marekani yadaiwa kugharimu Tsh. Bilioni 3.94. Amekodi Ndege kutoka Dubai

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,517
8,442

Imedaiwa kuwa Safari ya siku 4 ya Rais William Ruto ambaye amealikwa na Rais Joe Biden, itagharimu takriban Tsh. Bilioni 3.94 kutokana na uamuzi wa Ikulu ya Kenya kukodi Ndege aina ya Boeing 737-700 kutoka kampuni ya Royal Jet ya Dubai.

Hatua hiyo imeibua mijadala ya nchini humo kwa Wananchi wakihoji sababu za Rais kutotumia Ndege yake maalum ambapo taarifa za masuala ya Usafiri kwa kutumia Ndege ya hadhi hiyo zinadai kwa safari ya kutoka Nairobi hadi Atlanta Marekani itagharimu takriban Tsh. 1,933,916,339.

Hata hivyo, Msemaji wa Serikali, Isaac Mwaura ametetea safari hiyo kwa kueleza kuwa safari ya Rais itakuwa na manufaa kwa Wakulima wakiwemo wa Pareto kwa kuwa watatafutiwa Soko na kuongeza kuwa wanaohoji waache Maswali ya Kipuuzi.

===========

Government Spokesperson Isaac Mwaura has defended the expenditure associated with President William Ruto's four-day State visit to the US, which is estimated to cost taxpayers an upwards of Ksh.200 million in travel expenses alone.

Ruto opted to lease a Boeing 737-700 business jet from the Royal Jet of Dubai for the U.S. trip instead of using his presidential jet, a Fokker 70ER, due to the latter's limited range.

The Abu Dhabi-based airline charges around 18,000 USD per hour (approx. Ksh.2.4 million) to charter the business jet.

A single trip from Nairobi to Atlanta, spanning roughly 18 hours, will cost taxpayers approximately Ksh.98 million. Therefore, a round trip could potentially surpass the Ksh.200 million mark since Ruto also travelled from Atlanta to Washington D.C., a trip spanning two-hours.

The travel expenses will also factor in the time it took the business jet to arrive in Nairobi from Abu Dhabi and vice-versa.

Speaking in Nakuru County on Tuesday, Mwaura was pressed by reporters on the hefty price tag, but he chose to highlight the anticipated benefits of Ruto's trip to the U.S against the costs incurred instead.

"Faida William Ruto atatuletea haitoshi ile mafuta ameenda nayo," said Mwaura.

Citing the potential for increased foreign investments and lucrative trade deals resulting from the State visit to the US, Mwaura argued that the benefits of the trip far outweigh its financial costs.

"Hii pareto inatumika sana kule Marekani kwa hivyo nyinyi wakulima, (Ruto) ameenda kuwataftia soko. Kwa hivyo wewe unauliza maswali haya ...hiyo maswali ni ya kipuzi kabisa. Shindwe wewe ibilisi, pepo mbaya," said Mwaura.

"Rais ameenda kama mzee wa Kenya, kutafuta alafu wewe unauliza fare ni pesa ngapi na akirudi atarudi na zaidi ya hiyo fare mara milioni. Yeye (Ruto) ni Rais wa kwanza ambaye ameitwa kutoka Africa kuenda State visit Marekani."

President William Ruto arrived at Hartsfield Jackson International Airport in Atlanta, Georgia, on Monday afternoon, ahead of a busy four-day visit to the United States.

Among the dignitaries waiting to welcome President Ruto at the airport included Foreign Affairs Principal Secretary Korir Sing'Oei and US Ambassador to Kenya Meg Whitman as well as the Mayor of the City of Atlanta, Andre Dickens.

The first visit by an African leader in 15 years is expected to strengthen ties with the United States of America while also opening doors to investment.

State House Spokesperson Hussein Mohamed announced on Sunday that Ruto will travel from Monday, May 20, to Thursday, May 23, when he will meet with President Joe Biden.
 
Waafrika sijui aliyetuloga ni nani, yaani wananchi wanahangaika yeye yupo huko anakula bata / starehe. Kwani kaenda kufanya nini hasa. Ufujaji Mali za umma huo.
Ila tusiwacheke sana maana huku kwetu ni SIRI HAITAKIWI KUTOLEWA KWA UMMA KWAAJILI YA USALAMA. AFRIKA! AFRIKA! AFRIKA!
 
Kenyans need to get back to the road once again...

huu upuuzi wa Ruto hautokoma kama hawatafanya jambo
 
Kwa hiyo budget, nikipewa mimi Niitumie hadi ikwishe.....
Natakiwa nitumie walau shilingi laki mbili (200,000) kila siku, kwa miaka kama hamsini (50) ndipo ikwishe.
 
Kwa hiyo budget, nikipewa mimi Niitumie hadi ikwishe.....
Natakiwa nitumie walau shilingi laki mbili (200,000) kila siku, kwa miaka kama hamsini (50) ndipo ikwishe.
Laki mbili kwa siku ni matumizi ya kimaskini.
 
Back
Top Bottom