Mkalimani anatakiwa kuongea verbatim, neno kwa neno kile anachoongea yule anayemsikiliza.
Na huo ndio ukalimani proffessional!
Mkalimani HATAKIWI kuongeza au punguza maneno ya mtoa hotuba.
Tulichoshuhudia mkalimani kuongea vitu ambavyo ni mawazo yake, kunaiweka nchi katika matatizo si ya...
Rais wa Kenya Dkt. Ruto amesema ukweli ni kwamba Tanzania ndio inauza zaidi bidhaa zake Kenya kuliko zile wanazouza Wakenya Tanzania
Hivyo tutaondoa vikwazo ili biashara ifanyike kwa uzuri zaidi
Chanzo: TBC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ampokea na kufanya mazungumzo na Rais wa Jamhuri ya Kenya William Somoei Ruto Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Oktoba, 2022.
Mambo yaliyojadiliwa ni pamoja na;
Rais Samia Suluhu Hassan
Kukuza na kuimairisha uhusiano kati ya...
Leo Sept. 27, 2022 Rais William Ruto amefanya kikao cha kwanza na Baraza la Mawaziri wa Serikali iliyopita na kisha kufanya uteuzi wa Baraza lake jipya linalojumuisha Mawaziri 21 ambao watasimamia Wizara mbalimbali.
Ruto amemteua aliyekuwa Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kuwa...
Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022.
Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga.
Ruto...
Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo
Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali...
Ukosoaji huyo umeanza kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter, huku Mbunge wa Kathiani, Robert Mbui akidai Rais anajivuta sana kutangaza Serikali yake wakati kuna mambo ya dharula yanaikumbuka nchi hiyo
Mbunge huyo amesema “Rais anatakiwa kuchagua Baraza la Mawaziri ili tuanze kushughulikia...
Mshindi mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Eliud Kipchoge, ameshinda kwa kuvunja rekodi yake mwenyewe na kuweka rekodi mpya ya dunia katika mbio za Berlin marathon Jumapili.
Akivuka mstari ndani ya saa mbili tu, dakika moja na sekunde tisa aliwahi kwa sekunde 30 kutoka kwenye rekodi yake ya awali...
Bingwa wa mbio za Marathon za Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Berlin Marathon kwa kuweka rekodi mpya. Kipchoge alishinda mbio hizo kwa kukimbia saa 2:01:09 katika mbio za maili 26.2.
Ameshinda rekodi yake ya Dunia kwa tofauti ya sekunde 30 dhidi ya Mark Korir aliyeibuka wa...
Rais William Ruto akanusha kwenye runinga madai kuwa atatawala Kenya kiimla kutokana na jinsi baadhi ya watu wa nchi hiyo, hasa waliokuwa wakipinga juhudi zake za kuwa Rais wanavyodhania.
Asema ataongoza taifa bila kisasi na kuepuka matumizi ya mabavu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.