rais ruto

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mstahiki Mea

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto ampendekeza Prof. Kithure Kindiki kuwa Naibu Rais baada ya Rigathi Gachagua kuondolewa madarakani

    Rais William Ruto amemchagua Waziri wa Usalama wa Ndani, Kithure Kindiki (52), kuwa Naibu Rais mpya baada ya Rigathi Gachagua (59), kuondolewa madarakani Alhamisi usiku. Jina la Kindiki limepelekwa Bungeni ambapo wabunge wanatarajiwa kulipigia kura. Spika Moses Wetang'ula alitangaza uteuzi huo...
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto asema Kanisa Katoliki ndio Mshirika Mkuu wa Serikali. Ingekuwa Tanzania pasingekalika!

    Rais Ruto amelishukuru Kanisa Moja Takatifu la Mitume Katoliki kwa kuwalea Kiroho Wanajeshi wa Kenya Ruto amesema Kanisa Katoliki ndio mshirika Mkuu wa Serikali wakati wote Source: Citizen tv Ingekuwa Bongo sasa 🐼😂
  3. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gachagua: Wakenya na Rais Ruto naomba mnisamehe na familia yangu kwa makosa yoyote ambayo huenda aliyatenda akiwa ofisini

    Ruto wewe ni mkritsto Unampenda Mungu achana na mambo ya kuharibu hioo nchi kaa chini malizana na naibu wako Hakuna sifa mtu atatoa kwa kelele zinazoendelea huoo kenya Naibu Rais Gachagua leo ameomba radhi kanisani Ameomba kama binadamu na kama kuna sehemu amekosea anaomba wamsamehe Kama...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Naibu Rais Rigathi Gachagua Aomba Rais Ruto Amsamehe

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amemuomba Rais William Ruto amsamehe iwapo amemkosea kwa namna yoyote. Akihutubia kwenye ibada ya maombi ofisini kwake Karen, Gachagua pia aliwaomba radhi wabunge wote, siku moja kabla ya kuanza kwa mchakato wa kumtimua kwenye Bunge la Taifa la Kenya.
  5. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto abadili gia angani aomba kukutana na Maboss wa Ford Foundation awamwagia Sifa kedekede!

    Rais Ruto baada ya kuwananga Ford Foundation na kuwatuhumu Kuwa walifadhili maandamano ya Gen Z sasa amegeuka na kuwamwagia Sifa kedekede Ruto amesema Ford Foundation ndio inayoongoza kwa kufadhili miradi mingi Nchini humo hivyo amewashukuru Mno --- President William Ruto Monday held talks with...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Haya Kampuni ya Mafuta ya STABEX ni ya Rais Ruto na ya Rubis ya Rais Mstaafu Uhuru je, ile ya Lake Oil mahala fulani ni ya nani?

    Leo ninataka tu Kumjua huyu mwenye hii Kampuni ya Mafuta ya Lake Oil mahala fulani (nimepasahau kwa sasa) kwani Stabex ni ya Rais Ruto na Rubis ni ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta.
  7. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sio aibu kutafutia vijana kazi nje ya nchi kama Raisi wa Kenya

    Ili mradi kuna win win situation
  8. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video: Rais Ruto amtambulisha Waziri Soipan Tuya kama girlfriend wake wa zamani ndio maana wanang'ang'ana

    Nimeona kipande cha video kikimuonesha Rais wa Kenya William Ruto akiwa katika katika zoezi la upandaji miti akimtambulisha Waziri wa Mazingira Bibi Soipan Tuya kuwa alikuwa girlfriend wake. Binafsi kauli ya Rais Ruto imenishangaza sana ukizingatia kwenye tukio hili alikuwa kaambatana na mkewe...
  9. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto anafanya ziara ya kuwatembelea wakenya majumbani kwao

    Rais Ruto anaendelea na ziara yake ya kuwatembelea Wakenya majumbani mwao. Leo alikuwa Kisii na kama kawaida ameinza siku kwa kupata chai ya maziwa na Mkate akiwa na wenyeji wake. Ingekuwa bongo, tungeambiwa hao wote pichani ni TISS
  10. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto asaini Mpango wa Kupunguza Fedha kwenye Bajeti za baadhi ya Taasisi

    Rais William Ruto ameidhinisha Muswada wa Matumizi ya Ziada na Mpango wa Kupunguza Matumizi ya takriaban Tsh. Trilioni 3.02 (Ksh. Bilioni 145) katika Bajeti iliyotengwa kwaajili ya Serikali. Bajeti za Wizara zitapunguzwa kwa Tsh. Trilioni 2.90, Bunge Tsh. Bil. 77.27, Mahakama Tsh. Bil. 43.86...
  11. Mr Chromium

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto amewaondoa Wabantu wote katika Serikali yake na kuwapatia vyeo wasomali. Lengo ni kuwaua Kisiasa milele nchini Kenya!

    Kwa wanaofuatilia Siasa za Kanda ya Ziwa mtakua pamoja namm kuiona pattern inayojichora ya Paul kagame,Mseveni na Ruto Hatimaye Ruto kaingia kwene 18 za hawa jamaa saizi nayeye kaanza kupambana na wabantu. Anahakikisha kenya haitakuja kutawaliwa na wabantu milele kwa kuwaweka mawazili wenye...
  12. masai dada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DP Gachagua aliapa, Ruto aliapa na Joho pia aliapa lakini…

    Nafikiri ili ufiti vizuri kwenye siasa za panda shuka ukanda huu wa Afrika Mashariki, inabidi uwe mnafiki na unajitoa ufahamu kweli kweli. "Handshake" ya Raila na Ruto haikutegemewa kabisa kutokana na msimamo wa wafuasi na viongozi wa ODM, kama ilivyo kwa upande wa Ruto, mvulana kutoka Sugoi...
  13. Black Butterfly

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto awataka wanaofadhili maandamano wajitokeze na washauri Serikali ifanye nini kuonda changamoto

    Rais William Ruto amewataka wanaosababisha machafuko kwa kufadhili watu kufanya vurugu nchini humo wajitokeze hadharani na washauri Serikali ifanye nini ili kuondokana na hali iliyopo. Akizungumza baada ya Ibada ya Jumapili, Ruto amesema "Wale wanaofadhili, kuandaa na kufadhili ghasia hizi...
  14. data

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu nimemsikia Rais akikubali kushindwa

    Sijawahi sikia mahali popote pale Rais akikiri kufeli..kushindwa. Hii na zaidi ya Democracy. Ruto ana kitu. Tumpe muda. He simply conceded the defeat.
  15. U

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto atangaza Baraza la mawaziri awarejesha baadhi ya mawaziri

    Wadau hamjamboni nyote? Rais William Ruto wa Kenya atangaza Baraza jipya la mawaziri huku akiwarejesha baadhi ya mawaziri aliowaondoa kwenye mabadilko ya awali President William Ruto has named his new Cabinet members nominees a week after announcing the dismissal of the entire cabinet save...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Rais Ruto anajiamini mno, ni miongoni mwa marais wenye nguvu na ushawishi zaidi Afrika Mashariki

    Anaongoza Serikali yenye viongozi wakuu waandamizi watatu tu serikali kuu, yaani Naibu wa Rais RigyG, Musalia Mudavadi Prime Cabinet Secretary ambae pia ni Waziri wa mambo ya nje na kaimu wa waziri wa wizara zote Kenya zilizovunjwa majuzi.. Ni katika harakati za kubana matumizi, lakini pia...
  17. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto alaumu Mashirika ya Nchi Beberu kwa maandamano Kenya

    16 July 2024 Nakuru, Kenya Mheshimiwa rais William S. Ruto wa Jamhuri ya Kenya alaumu mashirika ya kijamii yasiyo ya kiserikali pamoja NGOs kama mfuko wa wakfu wa US-Funded Ford Foundation. NGOs nyenye makao yake katika nchi za kibeberu kwa kufadhili maandamano yasiyo na kikomo ya vijana wa...
  18. Lady Whistledown

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Waliohusika na Mauaji ya Miili iliyotupwa Kware watakiona cha Mtema Kuni

    William Ruto ameagiza mamlaka husika kuharakisha uchunguzi kuhusu miili iliyopatikana ikiwa imefungwa kwenye mifuko ya plastiki kwenye dampo la Kware huko Mukuru kwa Njenga, Jijini Nairobi ili wahusika washughulikiwe kwa Mujibu wa Sheria za Nchi Ruto amesema hakuna sababu yoyote inayoweza...
  19. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto sasa kuunda Serikali ya Vyama Vingi kama Kikosi Kazi Cha Prof Mkandala

    Hatimaye Rais Ruto amesema ataunda Serikali ya Umoja wa Kitaifa itakayokuwa na Mawaziri kutoka vyama vyote vya Siasa na Taasisi za Kijamii na Kidini. --- Ruto To Form Inclusive Govt: President pledges to form an all-inclusive CabinetRuto says new Cabinet will have the face of Kenya Ruto...
  20. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Raila akubali Maridhiano na Serikali ya Ruto lakini Washirika wake Kilonzo, Kijana na Karua wamtenga na kuwaunga mkono Gen Z!

    Rais Ruto atangaza siku 6 za mazungumzo ya kitaifa. Mazungumzo kujumuisha wadau mbalimbali nchini. Kikao hicho kuanzia Julai 15 kujumuisha pia vijanaRais: Kikao hiki kitaangazia mustakabali wa taifa Gen Z wamegoma kujumuishwa kwenye Kikosi Kazi cha Maridhiano na Serikali Raila Odinga akubali...
Back
Top Bottom